usafirishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Msimu wa biashara ya usafirishaji

    🔥 USAFIRI NI BIASHARA YA MSIMU — JE UPO TAYARI KUVUNA FAIDA? 🔥 High season inakaribia kwa kasi (Juni – Desemba) — huu ndio muda ambao mabasi yanafanya pesa halisi 💰 👉 Usisubiri msimu uanze ndipo uanze kutafuta bus… utachelewa! 🚨 Weka order yako SASA Ili kufikia high season uwe tayari na bus...
  2. W

    NATAFUTA PARTNER WA BIASHARA – FURSA YA USAFIRISHAJI NA BIASHARA TANZANIA

    Habari wanajamii, Natafuta partner au mwekezaji kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuingiza na kusambaza three-wheelers (bajaj) pamoja na magari madogo ya biashara hapa Tanzania. Kwa sasa tayari kuna mawasiliano na wazalishaji wa nje ya nchi na wameonyesha utayari wa kufanya mazungumzo ya...
  3. O

    TAARIFA MPYA: Kampuni kadhaa kubwa za mafuta zimesitisha usafirishaji wa mafuta kupitia Strait of Hormuz.

    Makampuni kadhaa makubwa ya mafuta pamoja na makampuni ya usambazaji wa mafuta na petroli yamesitisha kwa muda usafirishaji wa mafuta, petroli na bidhaa kupitia Strait of Hormuz kutokana na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran kwa mujibu wa ripoti kutoka Reuters.
  4. Tanzania Railways Corp

    TRC yaanza rasmi usafirishaji wa mizigo kwa kutumia container carriers SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza rasmi usafirishaji wa makasha kwa kutumia reli ya Standard Gauge, hatua inayolenga kupanua wigo wa biashara, kupunguza msongamano wa mizigo bandarini na kurahisisha usafirishaji wa mizigo kwenda mikoa ya kati ya nchi. Akizungumza wakati wa kuanza safari...
  5. E

    EFTA kukusanya Sh50 bilioni kwa ajili ya wajasiriamali wa kilimo, usafirishaji

    Nicomed Bohay - EFTA Taasisi ya fedha Equity for Tanzania (EFTA) imezindua hatifungani ya Sh50 bilioni kwa ajili ya kukopesha vifaa vya killimo, usafirishaji na ujenzi. Akizungumza katika uzinduzi huo leo Februari 10, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Nicomed Bohay amesema kuwa wamefikia hatua...
  6. Traxtion

    Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme

    Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira na unafuu wa gharama. Tafadhali serikali, najua vitu vingi mnaboronga lakini kuhusu hili la...
  7. Desierto

    Boda boda jipendeni wenyewe serikali haitakujaga iwajali hakika

    Ukweli ni huu hapa acheni kujifariji nyinyi ni bodaboda tu. Ibaki hivo achaneni na kupewa sifa na majina mazuri Serikali ingekuwa inawapenda isinge ruhusu kuingia kwa helmet feki na laini kuliko hata kichwa Cha mwanadamu. Kuruhusu helmet feki ni sawa na kuruhusu vifaa tiba au dawa feki kwani...
  8. Mshindi wa Vita

    LIVE: David Kafulila anaongea na wadau wa Usafiri na Usafirishaji wa Bandari

    https://www.youtube.com/live/0oisjyeeiTk?si=ZyTQ-O1IFxIhOKkd MDAHALO KUHUSU UENDESHAJI ENDELEVU WA BANDARI UNAENDELEA PEACOCK HOTEL Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers’ Council – TSC) leo linaendesha mdahalo wa ngazi ya juu wa Sekta ya Umma na Binafsi (Public–Private Dialogue)...
  9. M

    Wabongo bado sana kwenye biashara ya usafirishaji na uchukuzi

    Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE. Sisi wazawa hatuwezi hizo kazi. Ufanisi mdogo sana. Nimeandika baada ya kushindwa kuvumilia...
  10. stakehigh

