Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
4,365
13,692
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.

Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya bilionea huyo liitwalo Adani Group ya India imekuwa ikipigiwa chapuo "kuwekeza" katika shirika la TANESCO kwa njia ya PPP na dalali wa taifa David Kafulila.

Kwenye dunia hii hakuna wajomba, kila nchi inaangalia maslahi yake kwanza na wajinga ndio waliwao. Tuendelee kuweka watu wajinga kwenye nafasi nyeti ili tuendelee kupigwa mpaka siku Yesu anarudi.

=====

Indian billionaire Gautam Adani and other executives were indicted in New York for roles in a multi-billion-dollar fraud scheme, the US Department of Justice said Wednesday.

Authorities said Adani and seven other senior business executives, including his nephew Sagar Adani, promised more than $250 million in bribes to Indian government officials to secure solar energy contracts.

Those bribes were “to lie to investors and banks to raise billions of dollars, and to obstruct justice,” said Deputy Assistant Attorney General Lisa Miller in a statement Wednesday.

Worth more than $85 billion, Adani is Asia’s second-richest person behind countryman Mukesh Ambani, according to Bloomberg’s Billionaires Index. He is the founder of sprawling Indian conglomerate Adani Group.

The solar energy supply contracts were projected to raise more than $2 billion in profits after tax over an approximately 20-year period.

Authorities said Adani personally met with an Indian government official to advance the scheme, which took place between 2020 to 2024. The defendants frequently met and discussed the bribery scheme, including evidence on several phones.

Some of that documentation included a cell phone to extensively track specific details on the bribes, a photograph of a document summarizing various bribe amounts and PowerPoint and Excel analyses “that summarized various options for paying and concealing bribe payments,” the Department said in its statement.

Adani and his associates tried to hide these bribery schemes from US investors “in order to obtain financing, including to fund those solar energy supply contracts procured through bribery,” the DOJ said.

In a parallel action, the Securities and Exchange Commission also charged both Adanis (as executives of Adani Green Energy Ltd) and Cyril Cabanes, an executive of Azure Power Global, for the bribery scheme that the SEC said allowed both companies to capitalize off a lucrative contract by the Indian government. The SEC said Adani Green raised more than $175 million from US investors on those misrepresentations.

Adani was accused by the US short-seller Hindenburg Research of a “brazen stock manipulation and accounting fraud scheme” in January 2023. Adani’s fortune – which at one point in 2022 was worth more than Jeff Bezos – plummeted over $80 billion following the report.

His net worth currently sits at $85.5 billion on the Bloomberg Billionaires Index.

In its investigation, which Hindenburg said took two years to compile, the American firm had questioned the “sky-high valuations” of Adani companies and said their “substantial debt” put the entire group “on a precarious financial footing.” Short-sellers make money by betting that a company’s stock will fall.

The Adani Group published a 400-page rebuttal, calling the Hindenburg analysis “nothing but a lie.”

Adani is a seen as a close ally of Indian Prime Minister Narendra Modi and began his career in diamond trading. He set up a commodity trading business in 1988, which later evolved into Adani Enterprises, and now has firms in key sectors ranging from ports and power to media and clean energy.

CNN Business
 
Huyu Adani si alifurumushwa kenya baada ya kuwa ameingia mkataba wa kuendesha airport sijui na kitu gani. Sema pale airport alikuwa anaweka mpunga mrefu sana kuliko ambao hawa emirates wameweka pale bandarini.

Halafu mwaka jana, alipata scandal ya kumanipulate taarifa zilizofanya hisa za kampuni zake kupaa mwisho kuna whistleblower akaonyesha dalili za kuwa kuna kitu hakiko sawa ndipo hisa zikaanza kushuka thamani.

Ipo siku miaka kadhaa mbele tutakuwa tunaulizana nani aliingia mikataba hii kama ambavyo tuliulizana kipindi cha dowans na uzuri Tanzania kuwajibika ni kujiuzuru kama bado uko madarakani napo si lazima, na ukaendelea na maisha yako ukitumbua kile ulichochuma kama kawaida.
 
