urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Mei 9 inawadia, Putin ana kipi cha kuwaambia Warusi maana ndio huwa siku ya Urusi kutunisha misuli kwenye maonesho

    Mei 9 hutumika kama maadhimisho ya kijeshi ya kusheherekea ushindi dhidi ya Hittler, na kawaida wanajeshi Warusi hufanya gwaride zao kwa mbwembwe na huonyesha zana zao za kivita kama mikwara kwa dunia. Pia Putin hutumia hiyo siku kueleza ushindi wa Urusi kwenye mapambano mbali mbali. Sasa huyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Meli ya kivita ya Urusi ilivyochanganywa na Drones za Mturuki kabla ya kulipuliwa na kuzama

    Mzuka wanajamvi! Fahari ya Urusi katika black sea jinsi inavyojulikana iyo Meli manowari iliyopachikwa jina la Moskva au Moscow mji mkuu wa urusi ilivyolipuliwa na kuzamishwa katika operesheni ya aina yake kutoka kwa 'Defenders' makomandoo wa Ukraine waliotumia ujanja wa aina yake. Ni hivi...
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Putin anazidi kuiharibu Urusi. Baada ya meli yake kuzama naamini uungwaji mkono wa Putin nchini mwake utapungua.

    Meli ya kivita ya urusi Moskva flag ship imegeuzwa kuwa Nyambizi na waukraini. Hii ni taarifa mbaya sana kwa Warusi na kwa ujumla meli hii ilikuwa ndiyo nembo kuu ya urusi huko black Sea. Vita ya Ukraini vimeiexpose Urusi na kuwaacha utupu wa mnyama. Aibu kubwa kwa Putin na kwa Hali...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urusi yatishia kutumia silaha za nyuklia ikiwa Sweden, Finland zitajiunga NATO

    Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu katika eneo la Ulaya. Finland ambayo inashirikiana...
  5. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Urusi yavuna mapesa kutokana na mafuta na gesi

    Vikwazo kwa Urusi imekuwa baraka kwake. Katikati ya vikwazo avuna mahela kuliko kipindi ambacho hakuna vikwazo. ====== Russia’s Q1 Trade Surplus Hits Record As Oil And Gas Prices Soar By Charles Kennedy - Apr 11, 2022 Russia’s current account surplus, the broadest measure of trade, more than...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Urusi vs Ukraine: Putin asema wataendelea kupambana hadi "malengo yao mema" yatimie

    Rais Vladimir Putin ameahidi kuwa Russia itatimiza kile alichokiita ni "malengo mema" Nchini Ukraine. Amesema mazungumzo ya amani hajapata mwafaka, na uvamizi huo unaendelea kama ilivyopangwa Aidha, Kiongozi amedai hakuwa na uamuzi mwingine zaidi ya kuanzisha uvamizi huo, ikiwa ni jitihada za...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Jambo pekee nitakalojifunza Vita ya UKRAINE na URUSI linaendana na funzo la viongozi wa TANZANIA kwa wananchi pia kwa majirani zako we msoma uzi

    Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!! Nina Funzo kubwa kwamba USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI? Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana Kwa Magharibi Kumesababisha asiingiliwe mipango yake mapema , kwasasa hakuna hasa anayejua Kama...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais Ufaransa, Le Pen wa Ufaransa asema gesi ya Urusi haiepukiki

    Mgombea urais wa Ufaransa bi Marine Le Pen said amesema anaunga mkono vikwazo vyote vya kiuchumi kufuatia uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine isipokuwa nishati ya gesi. Bi Le Pen katika siku za karibuni amepata umaarufu zaidi katika kampeni zake dhidi ya kiongozi wa sasa wa nchi hiyo ,bw.Emmanuel...
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Urusi yazipa onyo Finland na Sweden mpango wao wa kujiunga na NATO

    Urusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo unabaki kuwa kama 'chombo kinacholenga makabiliano'. Marekani inaamini nchi hizo zinaweza kuomba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya ngano inatoka nje, kwahiyo tunakulaga chapati za Urusi, wananunua wanapaki wanatuuzia

    Hivi Tanzania hatuwezi kulima ngano, maana tunanunua ngano nyingi sana nje, hizo feza zingebakia hapa. Ardhi ipo ya kutosha ni. Serikali tu kuweka mipango na kuwawezesha watu. Hizi pesa anazotumia bakharesa kununua ngano Urusi zingerudi kwa watanzania na nchi ingepiga hatua, nimeona watanzania...
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kumuua afisa wa tisa Mkuu wa Jeshi la Urusi

