utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mzee Ali Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika akizungumza na wanahabari mchana wa siku ya Jumamosi Septemba 7, 2024 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam amesema kuwa... “Kwa aina ya bunduki walizokuwa nazo hao watu waliokuja kumchukua (Mzee Ally Mohamed Kibao ambaye ni...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakizungumzia wimbi la utekaji

    Utekaji ni janga kubwa linaloikumba taifa kwa sasa. Ajabu viongozi hawa waandamizi wazunguka na kuhutubia bila kugusia hata kidogo. Je huu ni dalili kuwa hawaguswi na mateso wanayopitia ndugu na jamaa za waliotekwa? Kabla ya wimbi hili kuibuka, Bashite alitoweka kipindi kirefu bila kujulikana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania walioguswa na matendo ya kidhalimu ya utekaji waamua kusali na kufunga kumlilia Mungu

    ANAANDIKA MWANAHARAKATI MDUDE NYAGALI 𝗝𝗨𝗠𝗔𝗣𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟴 𝗦𝗘𝗣. 𝟮𝟬𝟮𝟰 𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗢𝗠𝗕𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗢𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗧𝗘𝗞𝗪𝗔. Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Matukio ya watu kupotea na waganga kuhusishwa na vifo vyao ajenda ya kuisafisha serikali na polisi kwenye tuhuma hizo?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinatolewa kuwa aidha maiti zimefukuliwa kwa mganga wa kienyeji na maiti hizo unakuta ni za watu ambao walipotea na kutafutwa na ndugu, au mtu kafia kwa mganga na mtu huyo alitoweka akawa anatafutwa. Polisi: Wafanyabiashara wawili waliodaiwa kupotea...
  5. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwenyekiti wa UVCCM Kagera kufunguliwa kesi kwa watu wanaotekwa na kupotea na njia ya jeshi la polisi kujisafisha

    Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi. Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa. PIA SOMA - Angekuwa...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Shoo akemea vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka

    Askofu Fredrick Shoo wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea vikali vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji yanayodaiwa kuwa na viashiria vya ushirikina, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka, ambavyo vinatishia usalama wa nchi. Dk Shoo...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Utekaji nchi hii unachagizwa na ukondoo wa Watanzania

    Ni kweli kuna utekaji nchi hii ila ukisikiliza simulizi nyinhi za mashuhuda utakubaliana na mimi kwamba ukondooo wa Watanzania una play part kubwa sana huenda nusu yake. Ukisikiliza shuhuda ni kwamba walikuja watu wakajitambulisha kwamba wao ni Polisi na wakaondoka na fulani, tukawaomba...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Bunge halitakiwi kukwepa hoja ya utekaji

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kilio cha umma juu ya utekaji kinazidi kupamba moto, serikali iwe makini cheche zilichoma msitu!

    Ukiangalia kwa jicho la ndani utaona kuna mawazo kinzani juu ya hili swala la utekaji. Serikali inasema hilo jambo halipo na watu wanajifanyisha tu maigizo ila utekaji haupo. Rejea kauli ya Rais. Ukija bungeni spika anazuia jambo hili lisijadiliwe bungeni hata kinafiki tu ili kufunika kombe...
  10. Have Fun

    JamiiForums Tanzania Neno "Utekaji" lilianzia wapi mpaka likakubaliwa kutumika?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanadamu kutekwa.. Ile neno kutekwa ni Gumu sana kujua maana yake na kutamkwa, lilikujaje, na lilikubaliwa vipi kutumika kwenye jamii, walitumia njia gani? Maana JF, Vyombo vya Habari ndani na nje ya nchi, Bunge, Vyama vya Siasa, Mahakama, Jeshi, Serikali, Bar...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu kuna Watu hawajui Jambo hili. Nimeandika ili wajue. Hata hivyo hata kama hawajui lakini wakafanya mauaji haitaondoa Laana Kwa namna yoyote. Elewa kuna Makosa àmbayo kamwe Mungu hawezi kukusamehe hata ungetubu kwa namna gàni. Sheria za Mungu zîpo wazi...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko

    Hoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai baadhi yanahusishwa na vyombo vya dola. Leo Alhamisi, Agosti 29, 2024, hoja hiyo imeibuka bungeni...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Kisheria kuhusiana na utekaji unaoendelea

    Masuala yanayohusiana na utekaji nyara wa watu yanapovihusisha vyombo vya dola kama polisi, huibua wasiwasi mkubwa kuhusu haki za binadamu, utawala wa sheria, na uwajibikaji wa mamlaka. Katika muktadha wa Tanzania, kama kuna madai kama hayo, ni muhimu kufuatilia kwa karibu taarifa rasmi na...
  14. Noel france

    JamiiForums Tanzania Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Anti-ROBBERY , ya polisi Zimbabwe imepata tuhuma za utekaji wa wananchi wa zimbabwe, wachunguzi wameeleza

    Lawama zimeanza kua nyingi kuanzia bulawayo hadi harare, Wachunguzi na watafiti mbalimbali wametupia lawama Kwa polisi wa zimbabwe hasa wa kitengo maalumu cha kuzuia uhalifu Kwa utekaji na utesaji wa wananchi. Rushwa imetajwa pia kua ukikamatwa wakiomba pesa wakanyimwa, au wakakosa utapigwa...
  16. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

    1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia...
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kukomesha utekaji serikali ipige marufuku vikundi hivi vya kisiasa kama itaweza

    Tumekua tukishuhudia utekaji wa watu nchini vikifanywa na eti wasiojulikana! Hawa wasiojulikana ni watanzania ambao huenda wamejiambatanisha na vyama vya siasa, hata hivyo ni CCM tu ndiyo ina vikundi vinavyojulikana kama Chawa, Uhamasishaji, Wadudu na Green Guard(Umoja wa vijana), hawa huenda...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania TLS yamtaka Rais Samia kuunda Tume ya kuchunguza Polisi kuhusu utekaji wanaohusishwa nao. Yataka ripoti za uchunguzi kutolewa

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimemshauri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda tume maalumu ya kuchunguza ushiriki wa Jeshi la Polisi kwenye masuala ya utekaji na utesaji kwa kuwa Jeshi la Polisi limekuwa likituhumiwa kushiriki katika vitendo hivyo...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Pinda: Maadamu suala la Utekaji linasemwa, liwepo au lisiwepo lazima tuendelee kuwa Wakali hasa upande wa Serikali

    Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ameeleza anavyosikitishwa na matukio ya utekaji watoto na wengine kuuawa katika mazingira ya utatanishi huku miili yao ikikutwa imenyofolewa baadhi ya viungo kwa imani za kishirikina zinazohusishwa na harakati za uchaguzi Amesema "Wakati naingia Uwaziri Mkuu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mtende haki, Mficha ukweli

    Swala Surah An-Nisa (4:58): "Hakika Mwenyezi Mungu anawaamrisha mtende haki, na kuweka usawa na kuwa na uwajibikaji katika mambo yote. Na kuwa na uaminifu kwa wale walio na dhamana, na kutenda kwa haki kati ya watu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda walio na haki." Surah Al-Baqarah (2:81)...
Back
Top Bottom