ushahidi

Ushahidi is an open source software application, and a non-profit technology company with staff in nine countries whose mission is to help marginalized people raise their voice and those who serve them to listen and respond better. It has been instrumental in creating the Kenyan tech ecosystem, known as the Silicon Savannah, and its employees have gone on to found iHub, Akirachix, and BRCK.The organisation uses the concept of crowdsourcing for social activism and public accountability, serving as an initial model for what has been coined as "activist mapping"—the combination of social activism, citizen journalism and geospatial information. Ushahidi offers products that enable local observers to submit reports using their mobile phones or the internet, while simultaneously creating a temporal and geospatial archive of events. The Ushahidi platform is often used for crisis response, human rights reporting, and election monitoring. Ushahidi (Swahili for "testimony", closely related to shahidi which means "witness") created a website in the aftermath of Kenya's disputed 2007 presidential election that collected eyewitness reports of violence reported by email and text message and placed them on a Google Maps map.The Ushahidi platform has been used by the United Nations Department of Field Services and Peacekeeping, in response to the Haiti Earthquake in 2010, to monitor the Nigerian elections in 2011, by the Obama Campaign for America 2012, by the Nepalese army to respond to the earthquake of 2015, in and by local activists groups such as Humanitarian Tracker to monitor violence in the Syrian civil war and HarassMap to help women report on sexual harassment.Successful deployment of crisis mapping applications like Ushahidi benefits from careful attention to how the technology fits into the relevant cultural settings, and focusing on realistic goals.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Maelekezo kutoka juu Haumtoi mtu Hatiani

    Awamu ya tano na masalia yake ndani ya awamu hii yalituvesha hii "bloody" tungo - Maelekezo kutoka juu. Pamoja na kuwa hadi hapa tulipo kuna ya kujifunza kutokea kwa nduli Sabaya, habari ndiyo hiyo. Haupo utetezi hapo! Wangalipo kina Sabaya wengi huru mitaani. Ni vizuri kwa mustakabala...
  2. JamiiForums Tanzania Kulingana na ushahidi wa kesi ndogo ndani ya kesi kubwa uliotolewa, Je unadhani maelezo ya Adamoo aliyoandikisha polisi yatapokelewa kama ushahidi..?

    Wengi tunahudhuria mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu . Wengine tunafuatilia mitandaoni hatua kwa hatua mwenendo wa kesi nzima.... Kwa ambao hawajui au hawakumbuki au kusahau ni kuwa, kinachoendelea sasa ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa (trial within a...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

    Kwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu sana kupita kiasi, maana mpaka sasa kwenye ushindi wa pande zote mbili hakuna hisia za ugaidi hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

    Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake. ======= Jaji: ameshaingia Sasa Kesi namba 16 Inatajwa Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Namna "nzuri" ya kuficha ushahidi

    Tuseme unataka kujitajirisha Ukasema kuwa bangi ni nzuri kwa afya kwenye kijiji chenye watu 300 Kisha ukawagawia watu 50 bangi yako. Lakini baada ya miezi michache watu 42 wakaanza kumwaga mate kama mazezeta. Wale ambao hukuwapa bangi watasema, “Mnaona, bangi ni mbaya sana. Hakuna hata mtu mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania DPP ana ushahidi mzito tena usio na shadi ya Mbowe 👮‍♀️

  7. JamiiForums Tanzania Wana-CHADEMA cross examinationa ya Mahita Jr na Ramadhan Kingai yasitupe kiburi,kesi bado mbichi sana. Ushahidi ni ishu pana

    Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika. Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache kupiga kelele za kishamba. Ushahidi ni suala jumuishi, leo ushahidi wa shahidi namba moja mnaweza...
  8. JamiiForums Tanzania Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

    NOTE: å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea... å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

    Jana 15/9/2021, Tulishuhudia ACP Ramadhan Kingai akitoa ushahidi mahakani juu ya kesi ya kigaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, Tuliona namna alivyowashiwa Moto wa mahojiano na mawakili wa utetezi kiasi kwamba akaanza kujichanganya na kupelekea watu hapa jukwaani kuhoji CV yake! Ikumbukwe kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Mbowe na wenzake wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Septemba 15, 2021 kwa ajili ya kusikiliza kesi yao. Mahakama...
  11. JamiiForums Tanzania Ripoti: Ushahidi zaidi unahitajika kuhalalisha Chanjo za nyongeza

