Inawezekanaje Republican wamtoe Democrat kwenye uchaguzi na kubakiza vyama vidogo vidogo halafu watuambie wamefanya uchaguzi?
Huo utakuwa si uchaguzi bali ni VICHEKESHO.
Inawezekanaje SIMBA amtoe TEMBO kwenye mashindano na kuwabakiza digidigi, sungura, panya na nyani halafu atuambie kuwa kulikuwa na mashindano.
Hayo yatakuwa si mashindano bali ni VICHEKESHO.
Tanzania kama Nchi, ebu tuwe serious na uchaguzi. Tuache kuleta janja janja za kuwasulubu wapinzani wetu wakubwa kwenye na kubakiza vyama visivyo na ushindani.
Hii itakuwa ni aibu ya milele kwa Taifa letu kwa sababu tangu mfumo wa vyama vingi uanze hakuna Rais aliyewahi kufanya hivyo.
Narudia tena, ndugu zangu Viongozi wa Dini, watu wa Haki za binadamu nk. andaeni utaratibu, kisha wakutanisheni CHADEMA na viongozi wa serikali ili kufikia mwafaka wa jambo hili na hatimaye vyama vyote viingie kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Huo ndo utakuwa uchaguzi, vinginevyo itakuwa ni VICHEKESHO.