Nahitaji usafiri wa gari binafsi kutoka Ngara Kagera kwenda Dar es Salaam.
Nasafiri mimi na mke wangu
Natamani usafiri uwe Jumatano au Alhamis.
Nitachangia nauli.
Habari za muda huu wakuu??
Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku.
Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
Kuanzia Jumanne, tarehe 8 Julai 2025, shule zote za msingi na sekondari – za serikali na binafsi – zitafunguliwa rasmi nchini baada ya likizo ya mwezi mmoja. Hii inaashiria kuanza kwa muhula wa pili wa masomo, na wazazi wanarejea katika majukumu yao ya kila siku ya kuhakikisha kuwa watoto wao...
Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena Na AFP na Wafanyakazi wa ToI Leo, 11:41 asubuhi Mamlaka ya usafiri wa anga ya Iran imetangaza kwamba anga ya nchi hiyo imefungwa "hadi ilani zaidi," vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, huku Israel na Iran zikiendelea kufyatua...
Ubishi ni akili zetu ila ni wafafanulie kwa ufupi.Ndege zinapotaka kuondoka ufanyiwa ukaguzi kama kuna nyufa au kuna uwazi.ili kuzibiti uwazi kuna tape ambayo inatwa speed tape au aluminium tape.
Hii ni gundi maalumu ambayo uweza kuvumilia uwezo wowte wa hewa,maji,ugumu wa kazi.
Hizi shule zikisha weka magari mawili tu nao wanajiona shule ni private school wakati ni kayumba pro max.
Watoto mnawarundika kwenye basi utazani ZIP file kwenye computer.
Yani ukisema watoke kwenye gari moja ni sawa na madarasa manne ya wanafunzi.
Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa 2:00 Usiku pale Stendi Kuu.
Tulipofika Uyole wakapaki tukaondoka Saa tano Usiku kwa hiyo...
Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna.
Mwaka 2021 magari ya mwendokasi yalikuwa yanatoka Kariakoo mpaka mbezi lakini sasa hakuna. Tunashukuru sana Rais Samia kwa kuwafanya wanyonge kuwa wanyonge zaidi.
Kata ya Mtumba yanufaika na ujenzi wa barabara pamoja na kalavati kwa gharama ya shilingi 73,000,000 kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa usafiri na usafirishaji katika eneo hilo.
Hayo yalielezwa na Diwani wa Kata ya Mtumba, Edward Maboje alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
Heshima zenu wasafiri wazoefu!
Ukiacha Shirika letu la ATCL, ni mashirika gani bora ya Ndege, hasa zinazomilikiwa na nchi za Kiafrika, kwa safari ya Dar - Dubai?
Daraja ni la UCHUMI!
Nimeshasikia mashirika yafuatayo yakisifiwa!
1. Kenya Airways(KQ)
2. Ethiopian Air Lines (EAL)
3. RwandAir
4...
Hivi changamoto ya usafiri serikali inaiona kwa upande wa dar es Salaam, Maana usafiri ni kiungo muhimu cha maendeleo na usafirishaji wa haraka. Mnalionaje hili ?
Chama cha Liberal Democrats kimependekeza mpango wa kutoza faini ya hadi pauni 1,000 kwa watu wanaocheza muziki au video kwa sauti kubwa katika usafiri wa umma nchini Uingereza. Lengo ni kukabiliana na tabia zisizo za kiungwana na kulinda haki ya wengi wanaotamani safari tulivu. Serikali imesema...
Habari watanzania, shukrani za dhati ni kwa Mungu mwenyezi kwa kutupenda upeo hata akamtoa mwana wake wa pekee ili atukomboe kwa wale watakao muamini (yohan 3;16)
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, ya Adha katika usafiri wa dala dala za Temeke-Mbezi na maeneo mengine hasa wakati wajioni...
Narudia Tena:
Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania
Kama serikali inaweza kusimamia
Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..?
Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?!
Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya...
Naomba mamlakA LATRA iangalie hiki suala la usafiri hapa hususaani Mbezi Luiz, Makongo na Goba una ulazima Gani Gari za Makongo ziishie Makongo Makumbusho?
Napendekeza ruti ya
1. Makongo ianzie Tegeta Madale njia nne Goba Makongo na Makumbusho
2. Route ya mawasiliano Makongo - Goba - Tegeta
3...
Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watu
Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.