utambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

    Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kitendo cha Tshabalala kukatika kwenye utambulisho wake imenikwaza sana

    Inaonekana jamaa alikuwa anaipenda sana Yanga siku mingi. Sio kwa mauno yale wakati wa kutambulishwa.
  3. chiembe

    Serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu ulioagiza baadhi ya mashahidi utambulisho wao usifichwe, Kesi ya Kisutu isimame kwanza

    Nashauri serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba baadhi tu ya mashahidi ambao ni raia, utambulisho wao ufichwe, ila wengine utambulisho wao uwekwe wazi. Hivi kama wafuasi wa Lissu wanatishia kuua au kudhuru mashahidi, hao mashahidi wasio raia hawawezi kuuliwa au...
  4. Waufukweni

    VIDEO: Shabiki wa Simba adai App ya klabu imejam wakisubiri utambulisho wa mchezaji

    Shabiki wa Simba SC adai App ya klabu imejam kutokana na wingi wa watumiaji wakisubiri utambulisho wa nyota mpya usiku huu.
  5. Waufukweni

    Rasmi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba SC kwenye mitandao yake

    Wakuu! Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC. Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na...
  6. digba sowey

    Bodi ya mikopo na serikali,je haya malipo ya shilingi 20,000/= ni sahihi ili kupata namba ya utambulisho wa makazi (NaPa) ?

    Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana ambazo kuzikamilisha inakuwa ngumu na pengine Kuna mianya ya rushwa. Binafsi nakubaliana na huu...
  7. N

    Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu

    Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu Katika kipindi cha sasa ambapo utandawazi umeenea kwa kasi, jamii nyingi barani Afrika zimeanza kupendelea kutumia majina ya kigeni hasa ya Kiarabu na ya Kiingereza, huku zikiyapuuza majina yao ya asili. Wapo wanaoona kuwa kutumia...
  8. Ojuolegbha

    Balozi Matinyi awasilisha hati za utambulisho kwa Mfalme wa Sweden

    Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kasri la Mfalme wa Sweden (wa pili kushoto na wa mwisho kulia) na Ofisa Msindikizaji wa Mabalozi (kushoto kwake) mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI Gustaf wa...
  9. GENTAMYCINE

    Kwa utambulisho alioufanya Spika Tulia Ackson Bungeni kwa Mumewe sasa nimeamini kuwa Ukioa tu Mwanamke wa Mkoani Mbeya jiandae Kutawaliwa nae mazima

    Nilidhani atamtambulisha Muwewe (Boss wa EWURA) kwa Majina yake yote Matatu au hata Yeye pia kuacha Kujiita Tulia Ackson Mwakyusa na kujiita Tulia Andilile Mwainyekule lakini kila Mtu kabakia na Jina lake la Ubini / Ukoo ikidhihirisha kuwa ni kweli Wanawake wa Mkoa wa Mbeya wanapenda mno kuwa...
  10. Elly official

    Mateso ya mwafrika chini ya dunia: Uongo, utumwa mpya, na upotevu wa utambulisho

    Utangulizi Kuletwa kwa dini barani Afrika haukuwa tukio la kiroho, bali ni sehemu ya mpango mpana wa utawala wa kikoloni na kiakili. Wamisionari walikuja sambamba na wakoloni – wakitumia Biblia mkononi wa kushoto na bunduki mkononi wa kulia. Wakaua utamaduni wa Mwafrika, wakaweka hofu...
  11. M

    Barua ya Utambulisho katika usaili wa utumishi

    Habari wadau, samahani naomba kuuliza kuhusu Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa inatakiwa iwe na sifa gani ili nipokelewe katika usaili wa utumishi? je inasainiwa na Afisa mtndaji au mwenyekiti wa mtaa ?
  12. T

    Utambulisho wa Joseph

    Habari za wakati huu wanajukwaa wenzangu, Naomba nitumie fursa hii kujitambulisha rasmi. Naitwa Joseph Lucas Mkumbo, nina umri wa miaka 38 na ninatokea Utemini, mkoani Singida. Kwa sasa ninahudumu kama Manager Director wa kampuni ya Africa Sites Mineral, iliyopo Ikungi – Mang’onyi, mkoani...
  13. Ojuolegbha

    Waziri Kombo apokea nakala ya Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Uturuki nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA NAKALA YA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA UTURUKI NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. H.E...
  14. Moaz

    UTAMBULISHO WA JUKWAA LA SAUTI YA MPIRA TANZANIA(SAMTA)

    Ndugu Wadau wa Soka Tanzania, Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha katika mchakato muhimu kuhusu maendeleo ya mpira wa miguu nchini Tanzania kupitia mradi wa SAMTA (Sauti ya Mpira Tanzania). UTAMBULISHO WA SAMTA SAMTA ni jukwaa linalokusudia kuwakutanisha wadau wote wa mpira wa miguu nchini...
  15. Huihui2

    Nafuu tusiwe na utambulisho kuliko singeli kuwa utambulisho wa muziki wa Tanzania

    Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa? Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan. Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo...
  16. Ojuolegbha

    Waziri Kombo apokea nakala ya hati za utambulisho kutoka kwa balozi mteule wa Thailand nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Thailand nchini Tanzania mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. H.E. Morakot Janemathukorn, Katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar...
  17. H

    Waziri Kombo apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Susan Namondo katika Ofisi Ndogo...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Afrika Kusini: Mrembo mwenye asili ya Nigeria ajitoa kuwania Taji la Miss South Africa 2024

    Baada ya Mashindano ya Urembo kuzua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni. Baada taarifa hiyo leo Chidimma Adetshina ametoa taarifa kupitia mitandao yake ya Kijamii ya...
  19. ndaosca

    Ninayo furaha kujiunga na wana-Afrika Mashariki wenzangu hapa JamiiForums

    Hodi wanajamii! 👋 Naitwa Oscar Ndayi 🇧🇮, Mrundi kwa asili lakini kwa sasa nipo nchini Indonesia 🇮🇩 kusoma (Doctoral Student) katika Programu ya Tathmini ya Miradi (Program Evaluation), Chuo Kikuu cha Yogyakarta State University. 🎓 Nina furaha isiyo kifani kuona fursa ya kuwa na wa East...
  20. L

    Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam Hapa Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo Jumatatu ikulu ya Dar amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam Hapa Nchini. Hii ni baada ya hapo jana kushiriki vyema katika sherehe za uapisho wa...
Back
Top Bottom