utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa research niliyofanya makabila yaliyofanikiwa zaidi hapa Afrika yana utamaduni wa kurudi kwao kwa wingi kila mwisho wa mwaka,

    Wakati familia mbalimbali za jamii flani zinapokuwa kwenye misururu ya foleni ya kwenda vijijini kwao unajua sikukuu za mwisho wa mwaka zimekaribia, watu hao hutoka kila kona ya dunia kusherehekea mwisho wa mwaka kwa pamoja. Ni wakati wa kukutana na ndugu wapya, familia mpya, jamaa mliopotezana...
  2. JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi

    Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi 143 ya utamaduni na sanaa.
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa: Zawadi pekee ya kuwalipa Rais Samia na Rais Mwinyi kwa maendeleo waliyoyaleta kwenye michezo ni "mitano tena"

    https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB). Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume tunatafuta Amani,salama na baraka katika ndoa,wenzetu wanadumisha utamaduni.

    Ndoa ni baraka na njia ya kuendeleza misingi mizuri ya utamaduni pamoja kuongeza uzao wa jamii/familia. Katika mkisanyiko huu dhamira kuu hua ni baraka ya watoto na kipato lakini pia kupunguza matokeo hasi kwa jamii dhidi ya wazaliwa wasiokuwa na malezi ya pande mbili kwani ukweli usiopingika...
  5. JamiiForums Tanzania Tuwaache Wahadzabe Waishi Maisha Yao: Heshima kwa Utamaduni wa Asili

    Imekuwa ni kawaida kukutana na video na picha zikionesha maisha ya ndugu zetu Wahadzabe wakiwa wanawinda na kutafuta chakula, huku zingine zikituonesha upekee wa lugha yao ambayo ni moja ya utajiri mkubwa sana wa lugha zaidi ya 1000 zinazopatikana ndani ya bara letu la Afrika. Lakini katika...
  6. JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo
  7. JamiiForums Tanzania Watoto wapiga dufu kuomba ovyo kipindi cha mwezi Ramadan ni utamaduni wa ovyo

    Kuna utamaduni umekuwepo wa kuwatumia watoto kuomba omba na vigoma vyao hasa katika mwezi Ramadhani Huu ni udhalilishaji wa watoto wadogo na kuwajengea fikra duni za kuomba omba Dr Gwajima Toka ofsini wasaidie hawa Watoto wanaomba omba waende shule wapate maarifa yake kuwafata baadaye kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Familia ya Kisyria huko Uholanzi ilimfunga na kumzamisha binti wao kwenye mtaro. Walipokamatwa, walijitetea kwa kudai ni kawaida katika utamaduni wao

    Jamaa wanasema wamefanya mauaji ya heshima kwa maana binti yao alikuwa amegeuka na kuwa kama "binti wa kimagharibi" Mtapeli mwanadamu vyote, ila ukishamteka katika fikra na imani, basiiii, unamuibia hadi doti ya mwisho ya utu wake
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je wizi wa kura na kunyima haki ndiyo utamaduni wetu?

    Wanaosema Tanzania tuna utamaduni wa chaguzi na twende tu hivyo hivyo hata kama tunajua kabisa kura hazijesabiwi kabisa toka 2019. Lissu na team yake wametoa data za kila kitu lakini cha kushangaza unakuta wasomi kabisa wa media wanasema . Lissu Mama anakupenda sijui nini sasa hayo mbona...
  10. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
  11. JamiiForums Tanzania VIDEO:- Neno moja kwa utamaduni huu kwa wanandoa wapya.

  12. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa jamii ya kikurya kwa kuwa na utamaduni wa kuwafanyia sherehe ndogo ya kuwachinjia mbuzi wazazi/walez kama njia ya thanksgiving na kuwaenzi

    Hapa najua vijana mliotoka kawe leo mtasema wanatambika😂😂😂
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la kwanza la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China larushwa hewani baada ya Sikukuu hiyo kuorodheshwa kuwa “urithi wa utamaduni usioshikika”

    Tarehe 28 Januari ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China. Kama ilivyo desturi, saa 2 kamili usiku kwa saa za Beijing, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo linaandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG linalojulikana kama “Chunwan” linarushwa hewani kwa ajili ya...
  14. JamiiForums Tanzania Dating sio utamaduni wa mwafrika.

    Imezoeleka kusikia mabinti wakisema nadate na mtu fulani au fulani anadate na fulani au nataka kudate na fulani. Kudate ni ile aina ya mahusiano ambayo watu wawili wasio jua hatima yao wanaamua kuwa pamoja wakifanya mambo au kuwa na ratiba as if ni wapenzi lakini sio wapenzi rasmi. Sisi...
  15. JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa CCM wa kuwapa madaraka ya juu wazee wastaafu waliochoka ndio utamaduni wao!

    Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM. Hizi...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
  17. JamiiForums Tanzania Sanaa na Utamaduni zihamishiwe katika Wizara ya Utalii na sio kama zilivyo sasa Wizara ya Habari?

    Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai?? Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi?? Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga...
  18. JamiiForums Tanzania Suala la Referees in CV mimi ni kuiga utamaduni wa nje ambao kwetu ni wa hovyo

    Ndugu zangu hivi swala la Referees mnalichukuliaje? Mimi naliona halijakaa kitaalam kabisa kwa mfano maofisini tunaona unakuta boss wako hataki ugrow hata ukipata safari tu ananuna ( huyu kweli atakurecommend vizuri huyu sehem nyingine tena ajue unaenda kupata maslah zaidi ya hapo?) lakini pia...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wakoloni walisema utamaduni wetu wa Afrika ni Wakishenzi?

    Wazungu/ Wakoloni walisema tamaduni zetu niza kishenzi ndio maana mpaka leo watu wengi hatupendi sana tamaduni zetu za asili mfano lugha, majina, goma na kadhalika. Unafikiri sababu ni ipi wakoloni kusema hivyo.?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…