    Afisa mkuu wa tisa wa Urusi ameripotiwa kuuawa nchini Ukraine, na kuwa wa hivi punde zaidi katika idadi ya maafisa wa ngazi za juu wa Urusi kuuawa tangu vita kuanza siku 46 zilizopita. Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, Kanali Alexander Bespalov alikuwa kamanda wa Kikosi cha 59 cha Tangi...
  12. Introver

    JamiiForums Tanzania Je, mgogoro wa Urusi na Ukraine,umetabiriwa kibiblia?

    JE MGOGORO WA URUSI NA UKRAINE,UMETABIRIWA KIBIBLIA? la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia. Leo tutajifunza juu ya mgogoro wa Urusi na Ukraine, Je Mgogoro huu umetabiriwa katika biblia? Awali ya yote, kabla hatujaendelea mbele, tusome kwanza mstari ufuatao.. Hapo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ukraine kufikia hapa, Pigo kubwa kwa Urusi na Madhwalimu wote

    Kwa hakika haijali gharama ila udhwalimu kushindwa ni jambo la kujivunia kwa kila mpenda haki: Nani alitegemea kutembea kwa miguu mitaani leo Kyiv na Mrusi akiwa 20km tokea mjini kati majuzi juzi tu? Kwani kwetu si barabara na mitaa hufungwa? Chopper juu Kwamba tukujiridhisha? Kama warusi...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

    Raisi Putin amemteua generali Alexander dVOrNIKOV kuwa kamanda mpya wa kuongoza jeshi lake katika nchi ya Ukraine.Generali Alexander ndiye aliyekuwa kamanda wa mwanzo wa Urusi nchini Syria katika kumsaidia raisi Assad kupambana na wapinzani wake walioungwa mkono na Marekani na Israel. Masaa...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

    Drones za Uturuki ni hatari sana, na ndio dunia inakoelekea, ujeda wa kukaa ofisini ukibonyeza bonyeza, sio ubabe wa kupasua matofali kwa kichwa. _____________ Ukraine’s Armed Forces reported that Russia also lost 684 tanks, 1,861 armored personnel carriers, 1,324 vehicles, 332 artillery...
  16. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunashabikia Uvamizi wa Urusi, Ukraine. Tuendelee kuchochea Kuni? Yajayo yanasikitisha

    Watanzania wengi kwa ukosefu wa Elimu bora na Ufahamu jumuifu walijikuta wanashabikia sana Vita ya Urusi na Ukraine. Wengi sana wakichukua pande kama wanavyoshabikia Simba na Yanga. Na wengi walikuwa hawaelewi kwa nini NATO au USA haiingizi miguu yake. Kwa akili ile ile ya kishabiki wakimsifu...
  17. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama Urusi Ina nguvu namna hii.

    Marekani peke yake,ama NATO ama Marekani na washirika wake,kwa nyakati tofauti wamekuwa wakipeleka majeshi kwenda kufanya kile wanachokiita kuisaidia kuziokoa nchi zilizo ama vamiwa ama kuongozwa na watu wao waliowaita madikteta. Kwa mara ya kwanza toka nimeijua Marekani na hata NATO.naposema...
  18. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya nayo yaitetea Urusi, yaungana na Tanzania na nchi nyingine za Afrika

    Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi. Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni vizuri mkashauriana na Tanzania ili kuepuka aibu na fedhea Kama hii. Dunia inashindwa kuwaelewa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya kuiondoa Urusi kwenye Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa: Tanzania yajitoa (abstain)

    Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa. Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita. Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa vita vya Urusi na Ukraine vilipofikia ni muda mwafaka kwa Tanzania kuchagua upaande wa wengi (Westerns) maana Kuna Jambo linaenda kutokea

    Mie sina neno, Ila mrusi amekosea sana kufanya Mambo ya kishamba ya kuvamia sovereign state tena bila sababu za kueleweka. Tanzania tuache unafiki tusimame na HAKI tuwaambie warusi waziwazi tena mbele ya dunia kuwa wamekosea na wanapaswa kuwajibika. Kuendelea kujiita nutral state wakaki...
Back
Top Bottom