used

  1. micky judah

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza spear used za magari ya Europe

    Kwa mahitaji ya spear used za magari ya Europe iwe Audi, BMW, BENZ,Vw, Ranger rovers Iwe fundi & tajiri kwa mahitaji yeyote ya spear parts used na bora wasiliana nasi 0613010190
  2. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo used cha samsung note 9

    Habari wakuu Kama una kioo au unamjua mwenye nacho, nicheki kwa 0713 039 875
  3. NEGAN

    JamiiForums Tanzania Tsh. 300,000/- ipo mfuko wa shati, nani aniuzie simu yake iliyotumika?

    Naam pesa taslimu Tsh. 300,000/= ipo nahitaji kupata simu used kutoka mtumiaji wa Tanzania achana na hizi used from Dubai. Leta ofa yako tufanye biashara 🤝🏽
  4. CABANA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji freezer used.

    Salama wandugu......nahitaji freezer used Yale ya biashara...njoo na ofa Yako tufanye biashara Leo Leo.
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Magari 'Used' 31,970 yaliingia nchini mwaka 2022

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi mwaka 2022 magari 12,012 yaliyotumika (used) hayakuruhusiwa kuingia nchini kutokana na kutokidhi viwango. Mwigulu amesema Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilikagua magari 43,982 yaliyotumika ikilinganishwa na magari 35,606...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nimehamishiwa Dar es Salaam kikazi natafuta samani za ndani used(BUDGET TSH 1M)

    Bujeti yangu ni TSH 1M ninatafuta 1. Kitanda used bila godoro 2. Sofa zilizo kwenye hali nzuri 3. TV flat screen size yoyote 4. Friji used
  7. Superfly

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata PC kali kwa bei ya 400,000/=?

    Wakuu kwema? I hope mko poa Nina 400,000/= hapa nahitaji kununua PC, ningependa mnishauri kwa budget hii - Napata Laptop MPYA yenye uwezo gani? na wapi naweza kuipata? - Napata laptop USED yenye Uwezo gani? (Kutoka yale maduka wanayouza used laptops) Naomba mnisaidie katika hili wakuu...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Brevis Used Inauzwa Mwanza

    Toyota Brevis Used Inauzwa Mkoani Mwanza. Inatembea vizuri haina kipengele Bei 2,500,000. Mazungumzo ya Simu ndiyo mwafaka SOLD☑️
  9. Digxam-TZ

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Lowbed trail 4 exl used linauzwa

    Hili ni Trailer la mtumba kwajili ya kubeba mizigo ya Abnormal,ukubwa wa exle 4, liko Johannesburg South Africa, bei yake ya manunuzi pamoja na ushuru usafiri ni 160ml Tsh, wasiliana na kwa njia ya whatspp +27 71 821 9244
  10. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza gari used toka Afrika Kusini

    Salam wakuu, Ikiwa umenunua gari Toyota Double cabin kutoka nchini South Africa unataka kuiingiza Tanzania utaratibu inakuaje wadau?
  11. SOWETO_MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza iphone 7 plain used ,Dodoma

    Habarini za muda huu wana jukwaa, nauza iphone 7 plain kwa bei ambayo ipo in mint(excellent) conditions kabsa na ina sifa zifuatazo: Iphone 7 plain 32 Gb Ram 4 Battery 100% 280k price, fixed...mawasiliano ni haya 0621599120
  12. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa engine used

    Msaada wakuu,naomba kujua bei ya used,ya ENGINE YA INZ,Runx 1).full engine 2).mswaki 3).half engine 4).Gear box full.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji used stabilizer Watts 10,000

    Wakuu, nina uhitaji wa kifaa hicho kiwe ktk ubora ambao bado kinaweza kutumika kuendeshea mashine, kwani nimekutana na changamoto ya umeme pungufu kwenye shughuli yangu. Weka Bei na picha, karibu imbox
  14. John Sin

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ps3 na ps4 used

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo, Mungu akinijaalia mwezi wa 7 nataka kufungua kibanda cha kupata angalau Mia 2 Mia 3 ili niweze kulea mke wangu(sijamuoa) na mtoto wangu huku nikiendelea na masomo yangu ya shahada ya kwanza. Hivyo basi jamani naomba kutangaza kuwa yeyte mwenye ps3 au ps4 used...
  15. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Tunauza engine used za Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40hp

    Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power. Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick na usukani ni wa mkono. Engine zimekaguliwa na kutestiwa baada ya kufika Zanzibar, Engine...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used kutoka Dubai

    Habari Ndugu Zangu Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo. 1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai 2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji) 3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
  17. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Chest Freezer nzuri sana linauzwa

    Aina: Boss Hali yake: Nzuri sana Bei: 550,000 Lilipo: Dar es Salaam Mawasiliano:- 0675341515 NB: FREEZER HAINA SHIDA YOYOTE NA WALA HAIMJUI FUNDI. NAIUZA KWASABABU SINA Matumizi nayo kwa sasa
  18. Mshua's

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Wakuu habari za asubuhi. Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka. Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl. Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
  19. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

    Wakuu habari, nilitaka kuwasahau wana Jf wenzangu. Nitakua nawapostia katika uzi huu vitu tofauti tofauti used tu na kwa bei sawa na bure. Najua pia humu kuna vijana wenzangu wanaoanza maisha, kuna watu ambao uchumi wao haujakaa vizuri hivyo wangehitaji vitu kwa bei ya chini, pia kuna wale...
Back
Top Bottom