usafiri

  1. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je hili kundi linaloondoka sasa kutoka Dar kwenda mikoa mingine, ni hofu ya maandamano au? Je, vipi kuhusu huko waendako?

    Wakuu Nimeona taarifa juwa hali ya usafiri Dar kwenda mikoani imekuwa changamoto, wasafiri ni wengi kuliko mabasi. Je kuna tetesi zozote za magari kutokusafiri ikikaribia Disemba 9? Ama wananchi tu wamekuwa na hofu? === Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hali ilivyokuwa Trh 29 na 30 Oktoba uliwezaje kuishi (survive). Je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri?

    hali ilivyo trh 29 na 30 October kwako uliwezaje kusavaivu(survive) je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri? Mimi nilipangiwa kusimamia kituo cha kupigia kura pale mnazi 1, lumumba tulifika siku 1 kabla kama wasimamizi tukalala hapo ,tukalipwa posho elfu 90 lkn moyoni nilitaman sana kutoka...
  3. JamiiForums Tanzania TRC, TCB Wazindua kadi ya malipo ya tiketi usafiri wa SGR

    Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka TRC Bw. Fredrick Masawe (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Bw. Jema Msuya wakionesha kadi ya malipo ya kabla ya tiketi ya SGR iitwayo TRC Prepaid Card wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo yenye lengo la kuongeza ufanisi katika uuzaji...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza Kivukoni kukagua hali ya usafiri wa mwendokasi

    02 September 2025 WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari...
  5. JamiiForums Tanzania Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri halafu CCM inanunua mabasi ya gharama

    Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri wa umma kisha chama ambacho kinajinasibu kipo kwa ajili ya kusaidia wananchi kinanunua mabasi mengi kwa gharama kubwa huku wananchi wakiteseka na usafiri wa umma. This has to end OKTOBA 29 MAANDAMANO
  6. JamiiForums Tanzania Usafiri wa Milima: Mwanza Electricity Wire Van Transport

    Habari Tanzania ! Tunawaomba TANESCO na Wizara ya Usafirishaji na Uchukuzi si mtupatie hii huduma watu wa Mwanza maalumu wakazi wa Milimani. Mfunge Usafiri waya kutoka: 1. Mkuyuni - Bugando - Mabatini - Mahina. 2. Kigoto - Kirumba - Bwiru 3. Mirongo - Kilimahewa - Buswelu. NB Watani zetu...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Arusha ina mpangilio wa ovyo katika usafiri wa umma

    HAKUNA JIJI LENYE MPANGILIO WA HOVYO KATIKA USAFIRI KAMA ARUSHA.. Kiukweli inashangaza sana kuona jiji kama Arusha linazidiwa na Mikoa ambayo haina hadhi kama ilivyo Arusha kuwa na mpangilio unaoeleweka katika suala zima la Usafirishaji wa Raia. Magari mengi yanaenda shakalabaghala...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nchi zetu za afrika mashariki vitamin D inapatikana kwenye jua tu kukidhi mahitaji ya mwili (Punguza kutumia usafiri unaoziba jua)

    Ukiachana na JUA vitamin D inapatikana zaidi kwenye samaki ambao east afrika hawapo, kuna njia zingine kama mayai ama maini ya ngombe lakini hizi hutoa asilimia chache sana ya vitamin D zinazohitajika na mwili kwenye shuhuli zake za kukinga mwili hivo basi kwa wale mnaopenda sana kutumia usafiri...
  9. JamiiForums Tanzania DART yaendelea kupiga kalenda usafiri wa Mwendo kasi Mbagala

    Huduma ya mabasi ya mwendokasi iliyotarajiwa kuanza leo Septemba Mosi, 2025 katika barabara ya Mbagala, imesogezwa mbele ikiwa ni sababu ya kutokamilika kwa miundombinu muhimu kama mageti janja na kituo cha kujazia gesi. Akizungumza lna gazeti la Mwananchi leo Jumatatu, Septemba mosi 2025 ...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya jumbe kwenye vyombo vya usafiri vina maana na tafakuri kubwa sana, Ona huu

