urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Asad asema hakuwa na mpango kukimbia na kuwatelekeza watu wake ila Jeshi la urusi ndilo lilimuondoa nchini Syria kwa ajili ya usalama wake

    Wadau hamjamboni nyote Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa vibaya na waasi Isingalikuwa warusi kumuondoa nchini Syria kwa nguvu basi angeliendelea kupambana hadi...
  2. Mi mi

    Kwa nini Urusi haina maendeleo makubwa. Je, Margaret Thatcher yupo sahihi ?

    Video fupi Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
  3. ILAN RAMON

    Mwanasayansi wa Missiles wa Urusi alambishwa udongo na wasiojulikana

    Russia's top missile expert gunned down in Moscow park Mikhail Shatsky, who is said to have overseen the modernisation of Kh-59 and Kh-69 missiles used by Russia against Ukraine, was reportedly shot dead near his home...
  4. snipa

    Elon Musk ashinda tenda ya kuharibu international space station ambayo USA ilishirikiana pamoja na Urusi.

    ISS (international space station) Ni jidubwasha kubwa sana linalobeba maabara ya watafiti wa anga, lakini life expectancy yake ndio hivyo inakaribia kuisha, linatakiwa liondolewe. Na kikubwa cha kueleweka hapa ISS ilitengenezwa Kwa ushirikiano wa USA, RUSSIA, JAPAN, CANADA na EUROPE. Kwaajili...
  5. Sir John Deere

    Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

    Jeshi la Urusi hii Leo limeuzuia msafara wa Majeshi ya Marekani uliokua unataka kuingia katika mji Qamishlo nchini Syria na kuualazimisha kugeuza kurudi ulipotoka. Source: Visegrad24 X account
  6. M

    Damascus: Urusi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake nchini Syria kwa msaada wa Uturuki

    Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria. Video kadhaa zimeonesha msafara wa magari ya kijeshi ikiwemo mifumo ya ulinzi wa anga aina ya S-300/400, Vifaru aina ya T-64 na Magari...
  7. J

    Kumbe Urusi ndio anavuruga amani ya Afrika

    Kumba Urusi ndio kinara wa kuuza silaha Africa baada ya China Silaha hizi ndio zinatumika kuvuruga amani Africa Siku zote tunalaumi nchi za Magharibi kumbe wachawi halisi ni Urusi na China
  8. Sir John Deere

    Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

    Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad...
  9. X

    Hatimaye Assad na familia yake wamewasili Moscow, Urusi

    Assad na familia yake wamefika salama Moscow. Serikali ya Urusi yawapa hifadhi kuishi humo kwa muda wote. === Syria’s Bashar al-Assad and his family have arrived in Moscow and have been granted asylum by the Russian authorities, Russian news agencies report, citing a Kremlin source. The...
  10. E

    Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

    Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!! Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left. It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram. People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's...
  11. Yoda

    Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

    Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na...
  12. MALCOM LUMUMBA

    Changamoto kubwa ya Kiusalama kwa Urusi na hatma ya Usalama barani Ulaya

    NATO wamecheza mchazo mkali sana wa kisiasa dhidi ya MRUSI. Mosi, wameanzisha mtafaruku Lebanon kwa kumtumia mshirika wao mkubwa Israel, jambo ambalo limepelekea vikosi vingi vya Hizbullah kuondolewa nchini Syria na kurudishwa Lebanon kuzuia uvamizi wa Israel. Jambo hili limechangia kwa kiasi...
  13. S

    Botswana kuanzisha kituo cha kufanya ithibati ya almasi . Lengo ni kuzuia Almasi kutoka Urusi kuuzwa nchi za G7

    Nchi ya Botswana inatarajia kuanzisha kituo cha kufanya ithibati ya almasi zinazouzwa kwenye nchi za G7 ifikapo mwakani 2025. Hii inakuja kutokana na hatua ya nchi za G7 kuamua kutonunua almasi kutoka Urusi. Kutokana na katazo hilo, kila almasi inayonunuliwa na nchi za G7 itatakiwa kufanyiwa...
  14. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro: Chuo cha Michezo Malya Kushirikiana na Vyuo Nchini Urusi

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Urusi Mhe. Mikhail Degtyarev na kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kwenye sekta ya michezo baina ya nchi hizo. Viongozi hao wamekutana Desemba 3, 2024 katika ofisi za...
  15. Rorscharch

    Nchi za Marekani na Urusi zina mabomu ya nyuklia ya kutosha kuua viumbe hai vyote kwenye ardhi ya dunia hii

    Silaha za nyuklia ni mojawapo ya uvumbuzi wenye nguvu kubwa zaidi uliofanywa na binadamu. Tangu majaribio ya kwanza ya bomu la nyuklia mnamo 1945 huko New Mexico na matumizi yake katika Hiroshima na Nagasaki, nguvu za silaha hizi zimeongezeka sana. Hata hivyo, maelezo ya nguvu hizi na athari...
  16. S

    Ripoti inayoelezea mbinu za Marekani kuidhoofisha Urusi iitwayo Rand Corporation 2019

    Leo katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Rand Corporation 2019. Hii ni ripoti yénye kuelezea mbinu ambazo Marekani na washirika wake wanaweza kutumia kwa ajili ya kuidhoofisha Urusi pamoja na uwezekano wa kila mbinu kutimiza lengo hilo. Kilichonishtua zaidi ni kuona kwamba yale...
  17. Ritz

    Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

    Wanaukumbi. Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad. Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria. UP DATE=============== 🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia...
  18. dogman360

    Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

  19. Ritz

    Urusi yadondosha vipeperushi kwa wakazi wa Kiev, na kuwaonya kuondoka majumbani mwao la sivyo wakabiliane na mashambulizi ya anga

    Wanaukumbi. Urusi yawadondoshea vipeperushi wakazi wa Kiev, na kuwaonya waondoke majumbani mwao la sivyo wakabiliane na mashambulizi ya anga.. =============== ⚡️BREAKING Russia drops leaflets on residents of Kiev, warning them to leave their homes or face airstrikes...
Back
Top Bottom