Katika historia ya muziki wa Bongo Flava na Afrika Mashariki kwa ujumla, jina la Vanessa Mdee linabaki kuwa alama ya mafanikio, ubunifu, na ushawishi mkubwa.
Vanessa allijijengea himaya yake si tu kama mwimbaji, bali pia kama mtangazaji napo alifanya vizuri sana.
Vanessa alitushtua wengi...
Ushindani michezo ya game miaka 80 -99 ulikuwa mgumu kwa kampuni ya sonny.
Walichofanya wao katika kifaa chao walitengeneza kwa bei kubwa na kuuza bei ndogo.
Kampuni za software za michezo zilivutiwa sana na ndio Playstation yenye michezo mingi ya game.
Kipindi chote waliwezaje kumudu leo...
Tume ya Kutathmini Uchumi na Usalama wa Marekani na China, iliyoko chini ya Baraza la Mawaziri la Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti ya kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Sekta za Utengenezaji za China wa mwaka 2025. Ripoti hiyo inaona kuwa, baada ya juhudi za miaka kumi, uwezo wa uvumbuzi wa...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
Hii kampeni ya Yanga nyuma yake lipo jambo zito, lengo lao sio kupata hivyo vijisenti vyako, lengo ni kuitumia kutakatisha fedha kisha club kupata mgao wa mabilioni.
Kuanzia kwenye dirisha dogo mtashuhudia Yanga ikishusha wachezaji tegemezi toka Al Ahly, Mamelod n.k kisha watasingizia fedha za...
Nilifika dubai kuingia super market kuna friji zimepangana za vinywaji baridi yani kukuta mpaka coca cola inayofanana na maji ya kunywa hipo.
Sasa hawa wa kwetu nikafikiria yani friji zilizopangana kama behewa na kila aina ya kampuni wanaweza kupeleka bidhaa zao kushindana ukiachana na mazao.
Kuingia kwa kocha Florent Ibenge katika Ligi Kuu ya Tanzania ni tukio linaloleta msisimko na matarajio mapya kwa mashabiki wa soka nchini. Ibenge, ambaye ni mzoefu na mwenye mafanikio katika soka la Afrika, anatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye mbinu, nidhamu, na ushindani wa ligi yetu...
Nimekuwa nikifuatilia na kusoma comments nyingi humu. Nimegundua kama kuna chuki au sijui ushindani au ujinga baina ya waislamu na wakristo.
Rejea matusi kama makobazi na wagalatia. Je tunaanza kuchukianana kugawanyika kwa dini bila kujua na kujijua? Je, kama taifa, hii inaonyesha nini?
Ajabu...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo
Mada ya leo ni kuhusu "Ada ya Mja Hunena, Muungwana ni Kitendo", nikiuliza je tuache ushindani wa haki kwa wagombea wa ukweli wenye kuleta ushindani, ili tusimshindanishe na vivuli!, ili kuziacha ada za mja huyu ndizo zimnenee hiyo October...
Kauli ya “No Reform, No Election” ni tamko linalodai uchaguzi usifanyike bila kwanza kufanyika kwa mabadiliko ya msingi ya mfumo wa uchaguzi.
Wakati makundi ya upinzani au wanaharakati wanapotoa kauli hiyo, mara nyingi huwa na hoja kwamba mazingira ya sasa ya uchaguzi hayatoi usawa, haki, wala...
Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business administration,economics wataanza kuwekwa pembeni.
Hivi ni baadhi tu ya vyuo
TIA - DSM, Tanga, Mwanza, Mbeya...
Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani
Ili kuoata watumiaji wapya
Uchaguzi wa ushindani ndio tunao utazamia pale mgombea anaposimama na kueleza yale atakayo yafanya na kuyatekeleza kwa ushindani wa vitendo kwa upinzani, na sio uchaguzi wa kujiteuwa ulipo kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, hakuwezi kuwa na uwajibikaji hapo.
Kwanini vyama vya kisiasa...
Inawezekanaje Republican wamtoe Democrat kwenye uchaguzi na kubakiza vyama vidogo vidogo halafu watuambie wamefanya uchaguzi?
Huo utakuwa si uchaguzi bali ni VICHEKESHO.
Inawezekanaje SIMBA amtoe TEMBO kwenye mashindano na kuwabakiza digidigi, sungura, panya na nyani halafu atuambie kuwa...
Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja
Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa
Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la...
Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule.
Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
Kundi kubwa liloshindwa kabla ya ushindani limeteleza kwenye Upotoshaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Jimbo Moshi mjini....
Kundi Hilo limeathirika kwa kushindwa kujinadi nini watafanya na kwanini aliyekupo hajamaliza mnampiga vita na kutusi na kukejeli KAZI za kutekelezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.