ushujaa

  1. Humphrey Polepole popote ulipo tunakukumbuka kwa ushujaa ulioonyesha kwa ajili ya Taifa hili

    Kueleza ukweli kuwa Rais Samia na genge lake ni waovu na wameua watu wengi akiwemo hayati John Pombe Magufuli. Ufisadi wenye kinyaa. Mfano wa Angela Kiziga lakini anakumbatiwq na Rais Samia. Kuibiwa kwa Watanzania na kampuni ya Rostam kupitia gas ya kupikia. Rais mstaafu Kikwete kulazimisha...
  2. PostGE2025 Nyimbo za ushujaa wakati wa kuzika ni alama ya maumivu yasiyostahimilika, inahitajika dawa ya haraka

    Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
  3. Usimp, udhaifu wa kiume unaopewa sura ya ushujaa wa kiume

    Simp ni aina ya mwanaume asiyejiweza mbele ya wanawake na ambaye yupo tayari kujitoa kifedha,muda,na jitihada bila mipaka ili tu kumfurahisha mwanamke bila mrejesho wowote kutoka kwa huyo mwanamke akiwa na matumaini ya kupewa attention kama shukurani. Mahusiano haya yanaweza kuwa kiuchumba,na...
  4. Ayatollah ajifunze ujasiri na ushujaa kwa Zelensky, amepitiliza uoga

    Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech...
  5. Israel yapata kiwewe na ushujaa wa wapalestina.Mbinu za kupambana nao zimewaishia wakati Tsunami ya kimataifa ikianza dhidi yao

    Tayari minong'ono imesambaa kushangazwa na ushujaa wa wapalestina katika kutetea ardhi na imani zao. Viongozi wote wakuu wa Hamas kwa mujibu wa Israel wameshauliwa mpaka makamanda wadogo wadogo na bado hakuna malengo yaliyofikiwa.Ufuatao ni muhtasari wa kushindwa kwa mbinu za Israel, 1.Kwa...
  6. H

    Hivi kwanini wakristo hawakuitwa "simba" kuwakilisha ushujaa wao wakaitwa "kondo" kuwakilisha ujinga wao?

    Jitu zima linaitwa kondo na linachungwa bado halistuki kuwa ni tusi kwake!! Kwanini usiitwe simba kuonesha ushujaa uitwe kondoo mtoka makamasi??
  7. Je, kumpiga kwa kiatu Rais ni busara au ushujaa kama siyo jinai?

    Alipotupiwa kiatu, George Bush alicheka tu japo dent was done. Je kwanini watu wanafikia hatua hii? Je, wahusika wanajifunza nini? Je nini kifanyike? Je, kwanini watawala wanajiachia na kujisahau? Ungekuwa wewe uliyetupa kiatu, ungejiteteaje? Je, tunajifunza nini kama watanzania? Kwanini...
  8. "Hadithi za Ushujaa: Wajibu wa Wanaharakati katika Siasa za Upinzani"

    👉🏾Katika ulimwengu wa siasa, ambapo nguvu za madaraka mara nyingi hujificha nyuma ya pazia la kusadikika na wanaharakati wanajitokeza kama nyota za mwangaza katika giza la mang’amung’amu. Wakiwa na dhamira isiyoyumbishwa, wanapambana na vikwazo vya kisiasa, kiuchumi, na kijamii, wakijitolea kwa...
  9. S

    Ushauri:CHADEMA na wanaharakati mbalimbali, wakati umefika Mdude apewe tuzo ya ushujaa katika siasa za mapambano na harakati za kupigania haki za watu

    Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa. Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
  10. M

    Muislam kufa vitani ni ushujaa mkubwa

    Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani. Inasemekana kwamba kabla...
  11. Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake?

