Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

chaz beezz

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
217
841
Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).

Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo kitandani,nikimuuliza anadai hajiskii kabsa kushiriki nikimgusa hataki hata kufanyiwa romance hataki kabisa nikiendelea huwa ugomvi na huamua kutoka kitandani na kwenda kulala chumba kingne peke yake akidai nimuache hataki.

Hii Hali kiukweli inanipa wakati mgum hisia Kali hunitesa Kama mwanaume kamili dam bado inachemka kukosa kushirik zaidi ya miezi mitatu.

Istoshe katika hiki kipindi Cha ujauzito kazidi kuwa mzuri hatari najikuta naishia kumtamani tu Ila ndo hivyo kuguswa hataki kabisa wakuu.

Namweleza kua hisia zinanizidi nahitaji angalau anipe Mara moja kwa week hanielewi nahofu nakoelekea nisije msaliti wife wangu.

Vipi kwa wale wenzangu ambao mliwahi pitia katika kipindi Kama hiki mwanamke ama mpenzi wako kuwa mjamzito mabadiliko ya mwilli yapelekee kutopenda sex mlifanyaje wakuu?
 
Pole Sana,
Nakushauri Usimng'ang'anize,
Utakuja kuleta migogoro isiyokua na msingi kwny familia yako uharibu ndoa yako kizembe sana

Ushaambiwa muishi nao kwa akili,
Kuchepuka nayo Ni akili kwa mustakabali mzima wa utulivu na kuepusha migogoro isokua na lazma katika familia yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom