utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ipi sababu ya Kenya kupendwa kuliko Tanzania licha ya kuwapita utajiri wa utamaduni?

    Nilikuwa naangalia video flani YouTube inahusu capital city za nchi 54 za Africa. Sasa nikaenda sehemu ya comments kusoma nikajionea watu wengi kutoka mataifa mbalimbali dunia wakiisifia Kenya kuwa ndo favourite country yao lakini kiuhalisia ni dhahiri tumewazidi vivutio (Sina haja ya kuvitaja...
  2. Lugha asili, Makabila, Mila na Utamaduni wa Mtanzania vinafutika kwa kasi sana

    Niko kijijini kabisa huku ndanindani. Nimekuja kumzika bibi yangu aliye fariki akiwa na miaka 97 lakini akiwa bado mrembo na nguvu zake. Kilichonuogopesha na kunishangaza, mimi wakati nakua, tulikiwa hatujui Kiswahili, tunabonga tu lugha yetu ya asili, huku tukisimuliana hadithi za Masala...
  3. Uchifu - Ni kitu kizuri Rais kuenzi utamaduni wa Mwafrika

    Afrika kabla ya kutawaliwa tulikuwa na mila na desturi zetu. Wakati huo hatukuwa na dini kama vile uislam na ukrito lakini tulikuwa na njia zetu wenyewe za kuomba kitu fulani kitokee au kujiepusha na janga. Haya mafundisho ya dini kubwa za leo yaliletwa na mabeberu. Na unajua baada ya kutuletea...
  4. Naomba kujua tofauti kati ya 'Utamaduni wa Makabila' na 'Ushirikina wa Mwafrika' kwani kuna Mtu anatupeleka 'Kibla' tuparaganyike

    Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na...
  5. Rais Samia: Serikali itashirikiana na Machifu, Viongozi wa Kimila

    Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu. Tumeamua kuwa na jukwaa la pamoja baina ya Serikali, Machifu na Wazee wa Kimila ili kuhifadhi Mila na...
  6. J

    Rais Samia aalikwa kama mgeni rasmi Tamasha la Utamaduni la Mkoa wa Kilimanjaro

    Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao. Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro. Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten. Karibuni nyote Updates;
  7. Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  8. Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma

    Wanabodi, Karibu, Nipashe ya leo Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya ki Hindi "Hindu" na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu...
  9. Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere?

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji. Naomba kuanza kwa Declaration of Interest. Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa...
  10. B

    Utamaduni wa kutibu badala ya kuzuia unatugharimu sana kimaendeleo

    Tumezoea sana kungojea mambo yaharibike ndipo tunaanza kushuhurikia matatizo yaliyojitokeza. Hivi karibuni tumeshuhudia operetion kabambe ikiendeshwa nchi nzima ya kuwahamisha wamachinga kwa gharama kubwa kutoka sehemu zisizokuwa rsmi na kuwapeleka sehemu tunazodhani zitakuwa rasmi kwao...
  11. A

    Wachaga: Tamaduni zao 10 zinafanana na Wana wa Israel

    Kuna chembechembe ya damu zinazokonekti kwa Wana wa Israeli na Kabila la Wachaga ambalo linapatikana Mkoa wa Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Yapo madai kwamba, Wachaga asili yao ni Wafalasha waliyokuwa na wanaoishi nchini Ethiopia. Inadaiwa kuwa, Wachaga hao walitokana na uzao kati ya...
  12. S

    Kuna ubaya wanawake kutoa treat kwa wapenzi wao na ikajulikana hivyo?

    Siku mwanaume huna pesa, then mpenzi/mke wako kaamua mtoke out kwa treat yake(anagharamia yeye hiyo outing). Muda mfupi kabda ya bill kuletwa anafungua pochi anafumbata kitita cha noti kadhaa kiganjani mwake kisha kwa siri/kificho anakupatia ili ufanye malipo mtakapoletewa ankara ya huduma...
  13. Zanzibar wana vitu gani vya kujivunia ukiachana na fukwe na utamaduni wao?

    Tanganyika kuna mengi ya kujivunia ukiachana na viongozi butu wasio na maono wala hekima. Lakini, swali langu kama linavyojieleza hapo juu, wenzetu wazanzibari wana kipi cha kujivunia tofauti na fukwe nzuri ya bahari, utamaduni wa kuvutia, labda, na muungano na Tanganyika?
  14. Ni kitu gani kinafanya makabila mengi Tanzania kutokuwa na utamaduni wa kurudi kwao?

    Nazungumzia kurudi kama kabila ka ilivyo kwa lile kabila ambalo sina hata haja ya kuliweka hapa, Nadhani mnalijua nyomi lao hao wanaorudi ikifika December. Huko wanakofikia ndio kwao, ndio chimbuko lao, ndiko vizazi hadi vizazi vimezaliana mpaka kuja kwa hapa duniani, Kwenu ni sehemu ambayo...
  15. Je, ni sawa kuendeleza utamaduni wa baba kupewa mapaja na firigisi ya kuku?

    Naona huu utamaduni umekaa kimfumo dume na kuvuka mipaka. Sometimes hata watoto nao wale hayo mapaja.
  16. Mambo mabaya kwenye utamaduni wa Wasukuma

    Tuwe macho na hii kitu ya uchifu. Uchifu kwa makabila mengi uliambatana na mamlaka juu ya ardhi na mara nyingi uliambatana na umwinyi. Tuliondoa uchifu ili kuweze kuthibiti fulsa ziweze kupatikana kwa wote na kuimarisha demokrasia. Uchifu pia uliambatana na baadhi ya mila mbaya za kunyanyasa...
  17. Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza. UPDATES - Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
  18. K

    Chanjo: Utamaduni wa uongo wa serikali umetufikisha hapa

    Mpaka sasa vifo vya Corona hazisemwi waziwazi na mnategemea watu wataona vipi umuhimu wa chanjo kama vifo vingi vya corona, watoa taarifa wanaogopa kutangaza wazi na kuishia kusema kwa sirisiri. Haya ndiyo mambo yanayorudisha nyuma mapambano ya huu ugojwa. Huu ni ushauri tangazeni vifo vyote...
  19. Utamaduni; Ndugu wanisihi nikawawekee wanangu kinga kama desruri, nipo njia panda

    Nipo njia panda wakuu, Zamani enzi zetu miaka ya nyuma kidogo kuna baadhi ya makabila kwenye koo flani ilikuwa ni lazima upewe kinga, haya mambo yalianza zamani sana tunaambiwa ni baada ya wahamiaji wapya, kuowa nje ya ukoo, kuchanganyana na koo mpya kukaanza kujitokeza mambo ya teknolojia ya...
  20. Kinga ya Kutoshtakiwa Spika na Naibu Spika na Utamaduni wa Mabunge ya Commonwealth

    Wadau! Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga ya kutoshtakiwa hata watakapokuwa wamestaafu. In short, ni "kinga ya maisha". Kama tunavyojua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…