used

  1. Mributz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA VITU USED TOKA U. K friji, zulia za mtumba na n. K

    ZULIA ZA MTUMBA BEI 70K NJOO (0718909429) Friji ndogo laki 2 Pasi 50k
  2. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Nitumie vigezo gani kununua pikipiki used

    Jamani nimetafakari kuhusu biashara zangu nikaona bila kuwa na usafiri wangu binafsi nitaendelea kuteseka mno kwa kudandia dandia za watu. Nimeamua kutafuta usafiri wangu binafsi kutoka kwa mtu (watu) yaani used nimepata tatu zote tvs. Moja namba D sikusoma speedometer ya pili namba C...
  3. Jo Assistant

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

    Habari wadau, Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za...
  4. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtambo wa Solar Power used

    Kwa wale walio karibu na Mikoa ya Mbeya au Songwe na una miliki Mtambo wa Solar power basi nahitaji tafadhari. Kama ni unahama kwenda Mkoa mwingine au una shida tu kidogo. Basi mteja nipo hapa naomba tuwasiliane. Ukubwa wa Mtambo wa Sola nahitaji ni kuanzia:- Battery N70 & Solar Panel Watt100...
  5. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Arusha: Naomba kujuzwa yalipo Maduka ya Laptop

    Habari wana-JF, Kwa wale wakazi na wenyeji wa Jiji la Arusha naomba mnipe taarifa kuhusu maduka yanayouza laptop used & refurbished nzuri. Nimeangalia online nimepata maduka kadhaa ila nataka kupata na mapendekezo kwa watu ambao mnajua maduka mengine.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua TV used nchi 43

    Kama heading ilivyo. Nipo Kahama. Nahitaji kununua TV used. Budget yangu ni 350,000/= Kama unayo naomba ukuje inbox
  7. Mgaa gaa upwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya umeme (Electric scooter) used

    Offer. Kwa yeyote mwenyewe pikipiki ya umeme zile ndogo (electric scooter) used anayeiuza au hana uhitaji nayo kwa sasa na anaiuza hebu anicheki hapa nahitaji kwa matumizi ya nyumbani.. Itapendeza zaidi nikiipata dare salaam
  8. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Tabora wapi wanauza simu nzuri used na mpya?

    Habari za leo wakuu, Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu? Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia. Nikipata username za instagram ili...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Howo Truck used pamoja na spare parts zote za Howo

    Jipatie Howo tipper mende, tractor na spare parts zote za Howo. Kwa bajeti ya Tsh Milioni 78 unajipatia Howo tipper mende used nzuri kabisa. Mawasiliano: 0748270719 Karibu sana
  10. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri

    Habari , nahitaji mabati used. Pc 50 nalipa cash mkononi nipo moshi mjini Mawasiliano 0672701329
  11. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Mabati used yanahitajika ., nipo moshi mjini......

    Habari wa ndugu wa jamii forums , nipo hapa kuomba kwa mwenye mabati used yaliyo na hali nzuri awasiliane na mimi Mawasiliano. 0672701329 Nahitaji pc 50 hivi Asante...
  12. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri ,,

    Habari waungwana , nipo hanitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri Nahitaji. Pc 50 Nipo moshi mjini Mawasiliano ni. 0672701329
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Faw Mende tipper or Howo Mende tipper za kununua. Nahitaji unit 14 ziwe used

    Nahitaji Howo tipper mende or Faw tipper mende used za kununua naitaji pc 14 . Kama unazo naomba uje inbox
  14. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Natafuta daladala used

    Rejea kichwa habari...Aina yoyote inayoweza njia ya vumbi...yenye milima. Shukran imetangulizwa.. Kimtindo mtindoe....mtindisho....mtindishhhdoooo.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Samsung A04 used

    Habari wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, 👉 Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu. 👉 Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa isipokuwa tu haisomi earphones na badala yake huwa natumia earpod za ku-connect na bluetooth. 👉...
  16. makong012

    JamiiForums Tanzania Bei za coaster used

    wadau nahitaji kuchukua coaster used ili niingie kwa biashara ya usafirishaji kwa mtu mwenye uzoefu katika biashara hii naomba kufahamu bei za coaster na mchanganuo mzima katika biashara hii?
  17. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Calculator inauzwa kwa bei ya 'used'

    Scientific calculator Original (pure/advanced) inauzwa 15,000/= Location: Kigamboni(Kichangani) Piga: 0759448927 WhatsApp: 0620523897
  18. Dr leader

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Mizani used

    Habari wakuu, Nauza mizani used ni nzito haina kipengele ina mawe yote Imethibitishwa na wakala wa vipimo Tanzania Ipo wilaya ya Hai 110k tu 0718569091
  19. VMWare-Oracle

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Dumbbells used

    Uzito -30kg Bei-200k Maelewano -yapo.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nauza vitambaa used vya kufanyia ubunifu

    Vitambaa vya kutengenezea makanyagio na ubunifu wa mapambo yapo Kwenye kiloba cha kilo 25, njoo na ofa yako. Location: Kigamboni (Kichangani) Number: 0759448927.
Back
Top Bottom