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.

Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya bilionea huyo liitwalo Adani Group ya India imekuwa ikipigiwa chapuo "kuwekeza" katika shirika la TANESCO kwa njia ya PPP na dalali wa taifa David Kafulila.

Kwenye dunia hii hakuna wajomba, kila nchi inaangalia maslahi yake kwanza na wajinga ndio waliwao. Tuendelee kuweka watu wajinga kwenye nafasi nyeti ili tuendelee kupigwa mpaka siku Yesu anarudi.

Wenzetu wako serious sana lakin hapa nyumbani they dont care, madhara huwa yanaonekana baadae sana halaf watakaa kimyankama hawajui kilichotokea
 
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.

Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya bilionea huyo liitwalo Adani Group ya India imekuwa ikipigiwa chapuo "kuwekeza" katika shirika la TANESCO kwa njia ya PPP na dalali wa taifa David Kafulila.

Kwenye dunia hii hakuna wajomba, kila nchi inaangalia maslahi yake kwanza na wajinga ndio waliwao. Tuendelee kuweka watu wajinga kwenye nafasi nyeti ili tuendelee kupigwa mpaka siku Yesu anarudi.

Uwekezaji mkubwa kwa asilimia kubwa huenda pamoja na rushwa kubwa kubwa, wizi mkubwa, ikibidi mauaji na mambo mengine mengi yasiyo mema hiyo ndo babylon economy system inavyooperate
 
Kwa tunaomjua Kafulia, hamna kitu. Ni jambazi kuliko hata Makonda akiona fedha. Huyu gabacholi kakatliwa Kenya kiasi cha watu kuandaman. Tuna matatizo gani watanzania au ni ufisadi na ubinafsi mbali na upofu wa akina Kafulia na waliomteua?
 
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.

Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya bilionea huyo liitwalo Adani Group ya India imekuwa ikipigiwa chapuo "kuwekeza" katika shirika la TANESCO kwa njia ya PPP na dalali wa taifa David Kafulila.

Kwenye dunia hii hakuna wajomba, kila nchi inaangalia maslahi yake kwanza na wajinga ndio waliwao. Tuendelee kuweka watu wajinga kwenye nafasi nyeti ili tuendelee kupigwa mpaka siku Yesu anarudi.

Humu nimekuwa natoa maoni kwamba hao rai wa kigeni, (foreigners), tusiwategemee sana wengi ni matapeli, (most of them are Crookes), have got crooked ideas
 
Siku zote tunasema hizi nyuzi za kafulia za kila siku kujipigia debe zina sababu, na kapata wapi uwezo ghafla wa kulipa machawa waliojaa humu deile, sasa hesabu za kujumlisha na kutoa zinaonyesha kuna mpunga kapiga! Uwekezaji mkubwa kwa nchi maskini siku zote unaanza kununua wafanya maamuzi kwanza na makombo kidogo kwa wapiga debe, haya tuendelee kupaisha pppp, ccm hoyee! Juu juu zaidi:p
 
Siku zote tunasema hizi nyuzi za kafulia za kila siku kujipigia debe zina sababu, na kapata wapi uwezo ghafla wa kulipa machawa waliojaa humu deile, sasa hesabu za kujumlisha na kutoa zinaonyesha kuna mpunga kapiga! Uwekezaji mkubwa kwa nchi maskini siku zote unaanza kununua wafanya maamuzi na makombo kidogo kwa wapiga debe, haya tuendelee kupaisha pppp, ccm hoyee! Juu juu zaidi:p
Watanzania wakiona mtu kwenye tv anatoa statistics na maneno ya kiingereza ambayo hawayaelewi basi wanamwona ana akili faster nyuzi za kumsifia, na wengine kusema anafaa kuwa rais.

Kuwalaghai watanzania unahitaji ujue zaidi PR wala si kuwa na uwezo mkubwa. Ukiwa na uwezo mkubwa watanzania hawakuelewi.
 
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.

Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya bilionea huyo liitwalo Adani Group ya India imekuwa ikipigiwa chapuo "kuwekeza" katika shirika la TANESCO kwa njia ya PPP na dalali wa taifa David Kafulila.