    Kwa wakulima wa Morogoro na Dodoma, TRC wamerahisisha usafirishaji wa mazao yenu kwa kuwaletea Mabehewa ya cold chains

    Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza...
  11. Mafyangula

    KTN yafichua jinsi JKIA ilivyogeuzwa njia dhaifu ya usafirishaji dawa za kulevya

    Lango kuu lenye shughuli nyingi zaidi Afrika Mashariki, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, upo katikati ya kashfa ya kimataifa ya dawa za kulevya. Kitengo cha uchunguzi cha KTN kimekusanya ushahidi unaoonyesha jinsi mojawapo ya viwanja vya ndege vyenye shughuli nyingi zaidi barani...
  12. Damaso

    Usafirishaji hatari wa Tv kuanzia Inch 60

    Ebu leo wanandugu njooni tuzungumze kidogo. Mara nyingi sana huwa napishana mitazamo na watu juu ya namna ya usafirishaji wa tv kubwa kuanzia inch 60 na kuendelea. Huwa nawaambia kama umeweza kupata milion 1+ kwaajili yakununua tv ya ndoto yako kwanini ushindwe kutoa elfu 50 ya usafiri tv yako...
  13. Yoyo Zhou

    China yasaidia Tanzania kujenga vituo vya Usafirishaji

    Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki kilichowekezwa na China kimezinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Kabla ya hapo, Kituo cha Kimataifa cha Usafirishaji cha Kwala na Bustani ya Viwanda ya China na Tanzania katika Mkoa wa Pwani nchini Tanzania viliweka jiwe...
  14. Ojuolegbha

    Dkt. Serera aipongeza posta kwa ubunifu wa usafirishaji

    DKT. SERERA AIPONGEZA POSTA KWA UBUNIFU WA USAFIRISHAJI 📍Nanenane, Dodoma 🗓️ 06 Agosti, 2025 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera amelipongeza Shirika la Posta Tanzania kwa hatua kubwa ilizopiga katika utoaji wa huduma kwa njia za kidigitali pamoja na ubunifu...
  15. Carlos The Jackal

    Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

    Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi . Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila...
  16. N

    Yas kutoa huduma kituo cha Biashara, Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
  17. DR. MWAKABANJE

    Je bei ya usafirishaji mizigo toka China Kwa CBM ni kiasi gani Kwa wastan

    Naomba kujua wastani wa bei ya usafiri Kwa njia ya Meli toka China kuja Tanzania Kwa CBM. Nimepanga kuagiza bidhaa Fulani Fulani Kwa ajili ya kuuza huku KWa jumla, supply akanipa CBM ya mzigo kuwa ni 7.29 na bei ya manunuzi na usafiri Hadi Kwa agent wangu ni TSHS. 5,800,000/=, nikamuuliza...
  18. Tanzania Railways Corp

    Uzinduzi wa Usafirishaji mizigo kwa SGR

    sg
  19. J

    Usafirishaji: Rais Samia apendelea wazawa

    Usafirishaji: Wazawa chini ya Rais Samia waula Mwaka 2020 jumla ya miradi ya wazawa katika Sekta ya usafirishaji mizigo iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji ilikua ni 6 huku idadi ya miradi ya wageni ikiwa ni 5, katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia miradi ya wazawa kwenye sekta ya...
  20. S

    KERO Mamlaka husika zichukue hatua za haraka kuhusu usafirishaji abiria halmashauri ya Wilaya ya Rombo

    Habari wana bodi, Tanzania nzima hakuna wananchi wanapata shida ya usafiri kama wananchi wa Rombo! Kuna ukiritimba gani uliopo kwenye vyombo vya usafiri Rombo? Kwanini wananchi wanateseka hivi na usafiri? Vijana wengine wameamua kutumia pikipiki zao kusafiri kutoka Moshi mjini hadi Rombo...
Back
Top Bottom