Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally kuweni na 'Adabu' na Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC juu ya 'Usajili' wa 'Manzoki' sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
46,312
78,134
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo.

Nilitegemea Wewe kama Mweledi ( Professional ) baada ya muda huo kupita basi Kiungwana ungetuomba Radhi ila ukanyamaza kwakuwa Ulishaaminishwa na Kauli ya aliyekuwa Kiongozi wetu Ismail Aden Rage kuwa wana Simba SC ni Mambumbumbu.

Jioni karika Ukurasa wako Ahmed Ally ( Msemaji wa Simba SC ) ukatutaka tuwe Macho Saa 9 Usiku kwani ndiyo utakuja na Taarifa ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Ceaser Lobi Manzoki na Mwanamume GENTAMYCINE nimekesha mpaka Saa 11 hii ya Alfajiri hakuna Taarifa yoyote kama ambavyo Ulituahidi Sisi Mambumbumbu FC ( Mashabiki wa Simba ) wako.

Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally mnajua Usumbufu mnaotupa Sisi Mashabiki wa Simba SC ( Mambumbumbu Original ) kwa Kutudanganya Kwenu huku juu ya Usajili hasa wa huyu Mshambuliaji Ceaser Lobi Manzoki?

Sasa kwa Hasira Kali nilizonazo juu ya kunifanya Nikeshe kama Popo na leo hata sijambandua vizuri Demu wangu kwa Presha ya Kusubiria Taarifa ya Usajili wa Manzoki muda si mrefu GENTAMYCINE naenda kuanzisha Uzi wa Kutoa SIRI ya kwanini mpaka sasa Jezi za Simba SC bado hazijatoka, Ugomvi wa CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu, Mo Dewji na Pesa zake TSH Bilioni 20 za Uwekezaji na za Usajili, jinsi Wewe ( Msemaji wa Simba SC ) Ahmed Ally unavyotukanwa mara kwa mara na CEO Barbara Gonzalez na Mpango wenu wa Kununua / Kuhonga Mechi za Ligi Kuu ( Msimu Ujao ) kama ilivyofanyika ndani ya Misimu Minne ya Ubingwa wetu.

Mmenikera na kwakuwa mmeshatuona wana Simba SC wote ni Mambumbumbu FC sasa mnatuchukulia Poa hivyo Mimi GENTAMYCINE ninayewajua na ninayojua yanayoendelea Klabuni naenda Kuyaanika yote hadharani hapa hapa na muwe Wavumilivu kama nami ( nasi ) Mambumbumbu FC Original tulivyovumilia Uwongo wenu juu ya Usajili wa Manzoki mpaka kutusababisha Tukeshe hivi.

Na mwambieni huyo Kocha wenu 'Mbovu' Mserbia Zoran Maki kuwa hatumtaki huyo Mshambuliaji wake Mserbia ( Mzungu ) anayetaka ( tena kwa Kulazimisha kuwa asajiliwe Simba SC ) na kwamba Simba SC iachane na Manzoki. Sisi Manzoki tunamjua na Balaa lake tumeshaliona sasa muulizeni huyo Kocha wenu 'Mbovu' Zoran Maki huyo Mserbia wake ( Nduguye ) kacheza wapi na ana Uwezo upi?

Leo ndiyo Mtanitambua GENTAMYCINE Wapuuzi wakubwa nyie. Mmenipandisha kweli kweli Hasira zangu Mseto za Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa.

Yaani mtatudanganya na kutupotezea muda kwasababu tu ya Uhuni, Upigaji na Uswahili wenu ndani ya Uongozi wa Simba SC? Subirini sasa niyaanike na niwaanikeni ili mnyooke vizuri.

Majuha (Nuts) wakubwa kabisa nyie!!
 
one b

JF-Expert Member
Jun 30, 2017
541
1,087
Kwan hujui Mo ni kanjibah...kupe mwenyewe kanyoosha mikono kwa mlio wa mo sembuse ninyi makolo...
 
mudi juma

Member
Jul 1, 2022
20
31
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo...
Maneno ya kike hayo, kwani lazima ughadhabike namna hyo na kuwadhihaki wenzako???!! Badilika ndugu, ww mkubwa sasa, usiwe na mambo ya kitoto.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
46,312
78,134
Kwa hivyo wewe kama mwanasimba sc unakiri mlihonga na kununua mechi misimu minne iliyopita?
Nakiri tena 100% kwani kuna Mechi zingine Binafsi nilishiriki kufanya Umafia huo ( hizo Kazi Chafu )

Na hata Yanga SC nao kwa Msimu huu wamefanya kile kile kilichofanywa na Simba SC kwa hiyo miaka Minne kwani Mmoja wa Marefa ( wa Beji ya FIFA ) ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu amenihakikishia hilo.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
46,312
78,134
moderator hamuoni hizi takataka
Wanaziona tu Takataka nyingi sana zilizopo Ubongoni Kwako ( Mwako ) Ulizorithishwa na Waliokuleta Ulimwenguni.

