usingizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Luu

    Usingizi ni afya

    Habari za wakati huu, Usingizi sio anasa — ni tiba ya mwili na akili. Watu wengi wanapuuza kulala vizuri wakidhani ni kupoteza muda. Ukweli ni huu: ukikosa usingizi wa kutosha, unajinyima nguvu, afya, na hata mafanikio yako. Faida za kulala kiafya: Huimarisha kinga ya mwili Hurekebisha seli na...
  2. Foffana

    Hajapata usingizi zaidi ya miaka 60!! Inawezekanaje?

    Duniani kuna mambo yanashangaza sana Kuna mzee mkulima mwenye umri wa miaka 81 anayejulikana kwa jina la THAI NGOC hajafanikiwa kupata usingizi ndani ya miaka 60 Yaani yeye anashinda anapiga zake game na kuvuta sigara halali kabisa yaani.Hata familia yake na majirani wamekiri kuwa hawajawahi...
  3. S

    Mfahamu Ilhan Omar mwanaharakati anayepambana dhidi ya ubaguzi wa Trump kwa wasomali Marekani

    Huyu bi dada ni mmoja wa wanaompa msongo wa mawazo Rais Trump ------------ Ilhan Omar ni mwanasiasa mashuhuri wa Marekani, mbunge wa chama cha Democratic-Farmer-Labor (DFL), akiwakilisha Jimbo la 5 la Minnesota katika Bunge la Marekani. Alifanya historia kama mmoja wa wanawake wawili wa kwanza...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Kakakuona agoma kutabiri, achapa usingizi mzito

    Hadi Kakakuona amegoma kutiki🤣🤣🤣 kasema "No Reforms?... bora nilale😂😂" ================ Mnyama adimu kuonekana, Kakakuona ameonekana akiwa na mtoto wake katika Kijiji cha Lilondo Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma, huku akitarajiwa kutabiri mambo mbalimbali ikiwemo...
  5. kyagata

    Hivi msiokunywa pombe usingizi huwa mnaupataje?

    Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa. Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka. Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
  6. Mshana Jr

    Tukio la ajabu Kwa Mtogole linaninyima usingizi

    Nilitoka Posta kwenye mishe zangu nikawa naelekea Sinza.. Na njia ambayo ingenifikisha kwa urahisi ni kupitia pale Magomeni Morroco then Tandale Basi nikachukua njia hiyo, Ukiingia hiyo njia kwa mbele kuna shule ya msingi upande wa kushoto na mbele kulia kwenye kona kuna makaburi Pembezoni mwa...
  7. haszu

    Swali kwa wanaume: mwanaume mwenzio akipitiwa na usingizi kwenye usafiri akakuegemea begani, utamuacha?

    Najua wanaume wengi hutulia hata kufurahia wakiegemewa na mwanamke kwenye usafiri wa umma, ila je ikiwa ni mwanaume mwenzio, utamuacha?
  8. laii

    Unakosa Usingizi pitia hapa

    💤 Njia Asilia za Kupata Usingizi Haraka: 1. Ratiba ya Kulala Lala na kuamka saa ile ile kila siku, hata siku za mapumziko. Hii huisaidia saa ya ndani ya mwili (biological clock) kuzoea. 2. Epuka Simu/TV Kabla ya Kulala Mwanga wa skrini (blue light) huzuia kutengenezwa kwa melatonin, homoni...
  9. Binti wa zamani

    Sababu gani zinakufanya uchelewe kulala? na nini kinakusaidia kupata usingizi?

    Zamani nilikua na uwezo wa kulala masaa 8 mpaka 10. Ila kwa miezi ya karibuni sipati usingizi kwa haraka nikiwahi sana kulala basi ni saa 7 au 8 usiku. Kitu pekee kinachonilaza fasta ni kuliwa mbususu vizuri nikarusha :uwotWater: na hapo nitalala masaa kadhaa halafu nitaamka usiku wa manane...
  10. Jidu La Mabambasi

    BUNGENI: Wageni watia usingizi wa pono, mijadala haina mvuto

    Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO! Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu. Wawili wanasogoa. Heko Bunge letu takatifu.
  11. Uchumi 360

    Uchumi 360: Safari ya Kumwamsha Mtanzania Kutoka katika Usingizi wa Kiuchumi

    Makala ya utangulizi katika safu mpya ya JamiiForums Na: Mwandishi wa Uchumi 360 Je, tunaishi au tunapumulia tu? Hili ni swali gumu, lakini linastahili kuulizwa. Tunaamka kila asubuhi, tunatembea mitaani, tunanunua sukari yenye bei inayopanda kila wiki, tunalalamika kuhusu “maisha kuwa...
  12. LUTULWITU

    Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito!

