Wakubwa kwema, Tafadhali naomba ushauri mimi ni kijana wa miaka 32 sijao ila nina mchumba ambaye tuna mpango wa kuoana mwaka huu na maali nimeishapeleka kwao.
Ni mwanamke ninayempenda ambaye nimekaa naye kwenye mahusiano takribani miaka mitatu ila kipindi nimeanza mahusiano nae tulisumbuana...