usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto imenisumbua sana usiku kucha, ni nani huyu?

    Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane. Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania LATRA ajali za usiku zisiwafanye mbadili maamuzi, wapeni madereva muda wa kuzoea safari za usiku

    Uhuru wa abiria kusafiri usiku ni muhimu mno kwa maendeleo yetu. Unatoka Arusha saa 10 jioni unafika Dar saa 10 asubuhi. Unafunga mzigo wako mchana jioni saa 10 unakamata BM unarudi Arusha asubuhi saa 10 upo Arusha. Biashara inaendelea. Madereva wa mabasi wanahitaji muda kidogo kuweza kuzoea...
  3. JamiiForums Tanzania LATRA mabasi kuondoka saa 9 usiku ni usumbufu na mzigo wa wananchi

    Ni kero kubwa iliyotengenezwa na latra mabasi kuanza safari saa 9 usiku. Mfano mtu anakaa mbali na stendi hapo lazima aondoke kwake saa 6 usiku km usafiri upo au aondoke mapema akalale lodge ya karibu na stendi. Unakuta sehemu ya kusafiri na 60k unatumia mpaka 150k. Kwanini isiwe kama majirani...
  4. JamiiForums Tanzania Kukabwa usiku ukiwa umelala

    Kwanza niwatoe hofu kwa wale wote ambao wamepatwa na Hali hii na kudhani ya kuwa ni mambo ya kishirikina, kisayansi Hali hii inaitwa SLEEP PARALYSIS. Sleep paralysis ni Hali ambayo inawapata watu wakati wa kuamka au kulala, ambapo fahamu za mtu zinakuwa zikifanya kazi lakini mtu huyo anakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania TRA kubomoa Duka usiku na kuondoka na bidha kisa Kodi, ni Ujambazi

    Nina laani kitendo cha Wafanyakazi wa TRA kuvamia Duka na Stoo usiku wa mane na kuvunja milango kisha kuondoka na mali walizodai ni Magendo bila mwenye duka kuwepo. Kitendo hicho kimesababisha Wafanyabiashara wa soko la Manispaa ya Tabora kufunga maduka kama sehemu ya mgomo baada ya...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Hizi Safari za mabasi usiku saa 9, saa 10 ni hatari mno

    Naona Sasa ajali za mabasi zimeongezeka Kwa Kasi kubwa sana, hasa haya magari yanayoanza safari kuanzia saa 9 usiku, ni hatari sana. Serikali inabidi ilihangalie hili, nimejaribu kusafiri mara tatu na haya mabasi ya saa Tisa yaliyotokokea ni haya 1. Safari ya Kwanza tulivyopanda tu gari, baada...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Tuweni makini usiku jamani

    Ingekuwa wewe ungefanyeje?
  8. JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

    Nukuu:- Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha! Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Imaging Africa kitendo chenu cha kukata miti usiku Bamaga Mwenge ni cha kihuni, na ni uharibifu wa mazingira, hakikubaliki

    Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara. Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza. Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Adaiwa kuchoma nyumba ya hawara baada ya kutomkuta usiku, mtoto afia ndani

    Mtoto, Ashura Makelebe (4) amekufa kwa kuteketea kwa moto ndani ya nyumba baada ya mtu anayedhaniwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mama yake mzazi kudaiwa kuchoma moto nyumba aliyokuwa amelala. Mtuhumiwa huyo ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai hayo, anadaiwa kufikia uamuzi wa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Sasa tunaitaka Katiba iwe kwa mchana na ama usiku!