    Wanabodi, Tanzania tuko hapa tulipo kwenye lindi la umasikini uliotopea kutokana na kukosekana viongozi wa kutosha wenye boldness ya kuchukua maamuzi magumu!. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, John Pombe Magufuli, na huyu dogo Paul Makonda, ni miongoni wa watu wenye boldness ninayoizungumzia hapa...
  12. PreGE2025 Rais Samia, Kung'atuka nako ni ushujaa

    Hello Rais Samia! Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania. Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa. Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa wewe kutangaza maamuzi magumu ya kujiuzulu. Ukijiuzulu utapata heshima kubwa na Watanzania...
  13. Vijana waambiwe ukweli kwamba Uanaume ni Ukakamavu, Uhodari na Ushujaa

    Anaandika, Robert Heriel Baba Ni mwiko kuona mwanaume akilia au kutoa machozi, na kama atalia labda iwe ni kwa sababu ya kifo cha mzazi au mke au mtoto anayempenda, na hata akilia wakati msiba wa watu hao hapaswi kulialia kama mtoto au mwanamke. Kuna kulia kiume, sio unapigapiga makelele na...
  14. Vita ya vifaru kule Vulhedar/Bakhmut ishara ya ushujaa wa Urusi

    Bosi wa Wagner Prigozin sasa ametangaza rasmi kuikalia Bakhmut. Hata mkuu wa NATO naye japo hajasema kwa wazi naye amekubali kazi ya Bakhmut imeisha kwani yeye ametabiri kuanguka kwa Bakhmut baada ya siku tatu. Sijui kama alichosema raisi Zelensky kama ni kweli dhidi ya uvumi kwamba ana...
  15. Uzalendo ni Ushujaa - ongezeni hili huko kwenye mitaala mashuleni

    Enzi za shule za msingi miaka mingi iliyopita tulikuwa tunafundishwa nyimbo za taifa, historia na hata ukubwani kuaminishwa kuwa kuonyesha uzalendo wa taifa mtu anaweza kuvaa mavazi fulani yenye bendera ya nchi n.k. Kitendo kilichofanywa na kijana Majaliwa katika ajali ya ndege ni kitendo cha...
  16. M

    Kwa ubabe aliomfanyia mchina: Pelosi avalishwa medali ya heshima ya ujasiri na ushujaa!

    Pelosi receives medal of honor Taiwanese leader praised the US House Speaker for her stalwart support of the island. “The speaker’s courage and actions are deeply inspiring and touching,” Tsai said, according to the South China Morning Post, as she presented Pelosi with one of the highest-rank...
  17. Je, kwa tabia hii ya Wanaume ni kwamba tuna 'Uweledi' mkubwa au ndiyo tuna 'Ujuha' ulioshindikana?

    Leo hii ( Siku hizi ) ni Jambo la Kawaida sana Kumkuta au Kumsikia Mwanaume ( Mume au Mchumba wa Mtu ) akiwa tu ana Mahusiano na Mwanamke wa Pembeni ( wa Nje ) akimsema vibaya Mkewe / Mchumba ( kiasi cha mpaka Kumdhalilisha ) kwa kutoa Siri zake pamoja na Madhaifu yake. Kuna Mwanaume Mmoja...
  18. Serikali itoe Ngao ya Uzalendo na Ushujaa uliotukuka kwa Simba S. C. Na pia lifanyike hili

    Kitendo ambacho Simba imefanya ni kitendo cha Uzalendo na Ushujaa Uliotukuka. Ni kitendo cha Kuigwa kwa Kila Mtanzania na Mwafrika kwa Ujumla. Simba imepambania Taifa la Tanzania ikiwa imeweza waunganisha hata na wachezaji wa nchi nyingine kuipambania Tanzania. Sasa mwakani Tanzania tunaingiza...
  19. Ushujaa na ubora wa Rais Magufuli utang'ara zaidi baada ya kung'atuka madarakani 2025

    Salaam Wana JF Nianze andiko hili fupi la uchambuzi kwa kutoa hongera na shukrani kwa Rais Dkt. Pombe Magufuli kuendelea kuonyesha misimamo chanya dhidi ya maslahi ya Watanzania katika mambo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kifya licha ya uwepo wa mashambulizi makali kutoka miongoni mwa...
  20. M

    Hongera Rais kwa kupata nafasi ya kuonesha ushujaa wako

    Napenda kutanguliza salamu zangu kwenu. Niwakumbushe tu fasili ya neno shujaa ni kuwa ni mtu anayefanya mambo makubwa mazuri yasiyotegemewa katika kipindi au sehemu ngumu. Ni hivi Sasa tangu uanze mchakato wa kura za maoni kila kuchapo Kuna malalamiko mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…