Natafuta pikipiki ya umeme (Electric scooter) used

Mgaa gaa upwa

Member
Jan 11, 2024
46
65
Offer.

Kwa yeyote mwenyewe pikipiki ya umeme zile ndogo (electric scooter) used anayeiuza au hana uhitaji nayo kwa sasa na anaiuza hebu anicheki hapa nahitaji kwa matumizi ya nyumbani..

Itapendeza zaidi nikiipata dare salaam
 
Mfano .....
prakriti-super-oz-electric-scooter-500x500.jpg
Karibu sana
 
kuna mpya imetumika 1 week , battery sita, ikijaa chaji inaenda 60km - 70km . Mwenyew alivyoinunua akasafir afu harud karibuni , kaipaki ndan . aliinunua 1.65m risiti ipo , anauza 1.5m 0762565051 , mpya kabisa unakuja kumenya baadhi ya maganda imenunuliwa 4/01/2024
 
kuna mpya imetumika 1 week , battery sita, ikijaa chaji inaenda 60km - 70km . wenyew alivyoinunua akasafir afu harud karibuni , kaipaki ndan . aliinunua 1.65m risiti ipo , anauza 1.5m 0762565051 , mpya kabisa unakuja kumenya baadhi ya maganda imenunuliwa 4/01/2024
Duuh yaan kapunguza laki tu....mwambie asogee kidogoYun
 
Back
Top Bottom