Katika hali isiyokawaida, jana baada ya kumuona Simbachawene akiongea, sikutegemea usiku wa kuamkia leo ningerudi kwa taabu nyumbani. Nimefika Buguruni nikakuta watu wanakimbizwa na wanajeshi, wanawaambia wasitembee.
Ilipofika saa saba usiku, mambo yalikuwa hivyo.
Leo asubuhi natoka barabarani...
Watu wameingia kwenye taharuki kufuatia kinachoitwa D9 ambacho ni maandamano yaliyopangwa kufanyika
usafiri wa umma, vituo vya mafuta, upatikanaji wa Kondomu na vyakula vikavu. CHADEMA ndio wanapaswa kulaumiwa!
Wakuu
Nimeona taarifa juwa hali ya usafiri Dar kwenda mikoani imekuwa changamoto, wasafiri ni wengi kuliko mabasi.
Je kuna tetesi zozote za magari kutokusafiri ikikaribia Disemba 9? Ama wananchi tu wamekuwa na hofu?
===
Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa...
hali ilivyo trh 29 na 30 October kwako uliwezaje kusavaivu(survive) je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri?
Mimi nilipangiwa kusimamia kituo cha kupigia kura pale mnazi 1, lumumba tulifika siku 1 kabla kama wasimamizi tukalala hapo ,tukalipwa posho elfu 90 lkn moyoni nilitaman sana kutoka...
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka TRC Bw. Fredrick Masawe (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Bw. Jema Msuya wakionesha kadi ya malipo ya kabla ya tiketi ya SGR iitwayo TRC Prepaid Card wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo yenye lengo la kuongeza ufanisi katika uuzaji...
02 September 2025
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari...
Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri wa umma kisha chama ambacho kinajinasibu kipo kwa ajili ya kusaidia wananchi kinanunua mabasi mengi kwa gharama kubwa huku wananchi wakiteseka na usafiri wa umma. This has to end
OKTOBA 29 MAANDAMANO
Habari Tanzania !
Tunawaomba TANESCO na Wizara ya Usafirishaji na Uchukuzi si mtupatie hii huduma watu wa Mwanza maalumu wakazi wa Milimani.
Mfunge Usafiri waya kutoka:
1. Mkuyuni - Bugando - Mabatini - Mahina.
2. Kigoto - Kirumba - Bwiru
3. Mirongo - Kilimahewa - Buswelu.
NB
Watani zetu...
HAKUNA JIJI LENYE MPANGILIO WA HOVYO KATIKA USAFIRI KAMA ARUSHA..
Kiukweli inashangaza sana kuona jiji kama Arusha linazidiwa na Mikoa ambayo haina hadhi kama ilivyo Arusha kuwa na mpangilio unaoeleweka katika suala zima la Usafirishaji wa Raia.
Magari mengi yanaenda shakalabaghala...
Ukiachana na JUA vitamin D inapatikana zaidi kwenye samaki ambao east afrika hawapo, kuna njia zingine kama mayai ama maini ya ngombe lakini hizi hutoa asilimia chache sana ya vitamin D zinazohitajika na mwili kwenye shuhuli zake za kukinga mwili hivo basi kwa wale mnaopenda sana kutumia usafiri...
Huduma ya mabasi ya mwendokasi iliyotarajiwa kuanza leo Septemba Mosi, 2025 katika barabara ya Mbagala, imesogezwa mbele ikiwa ni sababu ya kutokamilika kwa miundombinu muhimu kama mageti janja na kituo cha kujazia gesi.
Akizungumza lna gazeti la Mwananchi leo Jumatatu, Septemba mosi 2025 ...
Habari wadau,
Zama hizi kumekuwa na utaratibu wa wamiliki au madereva wa vyombo vya usafiri kuweka jumbe mbalimbali katika vyombo hivyo. Jumbe hizo huwa za aina tofauti tofauti: zipo za majivuno, za kuelimisha, za kukumbusha na hata za kuchekesha.
Hivi karibuni nimekutana na ujumbe mmoja...
Mida ya jioni bajaji zina charge kutoka Karikoo hadi Kimara ni 4,000 kutoka Karikoo hadi Mbezi ni 5,000.
Viongozi wako busy na kampeni hakuna anae jali , watoto wao wanatembea na magari ya Billions yaliyonunuliwa na hawa walipa kodi wanaoteseka na usafiri ili wakafanye shughuli zao walipe kodi...
Ngoja niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Mimi nadhani inawezekana kuwa na kampuni 2 tofauti zinazotoa huduma ya usafiri wa mabasi ya mwendokasi
1) Kila kampuni inakuwa na rangi yake ya mabasi yake kwamfano
Kampuni Moja mabasi yake ni ya kijani
Kampuni ya pili mabasi yake ni Njano
2) Kampuni...
Hello Taifa Stars Fans !
Wadau tuna tukio Zito na zuri na uzuri wake ni kwa sababu ya kumtupa Morocco nje ya CHAN2024.
Binafsi nimeandaa Tickets 1000 plus Usafiri kwa ajili ya mashabiki lengo ni kushangilia hatuendi kukaa Kwenye viti wala kusinzia.
Kwa wale ambao wapo vizuri kiafya maana...
Dunia ya sasa usafiri binafsi ni jambo muhimu sana haswa pale unapo hitaji kuepuka msongamano na adha ya usafiri wa umma
Mambo gani hua unazingatia katika kuchagua na kununua USAFIRI wako binafsi imma usafiri mpya au ulio tumika tayari hapo awali yaani (MTUMBA)
Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mtu akilia kwa uchungu baada ya kusahau pochi yenye kila kitu kadi, hela, vitambulisho kwenye siti ya daladala. Hakujua hata jina la gari, wala namba. Hakujua pa kuanzia.
Kwa nini daladala zetu hazina mfumo wowote rasmi wa kutunza vitu vinavyosahaulika?
Wakuu...
Huu Usafiri wa Mwendo kasi ndo wakijinga namna hii.
Nipo kituoni Fery Toka saa 8 mpaka sasa hivi imekuja gari Moja Tu.
Kumbe huu Usafiri hauna uwakika Hata kidogo.
Nimejuta kukata tiketi mara Nyingi huwa matumia kibaskeli Changu Leo nimejichanganya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.