Niliambiwa na ndugu mmoja kanisani kwetu aliyetokea Zambia, kwamba nchini kwao waganga wa kienyeji huacha uchawi vijijini na kwenda kuwa wachungaji wa makanisa katika miji na majiji, nao husema eti unaweza kupata pesa nyingi ukiwa mchungaji mjini kuliko kuwa mganga wa kienyeji kijijini kwa kuwa...