Halafu usisahau kuwa Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' sawa?
 
Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
738
1,237
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo.

Nilitegemea Wewe kama Mweledi ( Professional ) baada ya muda huo kupita basi Kiungwana ungetuomba Radhi ila ukanyamaza kwakuwa Ulishaaminishwa na Kauli ya aliyekuwa Kiongozi wetu Ismail Aden Rage kuwa wana Simba SC ni Mambumbumbu.

Jioni karika Ukurasa wako Ahmed Ally ( Msemaji wa Simba SC ) ukatutaka tuwe Macho Saa 9 Usiku kwani ndiyo utakuja na Taarifa ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Ceaser Lobi Manzoki na Mwanamume GENTAMYCINE nimekesha mpaka Saa 11 hii ya Alfajiri hakuna Taarifa yoyote kama ambavyo Ulituahidi Sisi Mambumbumbu FC ( Mashabiki wa Simba ) wako.

Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally mnajua Usumbufu mnaotupa Sisi Mashabiki wa Simba SC ( Mambumbumbu Original ) kwa Kutudanganya Kwenu huku juu ya Usajili hasa wa huyu Mshambuliaji Ceaser Lobi Manzoki?

Sasa kwa Hasira Kali nilizonazo juu ya kunifanya Nikeshe kama Popo na leo hata sijambandua vizuri Demu wangu kwa Presha ya Kusubiria Taarifa ya Usajili wa Manzoki muda si mrefu GENTAMYCINE naenda kuanzisha Uzi wa Kutoa SIRI ya kwanini mpaka sasa Jezi za Simba SC bado hazijatoka, Ugomvi wa CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu, Mo Dewji na Pesa zake TSH Bilioni 20 za Uwekezaji na za Usajili, jinsi Wewe ( Msemaji wa Simba SC ) Ahmed Ally unavyotukanwa mara kwa mara na CEO Barbara Gonzalez na Mpango wenu wa Kununua / Kuhonga Mechi za Ligi Kuu ( Msimu Ujao ) kama ilivyofanyika ndani ya Misimu Minne ya Ubingwa wetu.

Mmenikera na kwakuwa mmeshatuona wana Simba SC wote ni Mambumbumbu FC sasa mnatuchukulia Poa hivyo Mimi GENTAMYCINE ninayewajua na ninayojua yanayoendelea Klabuni naenda Kuyaanika yote hadharani hapa hapa na muwe Wavumilivu kama nami ( nasi ) Mambumbumbu FC Original tulivyovumilia Uwongo wenu juu ya Usajili wa Manzoki mpaka kutusababisha Tukeshe hivi.

Na mwambieni huyo Kocha wenu 'Mbovu' Mserbia Zoran Maki kuwa hatumtaki huyo Mshambuliaji wake Mserbia ( Mzungu ) anayetaka ( tena kwa Kulazimisha kuwa asajiliwe Simba SC ) na kwamba Simba SC iachane na Manzoki. Sisi Manzoki tunamjua na Balaa lake tumeshaliona sasa muulizeni huyo Kocha wenu 'Mbovu' Zoran Maki huyo Mserbia wake ( Nduguye ) kacheza wapi na ana Uwezo upi?

Leo ndiyo Mtanitambua GENTAMYCINE Wapuuzi wakubwa nyie. Mmenipandisha kweli kweli Hasira zangu Mseto za Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa.

Yaani mtatudanganya na kutupotezea muda kwasababu tu ya Uhuni, Upigaji na Uswahili wenu ndani ya Uongozi wa Simba SC? Subirini sasa niyaanike na niwaanikeni ili mnyooke vizuri.

Majuha (Nuts) wakubwa kabisa nyie!!
Suala la kuhonga timu msimu ujao ili wapate matokeo watakwama pakubwa Kama ndo mikakati yao, Msimu ujao ligi itakuwa ngumu mara 2 ya msimu uliopita, klabu karibu zote zimejiimarisha kwenye usajili na hazina njaa ya pesa kwani kibunda cha Azam tv kwa vilabu vyote kinaendelea kuvipa jeuri, angalia timu ndogo tu Kama ihefu iliyopanda daraja usajili wake imekusanya mastaa wenye uzoefu bila pesa wasingewapata, angalia timu kama singida big star wako vizuri Sana kiuchumi mpaka usajili wao wametisha, sasa Mo kama ndo akili zake hizo mwambieni atachemka vibaya Sana msimu huu labda atafute mbinu nyingine sio ya kuhonga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

3 Reactions
Reply
Top Bottom