urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump alivyogundua Putin hana 'uswahiba' inapofika maslahi ya Urusi

    Rais wa Marekani Donald Trump ameamua kuiuzia Ukraine silaha za kukabiliana na makombora ya Urusi pamoja na kushambulia pia vikosi vya Urusi. Vifaa hivi vitalipiwa na nchi za Ulaya. Haya ni mabadiliko makubwa katika msimamo wa Trump dhidi ya ushiriki wa Marekani katika vita vya Urusi na...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ampa Putin siku 12 Urusi kuonyesha muelekeo wa kumaliza vita Ukraine la sivyo aishughulikie

  3. Z

    JamiiForums Tanzania Cuba na Urusi kuna nini, zama zilee za mwalimu, wasomi wetu walio enda kusoma nchi hizo walirudi wakiwa wamechanganyikiwa (data)

    Huo ndio ukweli, watu wa miaka ya zamani watakumbula kuwa, wasomi wetu walio somea Cuba au Urusi walikuwa wamechanganyikiwa! Kwa miaka ya hivi karibuni mtamkumbuka Dr. Shika sasa marehemu, ambaye pia alisomea huko Urusi alirudi akiwa amedata. Wapo wengi tunawajua wengime wametangulia mbele za...
  4. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ile Trump Kuambiwa Alishirikiana Na Urusi Kuingilia Uchaguzi Wa Mwaka 2016 Wa Marekani Ilikuwa Ni "Hoax" Iliyotengenezwa Na Obama

    Tulsi Gabbard's Revelations Confirm a Deep State Conspiracy Against Trump 🚨BREAKING NEWS FROM DNI Tulsi Gabbard: "Americans will finally learn the truth about how in 2016, intelligence was politicized and weaponized by the most powerful people in the Obama Administration to lay the groundwork...
  5. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania China yaahidi kuendelea kuisaidia Urusi

    Rais wa China, Xi Jinping katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya Nje ya Urusi, Sergei Lavrov, mjini Tianjin, amesema nchi hizo mbili zinapaswa "kuimarisha uungaji mkono wa pande zote. Xi amesema China na Urusi zinatakiwa kufanya kazi pamoja kuziunganisha nchi za kusini mwa dunia na kukuza...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump aitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa kama hawatamaliza vita huku akiendelea na mpango wake wa kuwapa silaha wa Ukraine

    Wanaukumbi Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itatuma "silaha za hali ya juu" kwa Ukraine kupitia nchi za Nato, huku pia akitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa ikiwa makubaliano ya kumaliza vita hayatafikiwa ndani ya siku 50. "Tunataka kuhakikisha Ukraine inaweza kufanya...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump aitaka Ukraine ipige ndani kabisa ya Urusi, ikibidi Moscow!

    Katika kile kinachoonekana kama kubadikisha muelekeo wa mtizamo wake kuhusu vita vya uvamizi vya Urusi nchini Ukraine, inaelezwa Donald Trump ameanza kuipa msukumo Ukraine kushambulia popote ndani ya Ukraine huku akihoji uwezo wa kushambulia Moscow kama watapewa silaha za masafa marefu. Sijui...
  8. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Urusi: Hatutishwi na blah blah za Trump na Magharibi

    Mkuu wa baraza la ulinzi la Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi haitishwi na kauli ya raisi wa Marekani Donald Trump kuhusu vikwazo zaidi kwa nchi hiyo endapo itagoma kusaini mkataba wa kusitisha vita huko Ukraine ndani ya siku 50 (49 sasa 😁) zijazo. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X...
  9. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump aipa Urusi siku 50 kumaliza Vita nchini Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita la sivyo itakabiliwa na vikwazo vikali, na akatangaza kukaribia kusafirisha idadi kubwa ya...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania China imeshasema haitakubali Urusi ishindwe na Ukraine kwa msaada wa NATO

    Dunia ijitayarishe kushuhudia vita vya kweli vya tatu vya dunia kutokana na mzozo wa Ukraine na Gaza. Kwa upande wa Gaza kinachoendelea ni rehma za Allah kuonesha uwezo wake ambapo Marekani na ukubwa wake na ukatili wa Israel inayoshirikiana nayo wataangushwa chini na watu dhaifu kuliko wote...
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini sasa ni chanzo muhimu cha silaha kwa Urusi

