utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

    Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo. Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za kimantiki na kivigezo katika kuubda mkoa mpya. Leo hii mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa michanga...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tuacheni utamaduni wa kuzubaa zubaa

    Utamaduni wa kujivutavuta sio mzuri kwa taifa na wananchi wetu. Hasa kwenye idara za serikali Tume ya kutafuta chanjo nayo inejadili ......... badala ya kufanya maamuzi Wakezaji wanazubaishwa zubaishwa bila sababu Sheria zikitaka kubadilishwa ni mizunguko isiyo ya msingi Tulileta vitu bandarini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Demokrasia: CCM itaacha lini utamaduni wa Rais kuwa Mwenyekiti wa Chama?

    Kwa muda mrefu Chama cha Mapinduzi kimeendeleza utamaduni wake wa kuminya demokrasia ndani ya chama hicho kwa kuwanyima wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama Taifa na kulazimisha Rais aliyeko madarakani agombee nafasi hiyo kwa kupambana na 'kivuli'. Mbaya zaidi wakati...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Lijue Kabila la Waluguru na utamaduni wao

    Asili: asili ya waluguru husemekana kuwa imetokana na watu kutoka maeneo ya chini(low land) kuhamia katika mlima kwasababu mbalimbali kwa mfano mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na njaa na pia kukwepa utumwa wakati wa enzi za utumwa , mfano kuna mapokeo miongoni mwetu kuwa waluguru walikuwa...
Back
Top Bottom