Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Mabinti ninaowazunhumzia hapa sio wale wacheza vigodoro na wavaa madera wasiojielewa, ni mabinti wale wanaojistiri swala tano.
Hawa mabinti moja ya sifa kuu waliyonayo ni usafi wa mwili, yaani ukibahatika kumla hutojutia wala kurudi hapa eti...