urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hungry kuondolewa haki ya kupiga kura kwenye bunge la umoja wa ulaya kwa kujiweka kwake karibu na Urusi

    Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja. Hatua ya Bunge la Ulaya ya kuiondolea Hungary haki ya kupiga kura siyo tu inayostahili bali pia ni...
  2. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wanaodhani Lengo la Putin ni kuchukua Ukraine Kisha Kutawala Ulaya Wanajidanganya

    Wanaodhani Lengo la Putin ni kuchukua Ukraine Kisha Kutawala Ulaya Wanajidanganya – Hiki Ndicho Kitakachotokea Vita Vikilipuka Kati ya Urusi na NATO Mvutano kati ya NATO na Urusi umeongezeka tangu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti, lakini kwa kiwango kikubwa zaidi baada ya Urusi kuivamia Ukraine...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tanzania tujifunze hili somo la vita ya Ukraine na Urusi: vita vyaweza kuuza nchi

    Kama kuna kitu nimejifunza kutokana na kurushiana maneno kati ya Trump na rais wa Marekani na Zelensky wa Ukraine, ni kwamba vita vinaweza kusanbabisha mtu kuuza nchi yake. Marekani imetumia pesa nyingi kumsaidia Ukraine kupambana na Urusi. Pesa hizo ziko kwa mfumo wa vifaa vya kijeshi na...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Marekani yaungana na Russia, Korea Kaskazini na Belarus kupinga azimio la Umoja wa mataifa kulaani uvamizi wa Russia

    Hakika hizi ni zama mpya, Marekani imeungana na mataifa kadhaa ya hovyo kupinga azimio la baraza la usalama la Umoja wa mataif(UN) lililowasilishwa na Umoja wa Ulaya kulaani uvamizi wa Russia nchini Ukraine na kuitaka iondoe majeshi yake Ukraine. Hata hivyo azimio hilo limepita kwa wingi ws...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Nyambizi ya Superpower Urusi “Kursk“ mwaka 2000

    Mnamo tarehe 12 Agosti 2000, nyambizi ya K-141 Kursk, nyambizi ya manowari ya Kirusi ya darasa la Oscar II, ilizama katika Bahari ya Barents, na kuua watu wote 118 waliokuwemo ndani. Ajali hiyo ilisababishwa na hitilafu katika torpedo ya aina ya 65-76, ambayo ilisababisha mlipuko mkubwa ndani...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania China ni maswahiba wa Urusi ila raia wake wamajaa Marekani kuliko Urusi!

    Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa. Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

    Wanakaumbi. 🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna kinachowategemea. Wamefanya kazi yao kama "wajinga wa maana", na sasa wanaweza tu kutazama na kukaa kimya...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Trump anataka Marekani, China na Urusi zipunguze nusu ya bajeti zao za ulinzi. Pia anapenda Urusi irudishwe kwenye G7

    "Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo." – Trump Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi yagundua vifaa vya mawasiliano yaani pagers zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kichina kuwa zimetegwa vilipuzi ndani yake

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi Kama vile walivyopewa magaidi ya Hamas na Hezbollah Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel...
  10. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Ukraine iko tayari kutoa ardhi yake Kwa urusi kumaliza vita

    Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao. Chanzo: SPECTATOR INDEX
  11. Tresor Mandala

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya M23 kule Goma ni Sawa na Urusi kule Crimea

    Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na Urusi kule Crimea Leo mkutano wa upatanishi unaendelea lkn M23 walalamikiwa hawapo wanawakilishwa...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kitakachotokea Dakika za Mwisho Kabla ya Vita vya Nyuklia (Nuclear War): Marekani Chini ya Shambulizi Kuu kutoka Urusi

    Katika enzi ya kisasa ambapo uhasama wa mataifa makubwa unazidi kushamiri, hatari ya vita vya nyuklia haijawahi kuwa kubwa zaidi. Marekani na Urusi, mataifa mawili yenye silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuangamiza ustaarabu wa binadamu mara kadhaa, hujikuta katika mgogoro mkubwa wa kijeshi...
  13. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania PIGO JINGINE KWA MAREKANI: Urusi na Uchina zatengeneza Nvidia card bora mara 800 ya zile za USA

    Hii ni habari mbaya sana kwa Pro -USA. **************** ******************* Wanasayansi kutoka nchi hizo mbili wamesuka algorithm mpya kwa kutumia teknolojia ijulikanayo kama "reverse engineering" na kuweza kuboresha kadi kadi za video game . Algorithm hiyo mpya inaruhusu kadi za GPU hizo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa USA: Ni ujinga kutoa misaada halafu tunapelekea pesa China, waarabu, Urusi na Uturuki

    Mange yupo sawa kwa hili https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
  15. dogman360

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kaskazini Waua wanajeshi wa Urusi

    Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Januari 2025 karibu na kijiji cha Velikiy Soldatskoye, Mkoa wa Kursk. Wanajeshi watatu wa Jamhuri ya Watu wa Korea Kaskazini (DPRK) waliwaua wanajeshi watano wa Brigedi ya 810 ya Majini. Walitangazwa kuwa wahalifu wanaotafutwa." Hii ilikuwa Published...
  16. 5

    JamiiForums Tanzania BBC: Ukraine yafanya shambulizi kubwa zaidi Urusi - Kyiv

    Maghala ya kuhifadhia risasi na viwanda vya kemikali vilishambuliwa katika mikoa kadhaa, baadhi yao ikiwa mamia ya kilomita kutoka mpakani, kulingana na Mkuu wa Wafanyakazi wa Kikosi cha Wanajeshi cha Ukraine. Vyanzo vya shirika la ujasusi la Ukraine SBU viliiambia BBC kwamba shambulio hilo la...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Katika majukumu 2018-2022 Nchi za Urusi, Armenia,Vietnam,Thailand na Singapore, nilidakwa na Binti Mnyaru kimahusiano nikagundua kagame Noma Hatari

    Asalaaaaamu, Britanicca hapa! Matumaini yangu ni wazima ! Kuna ka story ambako kanaweza kuwa na episodes kadhaa Ila ni Kama ka drama fulan ka ukweli kaliko changika na ujasusi ndani yake! Kagame mnyoshee mikono! Naokumbuka vema ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe 8 Mwaka 2018 nikapokea simu toka...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

    Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi. Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yachukua udhibiti wa mojawapo ya migodi mikubwa ya Lithium Barani Ulaya

    Urusi imechukua udhibiti wa mgodi wa Lithium wa Shevchenko baada ya kutwaa eneo unapopatikana mgodi huo. Hii ni mwendelezo wa Urusi kutwaa maeneo yaliyoko mashariki mwa Ukraine tangu kuanza kwa vita kati ya Urusi na Ukraine. Mgodi huu ni miongoni mwa migodi migodi mikubwa zaidi ya Lithium...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha: Jameni Wakorea wanaoisaidia Urusi wanafyekwa hadi huruma

    Wanaisha jameni, yaani kiduku wa Korea Kaskazini anawarubini watu wake wanafia kwenye nchi ya watu kwa ajili ya ugomvi usiowahusu, nakumbuka hata wavaa makobaz wa kutokea Syria na kwingine walijaribu wakafyekwa wote.... Mrusi aachwe hiki alichokianisha kiendelee kumtokea puani. Ukrainian...
Back
Top Bottom