    Habari wadau, Zama hizi kumekuwa na utaratibu wa wamiliki au madereva wa vyombo vya usafiri kuweka jumbe mbalimbali katika vyombo hivyo. Jumbe hizo huwa za aina tofauti tofauti: zipo za majivuno, za kuelimisha, za kukumbusha na hata za kuchekesha. Hivi karibuni nimekutana na ujumbe mmoja...
  11. JamiiForums Tanzania Hali ya usafiri Dar kutoka Karikoo au Posta ni mbaya sana

    Mida ya jioni bajaji zina charge kutoka Karikoo hadi Kimara ni 4,000 kutoka Karikoo hadi Mbezi ni 5,000. Viongozi wako busy na kampeni hakuna anae jali , watoto wao wanatembea na magari ya Billions yaliyonunuliwa na hawa walipa kodi wanaoteseka na usafiri ili wakafanye shughuli zao walipe kodi...
  12. JamiiForums Tanzania Usafiri wa DARTS Hali ni mbaya hivi haiwezekani kuwa na kampuni 2 zinazotoa hiyo huduma

    Ngoja niende kwenye mada Moja Kwa Moja Mimi nadhani inawezekana kuwa na kampuni 2 tofauti zinazotoa huduma ya usafiri wa mabasi ya mwendokasi 1) Kila kampuni inakuwa na rangi yake ya mabasi yake kwamfano Kampuni Moja mabasi yake ni ya kijani Kampuni ya pili mabasi yake ni Njano 2) Kampuni...
  13. JamiiForums Tanzania Taifa Stars ni timu yetu Fahari yetu; Nina Tickets 1000 Shabiki wa Stars DM nikutumie plus usafiri upo

    Hello Taifa Stars Fans ! Wadau tuna tukio Zito na zuri na uzuri wake ni kwa sababu ya kumtupa Morocco nje ya CHAN2024. Binafsi nimeandaa Tickets 1000 plus Usafiri kwa ajili ya mashabiki lengo ni kushangilia hatuendi kukaa Kwenye viti wala kusinzia. Kwa wale ambao wapo vizuri kiafya maana...
  14. JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: mwanaume mwenzio akipitiwa na usingizi kwenye usafiri akakuegemea begani, utamuacha?

    Najua wanaume wengi hutulia hata kufurahia wakiegemewa na mwanamke kwenye usafiri wa umma, ila je ikiwa ni mwanaume mwenzio, utamuacha?
  15. JamiiForums Tanzania Unapo taka kununua USAFIRI haswa GARI na PIKIPIKI hua unaepuka makosa gani?

    Dunia ya sasa usafiri binafsi ni jambo muhimu sana haswa pale unapo hitaji kuepuka msongamano na adha ya usafiri wa umma Mambo gani hua unazingatia katika kuchagua na kununua USAFIRI wako binafsi imma usafiri mpya au ulio tumika tayari hapo awali yaani (MTUMBA)
  16. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

    Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe 😂
  17. JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kusahau kitu chako cha thamani kwenye usafiri wa umma, yaani Daladala, halafu ukakipata tena?

    Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mtu akilia kwa uchungu baada ya kusahau pochi yenye kila kitu kadi, hela, vitambulisho kwenye siti ya daladala. Hakujua hata jina la gari, wala namba. Hakujua pa kuanzia. Kwa nini daladala zetu hazina mfumo wowote rasmi wa kutunza vitu vinavyosahaulika? Wakuu...
  18. JamiiForums Tanzania Usafiri wa Mwendo kasi

    Huu Usafiri wa Mwendo kasi ndo wakijinga namna hii. Nipo kituoni Fery Toka saa 8 mpaka sasa hivi imekuja gari Moja Tu. Kumbe huu Usafiri hauna uwakika Hata kidogo. Nimejuta kukata tiketi mara Nyingi huwa matumia kibaskeli Changu Leo nimejichanganya.
  19. JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini mwendokasi umeshindwa kutatuta changamoto ya usafiri katika jiji la DAR?

    Wakuu ==== Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa —...
  20. JamiiForums Tanzania Nanunua Kampuni yenye leseni ya usafiri wa Anga.

    Umofia kwenu wanajamvi. Ninatafuta kampuni inayouzwa na inayojihusisha na maswala ya usafiri wa Anga (Abiria na Mizigo). Sharti iwe na usajili na iwe na umri wa at least miaka mitano (5). Kampuni hiyo iwe au isiwe na vyombo hivyo vya usafiri sio hoja kubwa, ni kuwa na leseni (5 years on...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…