usafiri

  1. J

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Watoto kwenye vyombo vya usafiri

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Utumiaji wa viti maalumu vya watoto katika vyombo vya usafiri unaokoa maisha ya mtoto pindi ajali inapotokea kwa asilimia 75% Viti hivi vina nyenzo muhimu kwa ajili ya kulinda Usalama wa Mtoto anapokuwa kwenye gari kwasababu viti kawaida vya magari...
  2. unlucky

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa mambo kadhaa kuhusu usafiri wa treni

    Habari zenu ndugu zangu poleni na misukosuko ya hapa na pale. Naomba nijue kuhusu usafiri wa treni kwa Dar es salaam utaratibu unakuwaje mfano Dar kwenda Mwanza inakuwa bei gani na inachukua siku ngapi au masaa mangapi na je usafiri w treni ni salama na tiketi yake unakatia wapi manake sijawahi...
  3. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufedheheka (kupata dharura) ukiwa safarini kwenye usafiri wa umma?

    Kuna mambo mengi yanaweza kukutokea ukiwa safarini 1. Kutapika kwenye gari 2. kubanwa na tumbo la kuharisha 3. Kuachwa na gari wakati wa kuanza safari au wakati mmeshuka kupata chakula. 4. Mengineyo Mwaka flani nilikuwa natoka Morogoro kwenda Dar. kabla ya safari nakumbuka nlikula zile chapati...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Watanzania twendeni Congo tukawekeze Sekta ya Usafiri wa majini na mafuta

    Kila msaka fursa angalia hii clip uone mwenyewe fursa zilipo za biashara ya usafiri wa majini na mafuta Congo. Hizo baadhi tu lakini ukitizama hii Clip waweza gundua nyingi zaidi.
  5. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva na fundi wa magari, natafuta kazi

    Mimi ni Dereva , mwenye leseni pia ni Mtaalam wa Matatizo ya Gari. Yeyote mwenye uhitaji wa Dereva wa Gari yake nipo Tayari kufanya nae kazi . Nna uzoefu wa miaka 8 wa udereva na uzoefu wa miaka 6 wa Matengenezo ya Magari . Taaluma zote mbili za Udereva na matengenezo ya Magari nimesoma...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze mikakati ya mito kutumika kwa usafiri wa umma na utalii

    Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana. Hapa ni boat meli ya mto kongo ya abiria sisi mito yetu inatiririka bure.
  7. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaohofia usafiri wa anga tukutane hapa

    Hakuna kitu kinatisha kama ndege inapoanza kupaa aisee. Yaani unaona tu majengo yalee kama viberiti. Nakumbuka kuna safari niliwahi kukacha kurudi na ndege nikapanda basi. Ile kitu acha tu.
  8. Matanga

    JamiiForums Tanzania Adha kubwa tuipatayo abiria tunaosafiri na mabasi ya mikoani

    Serikali yetu hebu tusaidie wanyonge na hii tabia inazidi shamiri sna kwa wale ndg zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mbwembwe zote LATRA hawajafikia ubora wa Scandinavia Bus sekta ya usafiri wa abiria!

    Nimejaribu kufuatilia kwa karibu maboresho yanayofanywa na LATRA kwenye sekta ya usafiri wa abiria lakini sijaona Jipya. Nikikumbuka kampuni yangu pendwa ya mabasi ya Scandinavia naona viwango walivyovifikia wakati wanafunga kampuni bado havijafikiwa na hawa Latra. Mambo ya online booking na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa amezindua safari ya meli ya MV Mbeya II itakayotoa huduma katika Ziwa Nyasa nchini na nchi jirani za Msumbuji na Malawi

    Meli ya MV. Mbeya II ambayo imezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 5, 2021.i 20.1 ambazo zimetumika katika kujenga meli tatu ambazo kati yake mbili ni za mizigo MV Ruvuma na MV Njombe kwa thamani ya shilingi bilioni 11 na meli ya abiria na mizigo ya MV Mbeya ii kwa shilingi...
  11. luambo makiadi

    JamiiForums Tanzania Krismasi yapamba moto Kilimanjaro. Magari, treni, ndege zafurika abiria