    Wakati utawala wa Trump unatafakari kuhusu kutuma silaha zaidi kwa Ukraine, mmoja wa washirika muhimu zaidi wa Urusi anaongeza kiwango cha ushiriki wake. Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jon Un, ametoa "msaada wake usio na masharti" kwa Moscow, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yaahidi kuendelea kuiunga mkono Urusi

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesisitiza kuwa ataendelea kuiunga mkono Urusi katika vita dhidi ya Ukraine. Ameitoa kauli hiyo katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya nje ya Urusi Sergei Lavrov mjini Wonsan.Kim Jong Un amesema nchi hizo mbili zina mitazamo inayofanana kuhusu masuala...
  13. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi: Tumekiteka kijiji kingine Ukraine

    Urusi imesema imekiteka kijiji kingine magharibi mwa mkoa wa Donesk nchini Ukraine Jumapili 13.07.2025 wakati vikosi vyake vikiendelea kupata mafanikio na kusonga mbele kuelekea katika mkoa jirani wa Dnipropetrovsk.Wizara ya Ulinzi ya Urusi imekitaja kijiji hicho kuwa ni cha Myrne kilicho karibu...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Waziri wa Usafirishaji wa Urusi Roman Starovoit, ajiua baada ya kufutwa kazi na Rais Vladimir Putin

    Roman Starovoyt, waziri wa usafirishaji wa Urusi amekutwa amekufa kwa kujipiga risasi masaa machache baada ya kutimuliwa na Putin. Kamati ya Upelelezi ya Urusi siku ya Jumatatu imethibitisha kifo cha aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Roman Starovoyt, katika eneo la kitongoji cha Moscow, saa chache...
  15. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi yateka maeneo mawili zaidi mashariki mwa Ukraine

    Jeshi la Urusi limesema Jumapili kuwa limechukua udhibiti wa vijiji viwili mashariki mwa Ukraine cha Piddubne katika mkoa wa Donetsk na Sobolivka katika mkoa wa Kharkiv. Ukraine haijatoa tamko rasmi kuhusu madai hayo ya Moscow.Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, Urusi imekuwa ikisonga taratibu...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania " Kama Mohammed hatoweza kwenda Mlimani, Mlima huenda kwa Mohammed. Ukrain yalipua Kambi kubwa ya kijeshi ya Urusi.

    And the vice versa is true "If the mountain won't go to Mohammed, then Mohammed must go to the mountain"
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi imekuwa nchi ya kwanza kutambua serikali ya Taliban ya Afghanistan

    Urusi imekuwa nchi ya kwanza kuutambua rasmi utawala wa Taliban, huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan Amir Khan Muttaqi akiuita uamuzi wa "ujasiri". Alikutana na balozi wa Urusi nchini Afghanistan, Dmitry Zhirnov, mjini Kabul siku ya Alhamisi, ambapo Bw Zhirnov aliwasilisha rasmi uamuzi...
  18. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Kukatiza usafirishaji wa silaha za Marekani kutachochea Urusi kuendeleza vita – Ukraine

    Ukraine imeonya kuwa kukatizwa kwa shehena za silaha za Marekani huenda kukachochea Urusi kuendeleza vita nchini humo, ambayo sasa ni mwaka wake wa nne. Siku ya Jumanne Ikulu ya White House ilisema kuwa imekatiza baadhi ya silaha zinazopelekwa Ukraine. Uamuzi huo ulichukuliwa "kuweka maslahi...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kuchukua udhibiti wa maeneo ya Ukraine

    Vikosi vya Urusi vimechukua udhibiti wa kijiji cha kwanza mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa Dnipropetrovsk. Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali ya Urusi pamoja na wanablogu wanaofuatilia vita hivyo. Hata hivyo taarifa hiyo haijathibitishwa na vyanzo...
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi yafanya mashambulizi makubwa ya anga nchini Ukraine

    Urusi imeendesha wimbi kubwa la mashambulizi ya anga dhidi ya Ukraine usiku wa kuamkia Jumapili na kusababisha kifo cha mtu mmoja huku wengine saba wakijeruhiwa. ayo yameelezwa leo na mamlaka za Ukraine zilizobaini kuwa aliyeuawa ni rubani wa ndege ya kivita chapa F-16. Yuriy Ihnat, mkuu wa...
Back
Top Bottom