    Kundi la Wanasayansi wa Kimataifa limesema Chanjo za nyongeza (Booster shots) dhidi ya Virusi vya Corona hazihitajiki kwa Umma katika hatua hii ya mlipuko na ushahidi zaidi unahitajika kuzihalalisha Wameeleza hayo katika Ripoti iliyochapishwa na Jarida la The Lancet ambapo pia wamesisitiza...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ashindwa kutoa ushahidi wa tuhuma zake dhidi ya chanjo

    Katika kikao kinachoendelea Bungeni leo agosti 31, Kamati ya maadili iliyowahoji Askofu Josephat Gwajima na mbunge Jerry Slaa imetoa ripoti yake na mapendekezo ya adhabu. Kwa upande wa askofu josephat Gwajima, Kamati imesema kua ilimtaka atoe evidence juu ya zile tuhuma alizokua...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani: Mashabiki wa Tennis watakiwa kuonesha ushahidi wa kupata chanjo dhidi ya COVID-19

    Mashabiki wa Tennis wenye umri kuanzia miaka 12 na kuendelea Nchini Marekani watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ili kuhudhuria U.S. Open Wametakiwa kuonesha ushahidi wa kupata angalau dozi moja ya chanjo. Michuano hiyo ilifanyika bila Mashabiki mwaka 2020 ======...
  14. JamiiForums Tanzania Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

    Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
  15. JamiiForums Tanzania Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

    Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kitumia silaha na Kupora Mali na fedha ,Lengai ole Sabaya (34)ameiambia mahakama kuwa alitumwa na rais marehemu John Magufuli kuvamia duka la Shaahid Store ili kumkamata Mmiliki wa duka hilo, Mohamed Saad. Akiongozwa na wakili Mosses Mahuna...
  16. JamiiForums Tanzania Bukoba: Mungu ashindwa kutokea Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi inayomkabili Mchungaji Merchades Mugishagwe

    Ushahidi wa kesi ya jinai inayomkabili mchungaji Merchades Mugishagwe na mkewe Agripina Maganja, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Bukoba umefungwa leo, baada ya shahidi namba tatu kwa upande wa washtakiwa aliyetajwa kuwa ni Mungu kutofika mahakamani hapo. Mchungaji Merchades Mugishagwe...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi kuwapiga raia huu ujeuri wanautoa wapi? Naomba mwenye ushahidi wowote wa raia wa Tanzania kupambana na Polisi auweke hapa

    Tabia ya polisi wa Tanzania kuwatisha, kuwapiga na kuwaumiza wananchi wanaotumia haki yao ya kuhoji utendaji wa serikali inazidi kuota mizizi na kuibua maswali kuhusu wajibu wa polisi kwa raia wanaotuhumiwa kuvunja sheria. Kwa hali isiyoeleweka Polisi wa Tanzania wameamua kutoheshimu uhuru wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ushahidi kuwa Elimu yetu haitoshi: Angalia Wabunge na Polisi

    Wabunge na polisi wanapinga kila kitu Cha wapinzani na kuunga mkono kila kitu Cha Serikali. Inawezekana kweli wapinzani wana kasoro zao, lakini wanasaidia nchi kwenye checks and balances hasa kwa vitu vinavyokwenda umiza hata mama zao vijijini. Tanzania hakuna kitu kizuri kuliko wengine zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Mashabiki wa PSG waiiga Yanga, wampokea Messi Airport

  20. JamiiForums Tanzania Arusha: OC CID atinga kizimbani kutoa ushahidi kesi ya Ole Sabaya

    Baada ya kuahirishwa Jana kesi ya Unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Sabaya na wenzake ,kesi.hiyo imeendelea Leo Kwa mkuu wa polisi wa wilaya ya Arusha (OC CID) ASP Gwakisa Minga (45)ambaye ni shahidi wa Saba kutoa ushahidi wake. Sabaya alitinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…