    Tunaitaka katiba itakayoondoa ukiritimba na udikiteta wa viongozi Tunaitaka katiba ambayo itakuwa ni ya wananchi na siyo kuwa ya viongozi Tunataka katiba itakayoondoa udikiteta wa viongozi kupola mali zetu kwa kutumia mamlaka yao Tunataka katiba itayowapa wananchi mamlaka ya kuwawajibisha...
  12. JamiiForums Tanzania Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

    Uamuzi huo umetolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) baada ya kubaini Mabasi hayo kuchezea Mfumo wa Kufuatilia Mwendo (VTS) kwa lengo la kusafiri kwa Mwendokasi ili kushindana kufika Stendi. Kwa mujibu wa LATRA, watoa huduma hao wamekuwa wakitumia fursa ya kuanza safari...
  13. JamiiForums Tanzania Sitasahau usiku ule: Alinifukuza kwake usiku kisa mwanamke!

    Kuna kipindi nilipoteza kazi na kufikia maisha yangu kuyumba sana, hivyo ikapelekea mimi kuanza kuuza vitu yyangu yya ndani ili nipate mtaji nianze biashara ili kujikimu. Jiji la Dar ukiingia kwa mara ya kwanza unaweza usilielewe ukajionea kero tu na ukaona bora urudi zako mkoa, ila ukikaa kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Karia: Wachezaji ambao hawakuhudhuria usiku wa tuzo wafungiwe mechi tano

    RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema wachezaji wote ambao hawakuhudhuria katika hafla ya ugawaji wa tuzo kwa wachezaji wa Ligi za ndani bila sababu za msingi wafungiwe michezo mitano ya mwanzo wa msimu ujao. Karia amesema hayo katika hafla ya ugawaji tuzo za...
  15. JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba mechi ya Al ahly na Wydad ilikua ni saa 2 usiku?

     Kwann kulikua na jua wakati ni usku? ili ndo swali wengi wamejiuliza. Jibu ni hili Watu wanaoishi katika eneo la North Pole, au karibu na eneo hilo, wanakabiliwa na hali ya kipekee inayoitwa "Msimu wa Mvua". Wakati wa msimu wa joto, ambao ni takriban miezi sita kutoka Machi hadi Septemba...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeutua mzigo mzito jana usiku

    Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake. Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi. Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji. Nimepambana...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu tu mabasi kusafiri usiku na mchana sasa hivi hakuna abiria anasafiri na mamilioni cash kwenye basi kama zamani, ziko kwenye akaunti

    Zamani kabla mifumo ya fedha kuimarika watu wakikuwa wakisafiri na mamilioni ya pesa wakija Dar kununua chochote au kuuza chochote Sasa hivi watu husafiri tu na hela ya kula njiani tu pesa zote huwa kwenye akaunti Hivyo tishio la kuwa abiria watavamiwa na kuporwa dogo mno. Hata mporaji hawezi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania SoC03 Natamani usiku ungelikuwa mchana

    Ulikuwa ni usiku wa Jumamosi, uso wa dunia ikiwa umekumbatiwa vilivyo na giza nene. Laiti kama mtu angelitoka kutembea nje kwa usiku ule, pengine asingeweza kuona hata kile kilichokuwa hatua moja mbele yake. Ni usiku huo ambao ulileta mabadiliko katika maisha ya Jabali aliyekuwa akiishi katika...
  19. JamiiForums Tanzania BM Coach kuanza safari saa 10 alfajiri

    Majuzi kati hapo wasimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini Latra walitoa taarifa za kuruhusu mabasi kusafiri kuanzia saa 9 usiku👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/latra-waruhusu-mabasi-kuanza-safari-saa-9-usiku.2093165/ Hadi kufika leo naona kampuni moja ya kuelekea Arusha ambayo ni BM...
  20. JamiiForums Tanzania Ceasefire Sudan inaisha leo usiku saa tano,: Inawezekana Waamerika na Wasaudi watafanikiwa kuleta amani Sudan?

    Wamefanikiwa katika hii ceasefire ya siku saba kuleta amani hapa na pale. Wanawaomba Paramilitary Forces na Jeshi waiendeleza ceasefire na waendelee na mazungumzo ya amani. Naona kama vile there is a glimmer of hope. Lakini Waafrika lazima washirikishwe. Rais Rutto aliaema this is an African...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…