Mwaka fulani, nilikuwa katika wakati mgumu sana, though kidogo nilikuwa na mpunga wa kusavaivu, kuna dogo mtoto mmoja nikakutana naye ameshindwa kuendelea na masomo kwasababu ya ada, niliamua kutoa hela kumlipia ada pamoja na kwamba mwenyewe nilikuwa na uhitaji mkubwa sana. Dogo akaenda shule...
Ni kweli watu hushinda hadi mamilioni ya pesa Ila asilimia kubwa ya pesa hurudi kwa muhindi.
Binafsi naweza kujivunia kwa kukumbuka niliwahi mla muhindi laki tatu (premier bet), Nikanunua simu mwaka 2013.
Hadi leo nikipigo na kujifariji ligi haijachangamka huku kuliwa kuliwa kikubwa mno.
Wana JF.
Katika pita pita zangu nimeweza kudadisi kudadisi ni kwanini kumeibuka ujenzi wa kasi namna hii iliyopo hasa maeneo ya kanda ya ziwa hususani Kagera na Geita. Ningeweza kusema Kagera tu lakini kile kipande kilichochotwa na kupeleka Geita kimebadili stori.
Kwanini mchwa ndio chanzo...
Naomba niongee hili jambo mimi mara zote aidha naona kwa TV au kwenye gazeti au mara ingine ata kwenye mikutano mbalimbali ya dini ya awa wachungaji wanaoponesha watu na pia kuwainua kiuchumi na kimaisha.
Ila natamani sana kumpata mtu namjua naona akiwa pale mbele najua kabisa alikuwa kiwete...
Ifike mahala sasa lazima tuelewe jinsi nchi za magharibi zilivyo wanafiki na wauaji wakubwa katika dunia hii. Wengi walishuhudia jinsi nchi za magharibi na miungano yao ikishiriki kuhatarisha amani ya dunia. Lakini wengi wa watu duniani wako gizani kuhusiana na hilo.
Wakati maharamia yakivamia...
Nimefanya kazi kama mhudumu wa guest (ya kawaida) hapa DSM kwa miaka 10 mfululizo. Niseme tu kwamba, kuna makubwa sana yanafanyika hasa nyakati za mchana kwa wake/waume za watu, wafanyakazi wa Serikali na mashirika, vijana wa bodaboda (kwa wake za watu) na viongozi wa Serikali na vyama vya...
Binafsi najua limbwata lipo. Mtu akipigwa limbwata anafanya vitu ambavyo watu watamshangaa na yeye unawashangaa kwanini wanamshangaa. Omba sana katika harakati zako za mapenzi usipigwe limbwata.
Waambie ndugu na masela wakiona umepigwa kitu wakushtue, ukiwa mbishi wakubebe kinguvu wakupeleke...
Hiki ni kisa Cha kweli kabisa kilichotokea miaka ya nyuma NCHINI KENYA NA WALA SIO TANZANIA
Miaka kadhaa nyuma kulikuwa na utawala mbovu sana, ubadhirifu, wizi, hujuma na ufisadi ulitamalaki nchi nzima, kule kwa shangazi yangu Kenya
Kuna benki ambayo ilikuwa ikimilikiwa na serikali lakini...
Naam,
Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina.
Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
Mimi na wife ni watumishi, wife ni mwalimu na mimi ni afisa manunuzi wa taasisi fulani, tulipoanza maisha hatukuwa na msaidizi wa kazi, ila tulipo barikiwa kupata mtoto wakwanza tuliona kuna haja ya kuwa na binti wa kutusaidia kazi za nyumbani.
Basi katika kutafuta tafuta siku moja nikaenda...
Katika hii dunia tunayoishi, unaweza ukamfanyia mtu kitu kidogo tu lakini ukabaki ndani ya historia ya maisha yake.
Jioni hii nikiwa nimejipumzisha na familia yangu ikawa imeingia sms kutoka kwa kijana aliyemaliza mtihani wake wa chuo wa mwisho akinishukuru.
Mnaweza mkakosoa shida zake za r/l...
Habari za jioni wapambanaji, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri.
Mimi ni kijana mtafutaji, lakini tokea nipo chuo(Mzumbe) nilijikuta napenda tu kuandika proposal za biashara, kipindi hicho tulikuwa tunaandika wakati wa zile party za kukaribisha wanafunzi wapya maarufu kama freshers Bash. Basi...
Happy Sunday My Friends
Mada yangu
Kipindi hiki ambacho nataka kutimiza Ushuhuda ndo nashangaa Yule Mtoto kutoka Pwani Namba D akinitumia sms ambazo zinanipa huzuni na huku akinipigia sm kila muda.
Honestly nampenda Japo na mm nataka kuupiga Mwingi ili Angalau huu mwaka nione Mwanga katika...
Mwaka 2008 wakati naanza mwaka wa kwanza chuo nilikua na Malaria ya kujirudiarudia ambapo nilikua siwezi kukaa miezi mitatu bila kuumwa Malaria.
Nilikua sina raha nikiwaza kuhusu huu ugonjwa uliokua unanisumbua bila kujua nini ufumbuzi wake.
Mwaka jana mwezi wa tatu nikaona ngoja niingie...
Ndugu yenu wa damu naomba kupingwa na kuelekezwa kwa upole na kwa fact.
After graduation mdogo wenu hapa nikapata sehemu ya kujishikiza Mimi ni mwalimu Physics na chemistry nikawa nalipwa 250k -300k huku nikipewa nyumba ya shule na huduma kama chakula cha mchana na asubuhi.
Maisha Yale...
Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
Mwezi wa disemba mwaka 2021 nyumba nilipokea simu kutoka kwa msimamizi wa nyumba ya kupangisha.
Hitaji la msimamizi na mwenye nyumba huyu lilikuwa ni kujifunza mbinu bora za kupambana na wapangaji waharibifu.
Aliendelea kutoa maelezo kuwa hajawahi kutana na changamoto ya kutolipwa kodi ya...
Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]
Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.