Kimsingi suala la utekaji limeendelea kuwa suala linalotamkwa kila mahala. nimemsikia Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni, nimemsikia Rais wa TLS bwana Mwakubusi na pengine maeneo kadhaa.
Kama ni kweli hali hii ipo Polisi chukueni tahadhari ili kulinda mali na watu ndani ya nchi. Msingi wa 4R za...
Historia na Uteuzi
Hamad Masauni aliteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Januari 10, 2022. Kabla ya uteuzi wake, Masauni alikuwa na uzoefu wa muda mrefu katika siasa na uongozi, ambapo alishika nyadhifa mbalimbali ndani ya serikali na Chama cha Mapinduzi...
https://www.youtube.com/watch?v=3S9QuDpJOx0
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni amesema taarifa za kuwa kuna matukio ya utekaji hasa kwa Watoto Nchini ni sehemu ya kuzua taharuki ambayo yamekuwa yakifanywa na watu wachache kwa manufaa yao binafsi na kuwa Jeshi la Polisi...
Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana popote.
Watoto hao wanaosoma Shule ya Msingi Olosiva, wilayani Arumeru, wamedaiwa kupotea baada ya...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limefuatilia kwa kina taarifa zilizosambazwa leo July 22, 2024 kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki na hofu kwa Wananchi eneo la Mburahati zinazodai kuwa Watoto wawili wa Shule ya Msingi Brayson iliyopo Mburahati Wilaya ya Ubungo...
Jana usiku wakati naongea na moja ya ndugu zangu anaishi kisemvule kwa pembe au wanaita kisemvule mpera.
Tumeongea mengi pamoja na salamu za hapa na pale akanisimulia kuwa huku baba hali imebadilika sana kuna hali ya sitofahamu watu tunaishi kwa mashaka sana na watoto zenu.
Kwa sababu hivi...
Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini.
Taarifa mpya zilizolifikia Mwananchi zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke, Dar es Salaam na mkazi mmoja mkoani Geita wametoweka na jitihada za...
Kuna picha moja inasambaa mitandaoni mtoto anasadikika kutekwa, kukatwa mkonona sehemu za siri huko Dodoma, na picha nyingine ya polisi Mkoa anasema mbwa wamekutwa na mkono wa mtoto. ninyi mnaoishi huko dodoma tuambieni, hali ipoje, si mnajua familia nyingi zimehamishiwa huko mkaacha wanaume...
Wengi tuliamini Jeshi la Polisi linahusika Kuteka na kutesa watu hasa Wenye kukosoa serikali katika Mambo mbalimbali. Lakini Jana IGP CAMILIUS WAMBURA akiwa Bariadi ameta.ka Wazi kabisa Polisi wake hawahusiki. Na ametoa mifano ya Mtoto wa Mbeya aliyetekwa Kwa maelekezo ya mama yake ili apate...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi Machi mpaka Julai Jeshi la Polisi limepokea taarifa nne kutoka kwa wazazi wa Mbagala na Temeke...
Tumesikia wote kuwa mkuu wa Polisi Kenya kaamua kuwajibika kutokana na matendo ya polisi wakati wa maandamano ya GEN.Z na kupisha wengine.
Je, wa kwetu yeye anasubiri nini kwa matukio haya yaliyo shamiri ya utekaji na utesaji huku basdhi ya vituo vya polisi vikitajwa kuhusika na matukio hayo...
Salaam Wakuu,
Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
haki za binadamu
matukio watu kutekwa
matukio ya utekaji
mwisho
polisi wa tanzania na utekaji
uhai
utekajiutekaji dar
utekaji tanzania
wako
wasiojulikana
watu kupotea
watu kutekwa
watu waliopotea
watu wasiojulikana
MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO.
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Suleiman aliwahi kusema,
Mhubiri 7:17
[17]Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya...
https://youtu.be/OZ9qfm46k0U?si=Rlk4qTkzB_dJgkLz
Gabriel Oguda, popular social media activists allegedly abducted
Several social media users and content creators are missing after they were abducted in overnight operations in the country hours to anti-Finance Bill demonstrations.
Officials...
Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji
Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa madhila haya yaliyofanywa na Makonda wako hatua za mwisho kabisa kufungua mashitaka dhidi ya Makonda...
Arusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao huku kikundi cha wanasiasa wachache wakishika sekta zote muhimu za uchumi.
Wabunge waliopo sasa...
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU.
Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita.
Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume.
Akiwa njiani aliitwa na watu...
Masuala ya utekaji nyara ni jambo serious na lenye athari kubwa kwa usalama wa raia na heshima ya haki za binadamu. Ni muhimu kutambua kwamba suala la utekaji nyara linapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa, na vyombo vya usalama vinapaswa kuchunguza kwa kina na kutoa majibu yanayokidhi haki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.