utani

  1. Kijakazi

    Missile ya Mullahs wa irani inafika Bongo!

    huo ndio mzingo ambao irbm ya islamic republic of iran inaweza ku-hit, ni 4500km from tehran, hawa mullahs siyo wa mchezo mchezo aisee ...
  2. Samia atosha tukutane2030

    Utani lakini kuna kaukweli: Usipomkula vizuri, lazima akuue

    Usipomfanya vizuri mpaka kiuno kikateguka na utando ukatoka lazima awe na kinyongo. Lazima aishi kwenye wimbi la hasira. Kuna wanaume wamejisahau, wanadhani wakimpa mimba mwanamke ndiyo wamemfikisha mlima Kilimanjaro. Unaweza kuzaa watoto 10 yet ndani ya miaka 20 ya ndoa yenu ikawa umemfikisha...
  3. M

    Rigathi Gachagua akimwiga kwa utani Naibu Rais Kithure Kindiki

    Aliyekuwa naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua akimwiga kwa utani Naibu Rais Kithure Kindiki.
  4. Yoda

    Utani wa Waarabu wa kuweka watu roho juu.

  5. GENTAMYCINE

    Oya huu Utani wenu wa kutuita Simba SC Wagawa Utamu uishie humu humu Mitandaoni, ila Mtu akiniita live Mtoa Utamu hakyanani Nakata Nafunua na Ndoo Juu

    Na wengine nadhani Kiasili mnatujua ni Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) na tulishacheza Boxing Majeshini Kitambo.
  6. The Burning Spear

    PostGE2025 Wazee waanza kukosa seat kwenye daladala, GenZ hawana utani

    GT Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama. Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua watanzania kimewaudhi sana GenZ. Ngoja tuone mpaka mwisho movie itakuwaje
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Brr!!!Brr!! sms mpya najua mshahara kumbe TAKUKURU, wazee acheni utani, wezi mnawajua na taarifa tumeleta hapo ofisini

    Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa , bali kila mtu anufaike na hizi pesa zetu. Taarifa mnaletewa kila siku ila mnaleta maigizo hapa...
  8. Fbn

    Ni Hatari kufanya Utani kwenye Mambo ya Mungu "Toka lini shetani Kufukuza jini?"

    Kuna mda tunapoelekea sijui kama tuna jenga nchi embu pata huyu ndio kawa waziri
  9. Nipe Maji

    SI KWELI Simba imetoa taarifa kwa umma kuomba radhi mashabiki wake kushindwa kuvumilia utani wa Yanga SC

  10. kiss ov love

    Kumbe kuna watu hawajui utani

    Nimemuwish siku yake ya kuzaliwa nikamtania kama hivyo amekasirika hata sms hajibu tena.
  11. LiFe 2-point-0

    Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

    Wakuu, mambo salama!? Kazi ndiyo utu, hivyo niwapongeze na majukumu yenu mnayoendelea nayo. Kuna suala ambalo siku ya juzi (Jumanne) nimekutana nalo kwa mara ya 5 hivi, na nikaamua kulidodosa kimtindo fulani. Then I realized, it is true. Nilikuwa jijini for almost a week kwa shughuli zangu tu...
  12. McLaren

    GE2025 Video: Nchi ina utani hii. Huyu ndo alitaka kwenda kugombea Urais huko CUF?

    Wakuu Nimekutana na video hii huko mtandaoni. Huyu ni mgombea wa Urais kupitia CUF anaitwa Mkunyutila Siwale hapa ndo alikuwa anawashawishi wajumbe waweze kumpigia kura ili aweze kugombea Urais kupitia chama cha CUF Sasa inavyoonekana sijui ni uzee au kukosa confidence lakini kashindwa...
  13. USSR

    Tuache utani hili konokono la jamiiforums linatisha sana hakuna mbadala

    Hili dude sio kahuna namna ya kutuhabarisha kama kuna tatizo zaidi ya kutishana USSR
  14. Teslarati

    Nilisikia sehemu kwamba "TUNATAKA KUVUNA KURA NA SIO MABUA HIVYO HATUTACHEKA NA NYANI" Nikajua utani bwana kumbe njemba zilikua serious.

    Kilichifuatia wakamuuliza ChatGPT "Unaijua katiba ya Tanzania" Robot la sam likasema "Ndio" Wakauliza tena "Tudeal nae vipi" ChatGPT akacheka kwanza, kisha akasema "Got you... huyu kavunja kipengelea A, B, C, piga ban kanisa lake tu" Wakauliza kwa nn kanisa lake? Chat akasema "Si audience...
  15. Royal Son

    CHAPUTA kilianza kama utani sasa hivi mpaka sheikh /maalim anakifahamu

    Habari wakubwa
  16. The Zanzibar Echo

    Kasongo, Zakayo, El Chapo na Naibu Yesu - kwa nini rais wa Kenya ana majina mengi ya utani?

    Mei 2025 Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani. Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi. Kama ilivyo ada wakati watu wanapewa majina mbadala, mengine ni kuonyesha mapenzi lakini mengine yanakusudia kumdhihaki...
  17. mdukuzi

    Ali Kamwe itanie Simba uwezavyo ila usilete utani kwenye Brand za biashara za watu, utapotea

    Ukiona kampuni imesimama mpaka imejulikana kitaifa ujue owners wamepambana sana,jasho,machozi na damu. Hakuna mtu mnyonge anayeweza kumiliki kampuni yenye thamani ya mabilioni. Company owners wengi ni mafia, kukupoteza wewe kiumbe mdogo ni sekunde. Mtu amemtoa kafara mzazi wake, mtu ameroga...
  18. kavulata

    Uzi maalumu wa Utani na watani wa Jadi

    Hapa ni pale ambapo mambo ya utani sio tu yataonekana bali yataonekana kutendeka. Watanzania wanatumia utani katika kufanikisha na kurahisisha maisha yao, kufikisha ujumbe mzito kule unakotakiwa ufike hata kama uwe mbaya, waaibu au wahatari kiasi gani. Uko utani wa makabila, kisiasa na michezo...
  19. R

    Ukristo ni dini ya Uhuru na amani, utani na mizaha haina shida, nawashangaa wakristo wanaolalamika alichofanya Mwijaku

    Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
  20. U

    Jeshi la Israel yaani IDF halina utani, lafanya shambulizi kali la kutokea angani huko Syria kwenye mji wa pwani ya Latakia,

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za hivi punde za motomoto zinasema IDF wamefanya shambulizi kali la anga huko Syria Mlengwa hajajulikana bado ila naahidi kuwa nitawajuza nani kaliwa kichwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo The Syrian National News Agency...
Back
Top Bottom