usaili

  1. L

    JamiiForums Tanzania Usaili Environmental officer

    Habari wana JF, Niliomba kazi ya environmental officer, na sasa naona mikeka ya utumishi imeanza kutoka, naamini na sisi soon wanatutolea, mwenye possible zozote za wapi nipigie au hata ambaye amewahi kushiriki usaili wa design hiyo msaada tafadhali. Asante
  2. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

    Nimehudhuria usaili kadhaa wa utumishi kwa kazi nilizoomba kupitia ajira portal wiki hii. Ni kazi za ICT officers. Kwenye mchujo (written interview) wanauliza maswali ambayo ni ya wanafunzi, yale maswali yanayohusisha kukariri vitu vingi na terminologies.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa maswali ya usaili NACTE

    Habari zenu wapendwa! Poleni kwa majukumu mbalimbali. Samahani, naomba kwa anaefaham maswali ya written interview ya NACTVET nafasi ya Coordinator of Curriculum Assessment. Natanguliza shukrani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za utumishi wa umma ni bora uendelee kufanyika Dodoma. Mambo ya kikanda sijui kufanyika taasisi husika haijakaa sawa

    Habari wana bodi! Mimi nikiwa mmoja ya vijana mtafuta ajira, mnaweza kuwa mashahidi wa ajira za utumishi zikifanyikia Dodoma zinakuwa fair sana kuliko zikifanyikia kwenye taasisi husika. Mfano ajira za vyuo vingi, zimefanyikia kwenye taasisi husika. Watu wengi nimesikia wakilalamika ya kuwa...
  5. Muha wa mjini

    JamiiForums Tanzania Walioitwa kwenye usaili wa askari magereza Dodoma

    Habari viongozi. Samahani sana ningependa kujua kama kuna mwanajamii forums yoyote alie itwa kwenye usaili Tujuane. Na Tuulizie kwa wale wazoefu wanaojua maswali yanayo patikana kwenye Usaili ni ya aina gani?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kama TAA imeshaita watu kwenye usaili

    Habari, Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili? Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
  7. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi ni USAILI/INTERVIEW''; Kilio cha Usaili. Je, Wapi nakosea?.

    Miongoni mwa jambo pasua kichwa kwa watafuta ajira wengi wenye vyeti vilivyoosheni GPA zenye vigezo vya mtu kupata nafasi ya kuwajibika eneo husika basi kuhusu USAILI huwezi kuacha kuzungumzia. Kuna haja ya kuliangalia hili swala la mfumo wa umimi/ubinafsi katika mfumo mzima wa usaili...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujibu swali la wewe ninani kwenye usaili

    Kama ni mtafuta ajira ambaye umewahi kupata bahati ya kuitwa kwenye usaili, bila shaka swali hili sio geni. Ni swali la “wewe ni nani” ambalo mwajiri anauliza ili kufahamu taaluma, ujuzi na uzoefu wako. Amini ninapokuambia kuwa, wala hahitaji kujua kabila na mkoa uliozaliwa. Anahitaji madini ya...
  9. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Kitulo Njombe: Usaili ajira za mda za sensa wagubikwa na vitendo vya rushwa na upendeleo

    ALERT 🚨 🚨 🚨 Huko katika kata ya kitulo mkoani njombe aliyekuwa mwenyekiti wa usahili Agizo chapel tweve ambaye ni mwl.mkuu kampitisha mke wake Vailet sanga nawakinga wenzao naanajisifia hawez waacha wazawa.. amempitisha mtu aliyeomba usimamizi wamaudhui kuwa karani Okraim ngailo majina...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Habar za majukumu wanajamvi, Kama mnavyojua tupo katika kipindi cha usaili wa sensa ktk nafasi mbalimbali. Basi bwana juzi usiku mida ya saa tano kasoro nilitumiwa messege kuwa saa 8.00 am tar 19/7 natakiwa kwenda usaili wa sensa ktk nafasi ya msimamizi wa TEHAMA Kama nilivyoomba. Bahati mbaya...
  11. darcity

    JamiiForums Tanzania NBS, Mchakato wa usaili una mapungufu

    Leo ni siku ya USAILI kwa watu walioomba nafasi za ajira za ukarani wa sensa itakayofanyika tarehe 23 Agosti 2022. Nilichoshuhudia ni uwepo wa dosari katika mbinu ya kuwapata watakaopewa ajira ya muda katika zoezi hilo. USAILI kwa njia ya mdomo na walioteuliwa kufanya usaili. Wasimamizi wa...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Lugha za mwili unazotakiwa kuziepuka wakati wa usaili wa kazi

    1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu 2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau 3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini 4. Epuka kutafuna kitu chochote mdomoni au kung’ata kucha 5. Kama umekaa usiegemee sana kiti -...
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

    Jiangalieni hapo kama mpo.
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi

    Jamani Mnaonaje matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi….toa maoni yako
  15. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Usaili Wa Watendaji Chamwino

    Majina Haya Hapa
  16. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

    Ilikuwa ni jumamosi iliopota tukiwa tunajianda watu takribani 200 tukiwa tunajianda kuingia kwenye usaili wa ajira wakati tukiwa katika ukaguzi wa kuingia katika chumba cha mtihani tufanye written paper Ghafla tulijikuta watu takribani 50 tulizuuliwa kuingia kwenye pepa ya written Kwa makosa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma kuendesha usaili siku ya ibada Jumapili

    Huku ni KUPITILIZA na tunasema HAIKUBALIKI KABISA. Haiingii akilini watu na akili zao kuamua kutokuheshimu kwa makusudi imani ya watu ambao wanapaswa kuwa kwenye ibada KANISANI na kuipanga siku hiyo kuwa ni siku ya kuwasaili waombaji wa ajira. Ina maana wanaoendesha usaili huu kama ni wakristo...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Taasisi, Makatibu wa Wizara, Wakurugenzi wa Wilaya na Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mikoa wawe wanafanyiwa usaili

    Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo. Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake. Na tena nakazia. Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara...
  19. Anganjwiri92

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya maswali ya usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi

    Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo 1. Maswali kutokana na hii kazi 2. Kiwango cha mshahara 3. Nizingatie nini...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo). Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
Back
Top Bottom