Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.
Facebook yazifungia kurasa tatu kutoka nchini Urusi
Kampuni ya huduma ya mtandao wa kijamii, Facebook ilisema Jumatano kuwa imesimamisha mitandao mitatu ya akaunti za Kirusi ambazo zilijaribu kuingilia katika siasa za ndani za nchi nane za Kiafrika, akaunti zinazohusishwa na mfanyabiashara wa...
Umoja wa Kisovieti (USSR au CCCP) taifa lililozaliwa mwaka 1922-1991, lilikuwa ni moja ya taifa lenye nguvu sana duniani lakini lenye mwisho mbaya sana ambao ni aibu kwa watu wake mpaka leo.
Kiuchumi walikuwa wana nguvu sana, kiteknolojia walikuwa mbele, nguvu kubwa ya viwanda, kijeshi walikuwa...
Nchi jirani ya Ukraine imesababisha Russia kuingia katika mgogoro mkubwa na West ambao haujawahi tokea tangu kuvunjika kwa USSR.
Russia ni taifa kubwa kieneo,kisayansi,kiteknolojia na hata kiuchumi.
Ina rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi duniani ikiwa na mafuta,gesi na madini ya aina nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.