Wakuu,
Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake.
Nadhani kuna mambo kadhaa anayoweza kuyafafanya kama ni kweli hafahamu chochote kuhusu yanayoendelea na...
NUKUU
"Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
Pia soma: Kuelekea 2025...
ali kibao
chadema
deni
dunia
kuelekea 2025
maandamano
maandamano chadema
mbowe
mkono
starehe
ujumbe
usiku
utekajiutekaji tanzania
wapinga
watu wasiyojulikana
Hawa watu kama wanafikiri kuteka na kuua watu ndio kutafanya watu wawe waoga, kwa hakika wanakosea sana, na aliewashauri aliwadanganya kwa kutokuja na kwa kutofanya research ndogo tu kujua kama vitendo hivi sehemu zingine duniani zimewahi kuwa msaada kwa watawala.
Hapa napoandika, huko Tanga...
Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii
Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼
======
Mohamed Dewji ameandika:
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa...
Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Nay Wa Mitego amesema hajawahi kuwa katika Chama cha Siasa lakini amechagua upande wa kuwasemea Wananchi ambao ni Mashabiki wake.
Nay amesema hayo wakati akijibu baadhi ya maoni ya wananchi kuhusu ukimya wa Wasanii wa Tanzania pale yanapotokea matukio...
Katika miaka na siku za hivi karibuni Taifa letu limekumbwa na matukio ya aibu ya utekaji, mauaji ya kikatili , ulawiti na matendo mengine ya hovyo sana!
Na katika matukio mengi ya hovyo yanayofanyika Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimenyooshewa sana vidole!
Katika udadisi wangu nimegundua...
C&P from Face Book.
KUTEKWA, KUTESWA, KUUAWA KWA ALLY KIBAO, TUSAIDIANE KUTAFAKARI
Na Bollen Ngetti
SOMA lakini kwa tafakuri pana labda tukajua ukweli walau kidogo si wote katika giza hili lililofunika kutekwa, kuteswa na hatimaye kuuawa kikatili Mzee Ally Muhammed Kibao al-maarufu MeD...
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.
Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk...
Mariam, mtoto wa aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ali Kibao akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni (kulia), baada ya kufika kuwafariji kwa kifo cha baba yake.
Kibao aliuawa baada ya kutekwa na watu wenye silaha, jioni ya Ijumaa ya...
10 September 2024
Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania;
"Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa makubaliano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Ubalozi wa Canada...
Je ni kweli kuna miili mingine mitatu iliokotwa sambamba na marehemu Kibao?
Kama ni kweli, kwa nini polisi haitoi taarifa kuhusu kupatikana miili hiyo?
Watanzania mlioko nyumbani, nendeni hospitali ya Mwananyamala kufuatilia hili suala. Iwapo miili hiyo ipo, DNA zichukuliwe kutambua next kin...
Amesema anasikitishwa sana na mauaji na utekaji. Swali ni alijiuliza, kama ni kweli ilikuwaje akaurudisha kwa kumteua mtu mwenye tuhuma za kuondoa haki za watu kuishi? Mtu ambaye taifa kubwa lenye vyombo na taasisi kubwa za ujasusi lilimpiga marufuku kuingia kwao kwa sababu ya tuhuma za kuua...
Nimeona teknolojia ya mtandao ikitumika kuwatambua mawakili kama wamesajiliwa kutoa huduma ya uwakili.
Nashauri Police wakamataji wote taarifa zao ziwekwe mtandaoni kwa maana ya Force Number, picha, Majina, Kituo anachofanyia kazi na kadhalika.
Hii itasaidia wakija kukamata mtu, watu wa karibu...
Moja kwa moja kwenye mada na leo nazungumzia umuhimu wa kamera za CCTV.
CCTV (closed- circuit television) ambayo pia yajulikana kama video ya uchunguzi au Video Surveillance ni kifaa muhimu sana cha ulinzi kwenye dunia ya leo.
CCTV hutumika katika maeneo ya umma kwa minajili ya kubaini na...
Msikilizeni huyo shuhuda.
Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho.
"Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki nilikuja kuaangalia tulikuta mtu amakekufa, kapigwa kichwani, amevia damu, amaetobolewa macho unaona...
Nipo najiuliza ilikuwaje akawa anatumia usafiri wa bus naamini huyu mzee hawezi kosa usafiri wa kusafiri kwenda hapa na pale.
Imani yangu inanituma alijua anafatiliwa akawa anajichanganya mazingira ya watu wengi kama kusafiri na bus ambapo aliona kwake itakuwa ni salama zaidi.
Lakini hawa...
Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT!
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa...
Huyu bwana kwani ni nani? Kila upoteaji na upatikanaji wa miili kabla ya Polisi yeye ndio mtoa habari 🤔🤔🤔
Pia soma
- Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?
Kada wa Chadema aliyeuwawa na wasiojulikana atazikwa leo na Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi atakuwepo.
Inna lillah waina illah rajiuun
-----
Mwili wa aliyekuwa Kada wa Chadema, Ali Kibao unatarajiwa kuzikwa leo Jijini Tanga, kata ya Tongoni katika kijiji cha Tarugube, baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.