ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule. Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

    1. Amempongeza kwa ushindi. 2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona 3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita 4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi barani Africa 5. Amempongeza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo mradi wa SGR, Nyerere...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kumvua Unaibu Waziri Francis Ndulane si nafasi yakumpa muovu shetani ushindi?

    Tujipe muda wakupitia clips za zamani wakati wa kampeni, baada ya kampeni, akiwa anakula kiapo Bungeni na katika uwasilishaji wake wa mada maeneo mbalimbali utabaini yupo vizuri na wala ababaiki. Siamini nguvu za giza ila naamini shetani anaweza akajitutumua na kujipa utukufu pasipo stahili...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika

    USHINDI WA KISHINDO NI KABURI LA MAENDELEO AFRIKA Tumemaliza Uchaguzi. Walioshinda wamepata asilimia 84 (urais) na bunge asilimia 99. Huu ni ushindi wa kishindo au kishindo cha ushindi? Tukubaliane: Tuna watu wengi ni waaminifu kwa sababu hawana cha kuiba au wanaogopa kukamatwa. Serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini sisikii kesi za Wagombea Ubunge upinzani kudai kuibiwa ushindi?

    Zaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo. Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda. Je, Hawana ushahidi? Wamekubali yaishe? Hawajaibiwa Bali wamepigwa kisawasawa? Wanatishwa? Wanatafakari kilichotokea? Wanajiandaa kuunga Mkono...
  6. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Ethiopia jimbo la Tigray uko wazi

    Yawezekana madai ya jimbo la Tigray nchini Ethiopia chini ya chama kikongwe cha uasi cha TPLF yakawa na mantiki katika kile wanachokitetea, hata hivyo hawana nguvu ya kupigana na serikali kuu ya Ethiopia chini ya waziri wake mkuu Abiy Ahmed. Tigray ni jimbo la kaskazini magharibi ya Ethiopia...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM ni chama makini. Kinapofanya makosa hujitathimini na kujirekebisha na hii ndio sababu ya kupata ushindi mnono

    Iwe ni mtu au taasisi makini lazima inapofanya makosa ijitathimini na kujua ilikosea wapi ili iweze kujirekebisha na kutofanya makosa tena. Ccm kama chama makini kilifanya tathimini na kutambua kuwa kura za maoni huwa ni chanzo cha kushindwa na wapinzani ndio maana safari hii walikuwa makini...
  8. JamiiForums Tanzania Sherehe ya ushindi wa Azerbaijan

    Wananchi wa Azerbaijan wametoka mitaani kusherehekea ushindi dhidi ya uvamizi wa Armenia Nagorno-Karabakh na kutiwa saini kwa makubaliano. Raia wa Azerbaijan walianza kufurika barabarani baada ya Rais İlham Aliyev kutoa hotuba kwa umma. Mji mkuu wa Baku ulienea shangwe na sherehe za ushindi...
  9. JamiiForums Tanzania James Gayo: Hulka ya Ushindi wa 100%

    Kijana yatima kijijini aliyetamani kuoa alikuwa amekwama; hakuwa na uwezo wa mahari, achilia mbali pesa ya kuandaa harusi, na umri ndio ulikuwa unazidi kuyoyoma! Mawazo yalipomzidi akaamua kwenda kuomba ushauri kwa jirani yake - kikongwe aliyeishi peke yake baada ya kufiwa na familia yake yote...
  10. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais mpya wa Marekani Joe Biden baada ya ushindi kwa Kiingereza na Kiswahili (Biden-Harris)

    HOTUBA YA JOE BIDEN BAADA YA USHINDI My fellow Americans, the people of this nation have spoken. They have delivered us a clear victory. A convincing victory. A victory for “We the People.” We have won with the most votes ever cast for a presidential ticket in the history of this nation -- 74...
  11. JamiiForums Tanzania Pamoja na ushindi mzito wa CCM: Sisi kama Watanzania tunapaswa kutafakari kwa kina juu ya hili

    Tanzania ni moja ya Nchi ambayo baada tu ya Uhuru ilifanikiwa kujenga msingi Imara wa kiutawala kupitia TANU na baadae CCM. Msingi ambao unaifanya Tanzania kuwa moja ya Nchi chache Barani Afrika zenye uimara wa hali ya juu kiutawala. Sasa ni miaka 20 tangu mfumo wa vyama vingi uanze, na hakuna...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

    Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM. Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa tuingie barabarani tukichafue. 1. Baada ya Magufuli kuingia 2015 akafuta kazi migambo wote. Hapa...
  13. JamiiForums Tanzania Simba yaibuka na Ushindi

    Ligi kuu Soka Tanzania Bara imeendelea kutimua vumbi hii leo katika Dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam ikiwakutanisha Simba dhidi ya Kagera Sugar Simba imeondoka na ushindi mnono wa Bao 2-0 ,ambapo magoli hayo yamefungwa na J.Bocco kwa mkwaju wa penati katika Dakika ya 42, na goli la pili...
  14. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi ya Ivory Coast imetangaza Alassane Outtara kama mshindi wa Uchaguzi, aliyepata ushindi wa kishindo wa asilimia 94.27 ya kura

    Katika uchaguzi wa rais uliofanyika Cote d'Ivoire siku ya Jumamosi, tume ya uchaguzi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi imemtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi kwa asilimia 94.27 ya kura zote zilizopigwa Tume ya Uchaguzi ya Ivory Coast imetangaza Alassane Outtara kama mshindi wa uchaguzi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

    Wadau, amani iwe kwenu. Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa. Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi wa habari ama kwenye mitandao ya kijamii siku zote hayafanikiwi. Wananchi wakiguswa hata utumie...
  16. JamiiForums Tanzania Arsenal yaibuka na Ushindi Old Trafford baada ya miaka 14

    Washika Mitutu wa London, Arsenal the Gunners wameibuka na Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mashetani wekundu, Manchester United Goli lililofungwa na P. Aubameyang kwa mkwaju wa Penati kunako dakika ya 69 lilitosha kuiandikia Arsenal ubingwa katika Dimba la Old Trafford kwa mara ya kwanza ndani ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenendo wa ushindi Kiti cha Urais toka Mwalimu Nyerere hadi Dkt. Magufuli

    1965-Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 2,520,904 sawa na asilimia 96.46 1970- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 3,220,636 sawa na asilimia 96.7 1975- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 4,172,267 sawa na asilimia 93.25 1980- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 5,570,883 sawa na...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  20. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hongera Dkt. Magufuli kwa ushindi wa kishindo. Tuliyoyaona kwenye kampeni tujifunze

    Nichukue Fursa Hii kukupongeza Dokta John Joseph Pombe Magufuli kwa ushindi wa Kishindo wa 84% ya kura zote. Nikupe pole kwa uchovu wa hekaheka za kampeni kwa Siku 60 wakati pia ukitekeleza majukumu ya Urais. Niwashukuru pia wananchi kwa kukuamini na kukupatia awamu ya pili ya miaka mitano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…