usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa ulimbukeni wa usajili wa Yanga na Simba, vijana wetu watatoboa?

    Club za Simba na Yanga wameshindwa kabisa kubalance usajili wao na kujikita zaidi kupata first eleven ya wageni. Najiuliza aina hii ya usajili itawasaidiaje vijana wa Tanzania wanaopanga kutoka kimaisha kwa fani ya mpira? Lini wataonekana na kutoka?
  2. JamiiForums Tanzania Hongereni Yanga kwa usajili mzuri 2021/2022

    Naomba nichukue nafasi hii nikiwa kama mdau wa michezo na shabiki mkubwa wa timu ya Yanga (Timu ya Wananchi), kuupongeza uongozi wa timu, chini ya Mwenyekiti Mshindo Msolla, Wadhamini wa timu, benchi la ufundi, na wadau wote kwa ujumla! Kwa kufanya usajili mzuri. Nimekiona hiki kikosi mahali...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa

    Ili kukuza demokrasia Nchini na uwepo uongozi/utawala bora wenye misingi ya usawa kwa kila mtawala na mtawaliwa ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa. Nchi inavyoenda kwa mfumo huu bila chombo madhubuti ni sawa na kuendesha kikada na fikra za mtu binafsi bila...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: RITA Kuanzisha mfumo wa usajili wa ndoa kwa njia ya Mtandao

    Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa. “Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati wa Usajili Yanga ni kipindi cha kutengeneza Pesa kwa wajanja wachache

    Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa. Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho kinanipa nafasi ya kusimamia ninachoamini pasipo kuyumba. Nimekuwa mara nyingi nikisema Uhuni ambao...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na RITA hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote na endapo watafungisha ndoa bila ruhusa, ndoa hiyo itakuwa batili.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kama Mwenyekiti wa Chama atajihusisha na Ugaidi na chama hakifutwi, kosa gani linaweza kusababisha chama kufutwa?

    Kwanza naomba nieleweke kwamba, Huu uzi hauongelei chama chochote, isipokuwa unaangazia makosa ambayo yakifanyika ndani ya chama chochote, na nani ndani ya chama endapo atafanya makosa yanayopita uwezo wa kustiliwa hadi kupelekea kufutwa kwa Chama, Kama M/kiti wa chama husika, anajihusisha na...
  8. JamiiForums Tanzania Barcelona yaishitaki PSG usajili wa Messi

    Barcelona yafungua kesi Mahakami kupinga usajili wa Lionel Messi kujiunga na PSG, wakidai klabu hiyo haiwezi kumsajili mchezaji huyo kutokana na rekodi mbaya ya mapata na matumizi ya klabu hiyo, ambapo wanaamini wakifanya hivyo watavunja kanuni ya Financial Fair Play. Mawakili wa Barcelona...
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM inauawa na usajili wa Hayati Dkt. Magufuli uliofedhesha wana CCM

    Ukiona chama cha siasa kimeishiwa wajenga hoja kwa muda mfupi lazima ujiulize sababu. CCM imejimaliza kwa sababu zifuatazo; 1. Imejiwekea utaratibu kwamba, Mwenye kusema Ni yule tu mwenye cheo ndani ya chama kwa maana mwenyekiti, makamu, katibu mkuu na mwenezi, mawaziri na manaibu,. Waliobaki...
  10. JamiiForums Tanzania Usajili Simba hausikiki zimebaki tetesi tu

    Team zote zinasajili na kutangaza sajili zao ila club ya Soka ya Simba Tanzania zinasikika tetesi ila hazikamiliki! Je hiyo ndo professionalism au? Maana dunia nzima hata huko ulaya kuna hekaheka na wadau wanasikika lakini he sie Simba ndo tumekua proffesional kuliko hata huko ulaya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Simba mbona hatujasajili mpaka sasa wakati Mo ameweka pesa? Yanga wanatunyang'anya mpaka wachezaji

    Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu. Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
  12. JamiiForums Tanzania Yanga SC mkimaliza na hizi 'mbwembwe' zenu za Usajili ambazo mara nyingi huwa zinawaponza mnitaarifu ili nije na Uchambuzi wangu Kwenu

    Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili. Pili baada ya Kocha Nabi kurejea Likizoni sasa amezozana na Uongozi wa Yanga SC kwa Kumsajili Mshambuliajj Herritier...
  13. JamiiForums Tanzania Link ya kufanya usajili wa Chanjo ya COVID-19

    Wakuu naomba mwenye kujua namna ya kufanya online registration ya chanjo ya COVID-19 aweke hapa link au namna ya kufanya huo usajili online.
  14. JamiiForums Tanzania WeChat wasitisha usajili wa watumiaji wapya ili kuongeza ulinzi wa taarifa

    Kampuni ya Tencent ambayo ni wamiliki wa app ya WeChat ambayo inatumiwa zaidi na wachina, wamesitisha usajili wa watumiaji wapya wa mtandao huo. Wamefikia hatua hiyo ili waweze kuboresha mifumo yao ya ulinzi ambao utakamilika mwezi Agosti. Taarifa ya Tencent imesema kuwa maboresho yanafanyika...
  15. JamiiForums Tanzania Mfumo wa usajili majina ya biashara BRELA

    Wakuu habari zenu, Nimeanza jana kujaribu kusajili Jina la biashara kwa mfumo wa Brela ORS. Nimejisajili vizuri tu ili kuendelea na hatua inayofata, sasa shida ndio imeanzia hapo.. Kila nikijaribu kupakia taarifa ili kuendelea na hatua inayofuata, wao hunigomea. Wanadai kuna taarifa...
  16. JamiiForums Tanzania Usajili Simba kuelekea 2021/2022 nani aondoke na nani aje?

    Simba ni timu bora Sana afrika hii, inawachezaji wengi wazuri sana linapokuja swala la usaji tunajiuliza aje nani na aondoke nani? Wa kimataifa wapo 11 ukiachana na Kahata, je nani ataondoka kati yao? 1. Medie kagere 2. Mugalu 3. Bwalya 4. Chama 5. Miquesone 6. Morrison 7. Tadeo Lwanga 8...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa za usajili wa Wachezaji mbalimbali kwa mwaka 2021/2021 special thread

    Kwema wadau, Katika thread hii tutakuwa tukipeana Habari za usajili wa wachezaji kwa msimu 2021/22 kutoka nchi mbalimbali na ligi mbalimbali duniani. Kuna baadhi ya timu zimeshakamilisha usajili wa baadhi ya wachezaji ambapo: ULAYA, David Alaba from Fc Bayern to Real Madrid Memphis Depay...
  18. JamiiForums Tanzania Usajili wa Yanga kila mwaka hauridhishi kiu ya washabiki, kulikoni?

    Bila kuficha usajili wa yanga una kasoro kubwa sana kila mwaka. Hivi ni kwa nini yanga hupenda kusajili asilimia kubwa mitumba mikubwa kutoka nje ya nchi na kudharau wachezaji wenyeji? Hii dhana ya kufikiria eti ukijaza wageni wengi ndani ya timu kuna manufaa kuliko kusajili wachezaji wetu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Usajili timu za bongo ni pata potea. Hakuna mfumo maalumu unaotumika

    Viongozi wa soka wa timu za ligi kuu hapa bongo hasa hizi kubwa wanapaswa kubadilika...maswala ya sajili za kubahatisha yamepitwa na wakati...Kama kweli tunataka kupiga hatua inabidi tubadilike kwenye hii angle. Ni bongo pekee ambapo usajili wa mchezaji hauzingatii CV yake bali upepo alioamka...
  20. JamiiForums Tanzania Usajili CHADEMA Digital wapatikana nchi nzima, vibanda vya kusajili vyasambazwa

    Hii ndio taarifa mpya kwenda kwa Watanzania, ukitaka kadi ya kidigitali ya CHADEMA, ambacho ni miongoni mwa vyama vichache vya kisiasa vya kisasa zaidi barani Afrika kwa sasa, huna haja ya kulipa nauli hadi kwenye miji mikubwa ili kupata huduma hiyo. Huduma imesambazwa kila mahali hadi vijijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…