Barua ya Utambulisho katika usaili wa utumishi

Barua ya Utambulisho katika usaili wa utumishi

Mjumbe255

Member
Joined
May 5, 2024
Posts
34
Reaction score
56
Habari wadau,
samahani naomba kuuliza kuhusu Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa inatakiwa iwe na sifa gani ili nipokelewe katika usaili wa utumishi? je inasainiwa na Afisa mtndaji au mwenyekiti wa mtaa ?
 
Wewe nenda ofisini kwa mtendaji kawaambie unataka barua ya utambulisho watakupatia halafu hilo swali lako majibu utayapata hapohapo ukishaiona hiyo barua.. All the best katika usaili wako
 
Nenda ofisi ya mtendaji wa Kijiji au mtaa atakupa majibu yote.
 
Nenda ofisi ya serikali ya kijiji au mtaa ukiwa na passport-size photo yako moja, utaandikiwa barua ya utambulisho. Usisahau kuwapa address ya PSRS maana unatambulishwa kwao. Pia beba hata 2000 ya vocha ya kumpa mwenyekiti au mtendaji wa mtaa japo huduma hiyo ni bure sio lazima utoe chochote. Maandalizi mema ya usaili mpambanaji.
 
Back
Top Bottom