used

  1. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Laptop Used Inahitajika Haraka

    Nahitaji kompyuta mpakato yenye sifa zifuatazo: Brands: Dell au Hp Processor: Core i3 2.2Ghz au zaidi Ram: 4gb au zaidi Hard drive disc: angalau 500gb Screen size: 15" au zaidi Ukiwa kanda ya ziwa kwa maana ya Mwanza, Shinyanga, Geita itakuwa poa zaidi
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Did you know Cornrows were used to help slaves escape slavery?

    Today in Black History!!! Very Interesting!!! Did you know Cornrows were used to help slaves escape slavery? Slaves used cornrows to transfer information and create maps to the north. Since slaves were not allowed to read or write they had to pass information through cornrows. It is...
  3. polokwane

    JamiiForums Tanzania Napata wapi dalali wa magari (used) ambaye ni muaminifu na anakulengesha kwenye gari nzuri

    Shida ndio hiyo kwanye mada.kama kuna anaye mfahamu dalali au kampuni inayo uza magari used na bei nzuri sio used kutoka japan iwe used hapa hapa home , used zabjapan bei imechangamka Maeneo iwe Mwanza, Dar, Arusha au Dodoma
  4. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Contraceptive used by Africans in Ancient times. It was chewed by women about once a week to prevent pregnancy

    This is a root of an Acacia specie, it is a contraceptive used by Africans in Ancient times. It was chewed by women about once a week to prevent pregnancy. This method still works and there are no side effects. https://t.co/kT7G74uOPS
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Jipatie smart TV inch 55 used in excellent condition

    Habari Ndugu, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Brand zilizopo ni Hisence na Boss Bei ni 750,000 (Mazungumzo yapo boss) Mahali zinakopatikana ni Kimara darajani (Kimara mwisho) TV zilikuwa zinatumika Kibiashara kwenye Kukodisha Ukumbini kwa ajili ya Sherehe. Zinauzwa hazina tatizo lolote...
  6. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaj used (2.3m tu)

    Habari wakuu. Nauza Bajaj TVS, ipo Mbauda Arusha. Ipo katika Hali njema. Bei 2.3m. Mazungumzo kidogo yapo Kwa mteja atakayekuwa serious. Simu 0776655978 au 0656388678
  7. usedphotocopytz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Used photocopier machines zinapatikana bei poa na imara

    Tunauza mashine za photocopy used pamoja na vifaa vingine vya ofisi zilizo katika hali nzuri na ubora..spea zake zipo ..toner pia upo ..na tunatoa warranty ya siku 30,Bei zetu zinatofautina na ufanyaji kazi wa mashine na ukubwa wake,tupigie tukupe ushauri ipi inakufaa kwa kazi zako na shuhuli...
  8. MKONGORO

    JamiiForums Tanzania Niuzie Azam decoder used

    Wakuu habarini za majukumu! Ninaomba yeyote anaeuza decoder ya Azam aniuzie whats app 0683965391 Asanteni
  9. Lawrance franci

    JamiiForums Tanzania EXTERNAL HDD 750GB used but in Mint Condition

    Nauza EXTERNAL HDD 750GB used but but in Mint Condition. Haina tatizo,inaweza kutumika pia kama internal 70,000/= location:Dar-es-salaam wa.me.255716889489
  10. Baraka sheni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie pasi used kwa bei sawa na bure

    PASI HIYO INAUZWA KWA 20000 UNAJIPATIA PASI HAINA TATIZO LOLOTE KAMA UNAVYO IONA. IPO TEMEKE KIJICHI. 20000 TU MAONGEZI YAP contact 0694185384 O
  11. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Natafuta PS 2 USED

    Wakuu habari. Natafuta PS 2 used kwa walioko Dodoma. Tuwasiliane....
  12. Loraa sum's

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Used Smart TV inch 43 na Dish la Azam

    used smart tv : inch 43 imetumika miezi 3 Kampuni: homebase Ina :warranty,boksi,stand ya ukutani na chini, remote na waya zake Eneo: Dar-es-Salaam, Ubungo Riiverside Bei: 650,000 Contact: 0712518770.
  13. P

    JamiiForums Tanzania INAUZWA 4TB Transcend External HDD used but in mint condition

    4TB Transcend External HDD used but in mint condition. Ipo Dar Es Salaam. Call: 0712198128 Price: 250,000
  14. Wisdom Flag

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA CAMERA NZURI USED BAJETI YANGU 800K

    Mwenye camera nzur used naomb tuwasiliane wakuuu bajet yangu 800k
  15. M

    JamiiForums Tanzania Friji used linahitajika...

    Wakuu, FRIJI liwe na sifa zifuatazo Used kubwa 1.5 au 2 size Lisiwe chakavu Lisiwe na hitilafu yoyote Linaweza kuwa Aina ya Boss and the like but the Boss much prefered.. Uwe tayari kunisafirishia Malipo baada ya makubaliano. Inbox Ahsante..
  16. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Coaster Used? Njoo Kwa Tukushauri

    Stop over auto parts, wataalam wa kuuza spares za Coaster aina zote na magari aina ya Coaster used,tumekuwa tukiwasaidia wanunuzi wa Coaster Used mambo muhimu ya kujua kabla hujanunua Coaster used. Mambo hayo ni pamoja na kukagua gari ukiwa na fundi mzoefu uliyenaye au ukitaka tutumie mafundi...
  17. kidadari

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Tractors zilizotumila Afrika Kusiniin South Africa

    Kuna makampuni mengi South Africa yanauza matekta na zana za kilimo kwa bei ambayo sio mbaya sana huku yakiwa kwenye ubora mzuri. Kwa wenye ujuzi au waliowahi kununu vip ubora wake upoje na pia kuna changamoto gani kwenye hizo zana za kilimo.?
  18. P

    JamiiForums Tanzania 230,000/= 3TB Transcend External HDD - used mint condition

    Used but in mint condition. Call 0734846322
  19. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's tourvan model "warbus" to be used in Kenya's election 2022

    Homeboyz donates cars to Raila Odinga Friday, October 01, 2021 ODM Leader Raila Odinga (centre) when he received vehicles donated by Homeboyz Entertainment in partnership with Mombasa-based businessman Bernard Odhiambo at Chungwa House on October 1, 2021. Courtesy | ODM Samwel Owino...
  20. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashelf used kwa ajili ya kajiduka kadogo

    Nahitaji mashelf used kwa ajili ya kajiduka kadogo tu. Mashelf ya mbao used namaanisha toka kwenye Duka lililofungwa labda. thanks.
Back
Top Bottom