    "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
  13. Pascal Mayalla

    Japo Kelele za Mlango, Hazimkoseshi Mwenye Nyumba Usingizi, Zikizidi Zinakera!. Kelele za Minimum Reforms, Sio Kero?, Mwenye Nyumba Anapata Usingizi?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa...
  14. M

    Sidano ya usingizi kwa mtoto wa miaka9 ili afanyiwe MRI

    Habar wakuu nauliza mtoto wangu Umri maiak9,tumeingia kwenye kipimo Cha MRI kwa ajili ya tatizo lake la mgongo Sasa mtoto anasumbua kweli hatulii kwenye mashine nikulia tu mwanzo mwisho, Je kuna madhara yoyote akichomwa sindano ya usingizi kwa ajili ya kufanyiwa hiyo mri
  15. Lighton

    Nashindwa kupata usingizi kwasababu ya makelele ya baa jirani

    Hivi Sasa ni saa 2:30am sijalala kwasababu ya hizi kelele. Ni kweli tunatamani nyumba zilizo karibu na barabara kwasababu ya huduma ndogo ndogo za kijamii, lakini Sasa hivi biashara nyingi ni baa, yaani kila baada ya nyumba nne ni baa. Nilipohama ilikuwa ni kelele kuanzia mda ninaorudi...
  16. R

    Huna changamoto za kiafya, Umefika miaka 35 huna mtoto, usingizi unautoa wapi kwamfano ?

    Muhimu: Ni nje ya watu wenye changamoto za afya za uzazi, walemavu, wafungwa wa magerezani, watu wanaoishi maisha ya kimasikini kupitiliza. Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao Lakini unafika 35 huna au hujawahi kuwa na...
  17. Isenye

    Hivi mnaokulaga mikate usiku au vyakula vilaini laini vya aina hiyo,huwa mnawezaje kupata usingizi?

    Wakuu habari za usiku? Aisee jana hali yangu kiuchumi haikua nzuri,nikaona ngoja ninunue mkate nile nilale,mkate nimeula saa 3 usiku,ila hivi sasa ni saa 9 usiku usingizi umekata kabisa nimeamka kukoroga hata uji ninywe maana sio kwa njaa hii ninayoisikia aisee. Hivi nyie wenzetu hasa wa hapo...
  18. kiss ov love

    Hizi kelele za jirani zinanikosesha usingizi nifanyaje?

    Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi. Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema, nafanyaje kumdhibiti huyu mlevi😔🙂‍↕️
  19. Lugano Edom

    ZIJUE BAADHI YA SABABU ZINAZOKWAMISHA WATU KUPAKA USINGIZI MAPEMA NYAKATI ZA USIKU. HUCHELEWA SANA KULALA

    Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuwafanya watu wakose usingizi nyakati za usiku. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo: * Msongo wa mawazo na wasiwasi: * Mawazo mengi na wasiwasi kuhusu maisha, kazi, au mahusiano yanaweza kuingilia kati na uwezo wa mtu kulala. * Matatizo ya kiafya: *...
  20. uhurumoja

    Baada ya kukosa usingizi nikaona nijisomee kidogo na kuwaza

    Kwa Nini SoMo la bible knowledge liwe kiingereza na dini ya kiislamu liwe kiswahili!? Kwa nni yote yasiwe kiswahili ili kuweka usawa!? Ukiangalia hili SoMo sio gumu sana ila kwa sababu ya lugha linakuwa gumu na kuzuia watoto wengi wa kikristo kulisoma mashuleni huku lile la kiislamu kutokana na...
Back
Top Bottom