utani

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Nchi ina utani hii. Huyu ndo alitaka kwenda kugombea Urais huko CUF?

    Wakuu Nimekutana na video hii huko mtandaoni. Huyu ni mgombea wa Urais kupitia CUF anaitwa Mkunyutila Siwale hapa ndo alikuwa anawashawishi wajumbe waweze kumpigia kura ili aweze kugombea Urais kupitia chama cha CUF Sasa inavyoonekana sijui ni uzee au kukosa confidence lakini kashindwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tuache utani hili konokono la jamiiforums linatisha sana hakuna mbadala

    Hili dude sio kahuna namna ya kutuhabarisha kama kuna tatizo zaidi ya kutishana USSR
  3. JamiiForums Tanzania Nilisikia sehemu kwamba "TUNATAKA KUVUNA KURA NA SIO MABUA HIVYO HATUTACHEKA NA NYANI" Nikajua utani bwana kumbe njemba zilikua serious.

    Kilichifuatia wakamuuliza ChatGPT "Unaijua katiba ya Tanzania" Robot la sam likasema "Ndio" Wakauliza tena "Tudeal nae vipi" ChatGPT akacheka kwanza, kisha akasema "Got you... huyu kavunja kipengelea A, B, C, piga ban kanisa lake tu" Wakauliza kwa nn kanisa lake? Chat akasema "Si audience...
  4. JamiiForums Tanzania CHAPUTA kilianza kama utani sasa hivi mpaka sheikh /maalim anakifahamu

    Habari wakubwa
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasongo, Zakayo, El Chapo na Naibu Yesu - kwa nini rais wa Kenya ana majina mengi ya utani?

    Mei 2025 Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani. Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi. Kama ilivyo ada wakati watu wanapewa majina mbadala, mengine ni kuonyesha mapenzi lakini mengine yanakusudia kumdhihaki...
  6. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe itanie Simba uwezavyo ila usilete utani kwenye Brand za biashara za watu, utapotea

    Ukiona kampuni imesimama mpaka imejulikana kitaifa ujue owners wamepambana sana,jasho,machozi na damu. Hakuna mtu mnyonge anayeweza kumiliki kampuni yenye thamani ya mabilioni. Company owners wengi ni mafia, kukupoteza wewe kiumbe mdogo ni sekunde. Mtu amemtoa kafara mzazi wake, mtu ameroga...
  7. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Utani na watani wa Jadi

    Hapa ni pale ambapo mambo ya utani sio tu yataonekana bali yataonekana kutendeka. Watanzania wanatumia utani katika kufanikisha na kurahisisha maisha yao, kufikisha ujumbe mzito kule unakotakiwa ufike hata kama uwe mbaya, waaibu au wahatari kiasi gani. Uko utani wa makabila, kisiasa na michezo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni dini ya Uhuru na amani, utani na mizaha haina shida, nawashangaa wakristo wanaolalamika alichofanya Mwijaku

    Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel yaani IDF halina utani, lafanya shambulizi kali la kutokea angani huko Syria kwenye mji wa pwani ya Latakia,

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za hivi punde za motomoto zinasema IDF wamefanya shambulizi kali la anga huko Syria Mlengwa hajajulikana bado ila naahidi kuwa nitawajuza nani kaliwa kichwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo The Syrian National News Agency...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

    CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana. Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream. Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa. Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DR Congo USD 5milion kutumtia nguvuni Nangaa achieni utani

    Eti
  12. JamiiForums Tanzania Utani ukizidi huleta mazoea mabaya. Usiruhusu kudharauliwa eti ni utani

    Utani ni nini? Utani ni maneno ya mzaha ila yenye ukweli fulani ndani yake. Makazini na vibaruani kwetu au sehemu za starehe tumekuwa tukitaniana, tunacheka tunagonga tano na maisha yanaendelea. Lakini wengi tunaambiwa maneno ya kweli kupitia utani. Si kila kabila hutaniwa, wengine huchukia...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna mke wa mtu nilianza kama utani ila nimemkaribisha kwa siku moja nyumbani kwangu siku hiyo hiyo nimemtamkia ndo nikaanza nakumtafuna

    Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu. Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia anakuja ile alivyokuja nikamtamkia nampenda ila alichonisihi akaomba iwe siri yangu mimi na yeye...
  14. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka acha kabisa kuweka utani kwenye mambo yanayoumiza! Acha kabisa!

    Wakili Peter Madeleka nimekusikia leo ukiwa unaongea ukiwa mahakama ya Kisutu. Ulikuwa unaongelea kuhusu dhamana ya Dkt. Slaa. Nimekuelewa kuwa ulikuwa unaongea utani na dhihaka kama kufikisha ujumbe fulani dhidi ya Mahakama isiyo na meno kwa serikali, mahakama ya Tanzania. Sijafurahishwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Ni tu utani tu

    NI UTANI TU 😂😂 Kama umeona umri unakutupa mkono,na unatamani kurudisha miaka nyuma, Hemu Nenda hapo Ethiopia huko saivi ni 2017 Eti kadi yako ya bank unaambiwa umeweka namba ya siri,halafu ni siri yako tu... Lakini ukikosea kuingiza pin unaambiwa umekosea, Wao wamejuaje nimekosea Au acha tu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

    Salaam,Shalom!! Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha? Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake? Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi? Wana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Engineer Hersi analeta utani, kweli Kibabage na Israel Mwenda ndio wakakabe mawinga wa Esperence wakiwa wanatafuta goli? Yanga tunatapeliwa na gsm

    Habari wadau Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana. Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana Engineer amebadilika kama zuwena Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda. Nawazaa...
  18. JamiiForums Tanzania Jina lipi la utani mlimbatiza baba yako kutokana na ukali wake?

    Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia. Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi badala ya upendo na usalama kutoka kwa wazazi. Mfano mzuri ni pale baba anaporudi nyumbani kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

    Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics...
  20. JamiiForums Tanzania Muache kuitana wake zenu blood pressure hatakama n utani

    Pitapita hapa Nimekutana na jamaa zangu karume kijiwen Nafika naonaa wanaambiana hahaa wewee leoo umekuja blood pressure wakoo kakuruhusu leo MMmhnkawaza nani... Mwingine akajibu hahaa blood pressure wangu hana shida anatumia 3g yaan yeye urudi usirudi kabisa nyumban hata hasumbuki na wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…