ushindani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna ushindani wa biashara kuna vita ya biashara

    Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kutofautisha biashara za ushindani na biashara za vita. Biashara za ushindani ndio ideology kubwa inayopelekea nchi nyingi zilizoendelea kwa kasi. Asilimia kubwa ya biashara za ushindani ndio chachu ya kukuwa kwa ushindani kama aina mpya ya mitindo ya...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wenye diploma wanaula!! Wapo wachache tofauti na kazi zinazohitaji degree ambazo ushindani ni mkubwa kupita maelezo

    Napitia hapa kazi za tra nimeona kuna kazi zinahitaji diploma, kiukweli diploma wanakuwaga wachache na hii inakuwa faida kwa wenye diploma maana nafasi hizi mtu aliepitia form 6 hawezi ku appy Kimbembe kipo kwenye degree huku, ni shoida!! kuna rundo la vijana wengi mno wanaomaliza form 6 kila...
  3. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya vifurushi: Kwa staili hii ushindani utatoka wapi?

    Habari wana jamvi Tanzania ndio nchi ambayo tunanunua bando kwa bei rahisi sana ukilinganisha na mataifa mengine, kumekua na tendency kubadili huduma za vifurushi hasa internet kwa makampuni hilo halina tatizo kwani lengo lao ni kuongeza income. Mfano kupunguza idadi ya megabyte kwa asilimia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushindani huru kwa walimu wa serikalini

    Kulingana na ongezeko la walimu wengi kuwepo mtaani serikali ingechukua hatua stahiki katika kuendeleza sekta ya elimu hapa nchini. Kwa kuja na mikakati Bora zaidi ya kukuza sekta hiyo hii inatokana uzembe uliopo kwa baadhi ya wa walimu hasahasa shule za sekondari. Kwani imekua Kama mazoea...
  5. Side Makini Entertainer

    JamiiForums Tanzania Maeneo matano ulipo ushindani wa Rayvanny na Harmonize

    Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Rayvanny amemtambulisha msanii wa kwanza aliyesainiwa chini ya lebo yake ya Next Level Music (NLM), Mac Voice tangu kuanzishwa kwake Machi 2021. Kabla ya kusaini NLM, Mac Voice tayari ameshasikika kwenye Bongofleva kwa kipindi cha nyuma ambapo alikuwa...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Simba: Wako wapi wawekezaji wengine wawili waliotajwa kwenye kanuni za Tume ya Ushindani?

    Tatizo la huu mjadala yeyote anayehoji kuhusu Mambo ya kimkataba anaonekani ni Chura au utopolo na kuzimwa ghafla. Wanasimba tumeamua kutia Pamba masikioni kama tuko kwenye honeymoon tukifurahia mahusiano. What about the Dark days? Tuliambiwa katika kanuni za huu mchakato wa uwekezaji wa Klabu...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Watanzania waaswa wasome, waache kuogopa ushindani, vibali kwa wageni kutolewa ndani ya masaa 24

    Duh! Mama Suluhu ameamua hatolinda uzembe, aidha ujitume na kupambana au uachwe nje, vibali kwa wageni kutolewa ndani ya masaa 24. Ifahamike mpaka muwekezaji anaingia gharama zote za kuomba kibali kwa ajili ya mgeni, anamgharamikia usafiri na mambo mengine mengi ni dhahiri anamhitaji, sasa...
  8. Buza Kwa Mpalange

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Mtandao wa TTCL kwa wateja wake

    Hatimaye TTCL wameanza kukosa ubunifu kabisaaa 👉Now wapowapo tu ubunifu ni 0.05%. Badala ya kuumiza kichwa kuboresha huduma, wameenda kumsainisha Nandy kwenye lebo yao ya Rudi Nyumbani Kumenoga ili wazurure kufanya shoo mikoani. 👉Unapiga menyu yao ya kuangalia salio. Ujumbe unakuja kuletewa...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

    Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita na Dodoma jiji itajitahidi kushinda mechi ya leo. Yanga yenye alama 57 na michezo 26 itaikaribisha...
  10. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Wamarekani weusi wana ushindani mkubwa wa kiharakati ukilinganisha na Waafrika

    Wakuu, leo tugusie hawa watu wanaitwa Wamarekani weusi, hawa jamaa bana wanahistoria ndefu sana na yenye mateso, ila Mungu si athumani pamoja na kupitia mateso yote still wapo wana exist. Tunajua kwamba wamarekani weusi ni ndugu zetu waliochukiuliwa utumwani miaka 400 iliyopita, waliuzwa kama...
Back
Top Bottom