utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM: Utaratibu wa mtu mmoja cheo kimoja kufutwa

    CCM inaenda kubadikisha katiba yake! Kwa habari zilizopo CCM inaenda kuwarudisha makati tawala kuwa wajumbe wa NEC, Utaratibu wa Makatibu Tawala kuwa wajumbe wa NEC uliondolewa na Hayati Magufuli baada ya kubadilisha katiba na wajumbe wa NEC kupatikana kwa njia ya kuchaguliwa kikanda. Sasa CCM...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua utaratibu wa kumpeleka mtu kwenye wodi ya vichaa

    Wakuu heshima kwenu, Nina ndugu yangu yupo Mwanza mjini. He is a black sheep in our family. MATENDO Na vituko anavyo vifanya tumejidhihirisha kwamba ana matatizo ya akili. Amevuta bangi Kwa Muda mrefu Sana ( Thanks God hatumii cocaine) Huko Mwanza ni Kwa Bibi kizaa mama. Nyumbani kwetu ni Dar...
  3. JamiiForums Tanzania OSHA , utaratibu huu mnaoutumia sio mzuri! Uangalieni upya

    Mamlaka ya usalama na afya katika mazingira ya kazi(OSHA), moja ya majukumu yake ni kutoa mafunzo mbalimbali kwa wafanyakazi mahala pa kazi. Tatizo ninalo liona ni pale mtu /taasisi inapohitaji mafunzo kwa wafanyakazi wake, unaambiwa jisajiri na kulipia gharama za mafunzo tena sio ndogo kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

    Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia 🇷🇺 nchini Ukraine 🇺🇦. Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji wa Beijing kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi 2022 imeanzisha kwa utaratibu

    Kuanzia tarehe 21 hadi tarehe 28 mwezi huu, Beijing itaendelea na kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangiliwa kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kuwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi.
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu ukoje iwapo mtu akifariki akaacha silaha kama Bunduki

    Habari wakuu. Naomba kufahamu utaratibu ukoje iwapo ndugu yako akifariki na akaacha bunduki aliyokua anaimiliki kihalali, je inarudishwa wapi ama inaweza kuuzwa kwa mtu mwingine ama kurithishwa kwa mtu mwingine? Natanguliza shukrani.
  7. JamiiForums Tanzania Wachaga, huu utaratibu wa kujenga kaburi kabla ya kufa umeanza lini?

    Nimeshtushwa kidogo kutoka kwa huyu ndugu Kimaro. Mkoa wa Kilimanjaro, katika kijiji cha Mbosho, wilayani Machame, kutana na Patrick Kimaro, mwenye umri wa miaka 59, ambaye amejingea kaburi lake. Kimaro amesema ni sehemu tu ya kujiandaa na maisha ya baadae na kuongeza kusema amefanya hivyo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kumuwekea mtu dhamana kwa kutumia Mali(mfano hati ya kiwanja), mahakamani ukoje?

    Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje? Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini mtu? Kwa maneno mengine, hati ya kiwanja inaweza kutumika kumdhamini mtu mahakamani na hufanyika...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu Tanzania tukawa na utaratibu kiongozi wa Serikali achaguliwe na Bunge

    Kiongozi wa nchi yetu anapokuwa ni Rais anakuwa na mamlaka makubwa sana. Yeye hawajibiki popote na kwa yoyote. Kwanini tusiwe na utaratibu kama wa Uingereza, India, South Africa, Canada. Tuwe na Rais au Waziri Mkuu amabaye atakuwa kiongozi wa taifa letu, ila atakaewajibika chini ya Bunge...
  10. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa nyongeza ya mishahara umekaaje?