Kwenye dunia hii hakuna wajomba, kila nchi inaangalia maslahi yake kwanza na wajinga ndio waliwao. Tuendelee kuweka watu wajinga kwenye nafasi nyeti ili tuendelee kupigwa mpaka siku Yesu anarudi.

Tangu lini tumbili akawa na akili
 
Hakuna cha ajabu kwani matapishi ya Marekani ndiyo lishe yetu. Hivi vitambi vilivyotamalaki nchini na kuota kama uyoga chanzo chake ni hayo matapishi. Unamkuta mtu akishashiba hayo matapishi hagusiki.
 
Soma nini kilitokea Kenya dhidi ya huyo bilionea. Kama anafanya magumashi huku na kule basi hata hapa kwetu anatafuta kutupiga. Itakuwa nchi ya wapumbavu kama tunapuuzia vitu vya msingi kama historia ya "mwekezaji".
 
Ni suala la muda tu na sisi watanzania tutafilisiwa na huyo Adan.Na ubaya tuna kiranja wa hovyo kuliko viranja wote waliopita,Hivyo Nchi itafilisiwa na kutakuwa hakuna pa kukimbilia maana Kila sehemu Kuna kiranja wa hovyo pamoja na huyo CO wa PPP
 
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.

Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya bilionea huyo liitwalo Adani Group ya India imekuwa ikipigiwa chapuo "kuwekeza" katika shirika la TANESCO kwa njia ya PPP na dalali wa taifa David Kafulila.

Kwenye dunia hii hakuna wajomba, kila nchi inaangalia maslahi yake kwanza na wajinga ndio waliwao. Tuendelee kuweka watu wajinga kwenye nafasi nyeti ili tuendelee kupigwa mpaka siku Yesu anarudi.

Tayari ana Bandari. I believe the USA is going to prove that they are corrupt. Sasa utakuta kwenye mikataba hatuweki disclaimer kama ikithibitika kampuni yako imebeba rushwa mkataba unasitishwa bila refund yeyote.
By the time this regime will be over all the interested assets of the country will be at the hads of either MBZ, Indians or MBS. Just wait and see.
 
Kafulila sio mtu smart kama wengi wanavodhani, muda ukifika yake mengi tutayaanika
Anazichangamukia fursa, (an opportunity seeker)

Ukoloni mambo leo:
Kwasasa nchi za Africa tunatawaliwa kiuchumu, kupitia, ukoloni mambo leo, kwavile, tunatumia vitu ambavyo hatuzalishi angalia nguo tunazovaa kuanzia miguuni hadi kichwani usisahau simu na chaja yake, huu mtandao siyo wakwetu, (internet),.

Angalizo, whatsap ama internet wakiamua kuzima tutarudi kwenye ujima

Hivi nikwanini mijadala ya kitaifa kwa mambo ya msingi huwa haipo, mijadala mingi ni ya kumbukizi ama ile ambayo watawala wataimarishwa kisiasa na kidogo sana kuhusu maendeleo ya watu
 
Anazichangamukia fursa, (an opportunity seeker)

Kwasasa nchi za Africa tunatawaliwa kiuchumu, (ukoloni mambo leo), tunatumia vitu ambavyo hatuzalishi angalia nguo tunazovaa kuanzia miguuni hadi kichwani usisahau simu na chaja yake , hii internet siyo ya kwetu, whatsap ama internet wakiamua kuizima tutarudi kwenye ujima

Hivi nikwanini mijadala ya kitaifa kwa mambo ya msingi huwa hayapo, mijadala mingi ni ya kumbukizi ama ile ambayo watawala wataimarishwa kisiasa na kidogo sana kuhusu maendeleo ya watu
Kwanza fahamu mijadala hufanywa na wenye akili, ukishaona watu mijadala mikubwa ni mwenge, kumbukizi za Vifo, may mosi, siku ya ukimwi, siku ya wanawake hapo ujue Pana tatizo kubwa sana
 
Back
Top Bottom