    Wakuu, krismass ya mwaka huu UCHAGANI imefana mno mabasi yote tiketi zimeisha Hadi January 5,treni nazo zimefurika ndege ndio kabisaaa,mabasi mengine yaliyopewa vibali vya kupeleka watu kaskazini nayo yamejaa,hongereni Sana watu wa Kilimanjaro/kaskazini kwa kupenda kwenu nyumban Ni utamaduni mzuri
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Usafiri wa Anga kutoa mafunzo ya urushaji drones kwa ada ya Tsh. 1,980,000 yatayoweza kuomba leseni ya urushaji TCAA

    Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza kidato cha nne au zaidi, ajue kusoma na kuandika Kiingereza. Ada ni TZS 1,980,000.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu usafiri Wa Meli/Boat: Unguja-Pemba-Unguja (28 & 29/12/2020)

    Heshima Kwenu Nyote Wakuu, Nilikuwa nataka namimi niende nikapaone Pemba tarehe tajwa hapo juu. Sasa naombeni muongozo kwenye mambo yafuatayo; 1. Je, naweza kutoka Unguja siku ya J3 tarehe 28/12/2020 (Jioni) na Kurudi (from Pemba to Unguja) siku ya J4 tarehe 29/12/2020 (Jioni)? 2. Je...
  14. Zekidon

    JamiiForums Tanzania Haipendezi kwa Mwanaume kupanda usafiri wa Boda Boda

    Kwakweli haipendezi kabisa Mwanaume kukamatia boda boda. Mwanamke haina tatizo kabisa. Kwanza vile mnavyokaa tu, inatia mashaka, Bora bajaji au Tax kabisa.
  15. mwanachuo

    JamiiForums Tanzania Malipo ya usafiri wakati wa kuanza kazi na kumaliza mkataba

    Niliajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni moja ya fedha . Hata hivyo nililipwa pesa ya mafunzo na nauli pekee nikitarajia kulipwa malipo ya kusafirisha mizigo na kujikimu lakini hawakufanya hivyo japo mkataba ulionesha naajiriwa kutoka Moshi kwenda Lindi, ingwa wakati wa kumaliza...
  16. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Vyombo vya Usafiri; Mabasi, Coaster na Hiace kati ya Uvinza na Kigoma

    Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Sisi wananchi wa Uvinza na viunga vyake tunaomba Serikali yetu tukufu iingilie kati suala la mgomo wa vyombo vya usafiri Kigoma-Uvinza toka juzi usafiri haupatikani tunashindwa kufanya shughuli za kimaendeleo ambazo zinatufanya kutoka kituo kimoja kwenda...
  17. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza hii kwa ambao mnatafta usafiri

    Gari ni mpya Plate no. imetoka jana. SPECIFICATIONS: Make: Toyota Model: RunX Body Style: Hatchback Color: Sky Blue Odometer: 58,000km Transmission: Auto Bei ni 12.5m subjected to Negotiations.
  18. sinyora

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 5, nitapata gari gani zuri kama chombo cha usafiri

    Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu. Nisiwachoshe nimechoka na hekaheka za boda boda nina bajet ya mil 5 naweza kupata gari used iliyo vizuri? Mimi ni bonge kidogo sitaki Passo wala Vits. Nashukuru.
  19. TODAYS

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kusitishwa kwa usafiri wa boti Zanzibar na Bara siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 28

    Ndugu na jamaa wanaotarajiwa kufanya safari ya kuja Zanzibar au kwenda Bara mnapaswa kufanya safari zenu mapema kabla ya wiki ijayo ya tarehe 28. Mkumbuke siku hiyo hakutakuwa na chombo kitakachobeba raia kutoka sehemu tajwa hapo juu.
  20. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Video: WanaCCM wakiwa wamebebwa kwenye gari wakipelekwa kwenye mkutano

    Hakika wanaCCM wameendelea kujionesha kuwa wao ni bora liende. Haiwezekani mwanadamu unampakia kwenye usafiri wa kuhatarisha maisha yake kiasi hiki.
Back
Top Bottom