    Habari za wakati huu ndugu Watanzania! Yahusu kuomba kufahamishwa juu ya utaratibu wa uongezaji mishahara kwa watumishi wa serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndugu, nimekuwa nikisikia kuwa mishahara ya watumishi wa serikali huwa inaongezeka kila baada ya muda fulani. Ningependa...
  11. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

    Hasa sisi tunaoishi mijini, kumekuwa na changamoto katika utunzaji wa familia zetu. Kwa walio wengi, hupenda kila siku kuacha hela za matumizi kwa familia zao; wapo wanaoacha elfu kumi kwa siku, ishirini, laki n.k Na waachapo hiyo fedha, ndio inayofanya manunuzi ya chakula kwa siku husika...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kukaguliwa ticket zaidi ya Mara 3 ktk basi unakera

    Habari Wana jamvini! Nchi nyingi za nje ya Tanzania Kuna utaratibu ukishakata ticketi ukapanda kwenye basi hautasumbuliwa mpaka unafika pahala unapokwenda. Ila Kwa Tanzania imekuwa Kero kubwa sana, ukipanda basi labda Dar mpaka ufike mwanza utakaguliwa ticketi na watu zaidi ya watatu tofauti...
  13. JamiiForums Tanzania Tupeni ushuhuda kwa mliowahi kukopo kwenye taasisi za kifedha zinazofuata utaratibu wa Sharia za Kiislam. Utaratibu upoje

    Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k. Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi) Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla...
  14. J

    JamiiForums Tanzania ACP Mukadamu: Utaratibu wa askari kusindikiza mabasi ya abiria umeonyesha mafanikio makubwa, tunaweza kuueneza nchi nzima

    ACP Mukadamu wa kikosi cha usalama barabarani amesema utaratibu wao wa askari kusindikiza mabasi ya abiria umeonyesha mafanikio makubwa sana ya kuzuia ajali hasa huko Singida, Mbeya, Songwe na sasa Dodoma. Afande Mukadamu amesema utaratibu huu unaweza kufanywa kwa nchi nzima ili kuwanusuru...
  15. JamiiForums Tanzania Je ni Kweli Kanisa la RC limebadili utaratibu wa mafunzo ya ndoa?

    Juzi nimekutana na kijana ambaye ametoa mahari (anataka kufunga ndoa) siku si nyingi akiniambia ametoka kwenye mafunzo ya ndoa katika kanisa la rc. Cha kushangaza kijana huyu kaniambia kanisa limebadili utaratibu wa mafunzo ya ndoa kuwa kwa sasa ni Mwaka mmoja yaani kila mwezi mnaenda mara...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo na Uvuvi wekeni utaratibu rahisi katika kutoa vibali vya kusafilisha vitu nje ya nchi

    Baada ya kurejea nchini, matumaini yangu na nguvu ya kuitumikia Tanzania yalikua makubwa kweli, Nilijaribu tafuta ajira kwa kipindi cha mwaka mmoja bila mafanikio, nikaamua kuanza kujiongeza kwa kutumia uzoefu wangu wa nje hasa katika e-commerce huku nikilenga kushirikiana na wajasiliamali wa...
  17. JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu suala la Machinga; bado utaratibu unazingatiwa na je, kuna miundombinu wezeshi?

    Habari zenu wakuu. Bila shaka mnafanya vyema katika ujenzi wa taifa. Tuwe wazalendo, tupendane. Haya moja kwa moja kwenye mada. Kuhusiana na machinga. Hapo mwanzoni mwa utawala wa Samia sakata la machinga lilichukua taswira pana. Kukatokea movement kibao na matamko ya kutosha toka kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko

    Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Ndugai. Ulianza mjadala kwamba kwanini ktk barua yake ameandika herufi kubwa pekee? KIMSINGI kilichosambaa mtandaoni siyo barua bali ni TAARIFA KATIKA VYOMBO VYA HABARI ambayo ni sawasawa...
  19. JamiiForums Tanzania Job Ndugai kakumbusha utaratibu mzuri ambao ulishasahulika Tanzania. Tuuendeleze

    Mara ya mwisho Tanzania kuona kiongozi aliyeshukiwa kufanya makosa akambiwa ajiuzulu na akatekeleza, ilikuwa ni mwaka 2008 ambapo Lowassa alijiuzulu kutoka kiti cha uwaziri mkuu. Hivi majuzi kuna Waziri alishukiwa kufanya maamuzi "nonsense" akaambiwa ajiuzulu, ikawa kimya. Lugola alifokewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…