Zelensky: Mafuta ya Urusi kutowekewa vikwazo kunagharimu maisha ya watu

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Viongozi wa Mataifa ya Magharibi kukubaliana haraka juu ya vikwazo vya Mafuta ya Urusi, akisema kushindwa kwao kufanya hivyo kunagharimu maisha ya Raia wa Ukraine

Amesema Moscow imekuwa inapata Fedha nyingi kutokana na mauzo ya mafuta, hivyo haioni haja ya kuchukulia kwa uzito Mazungumzo ya Amani

Uvamizi wa Russia Nchini Ukraine umesababisha zaidi ya Watu Milioni Nne kukimbia, huku wengine wengi wakiuawa/kujeruhiwa na Miji kuharibiwa vibaya kutokana na mashambulizi

=======

Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy on Thursday called on Western politicians to quickly agree on an embargo of Russian oil, complaining that their failure to do so was costing Ukrainians their lives.

In an early morning video address, Zelenskiy also said he would continue to insist Russian banks be completely blocked from the international finance system.

Russia's six-week-long invasion of Ukraine has forced over 4 million to flee, killed or injured thousands and left cities and towns destroyed. read more

Zelenskiy said Moscow was making so much money from oil exports that it did not need to take peace talks seriously and called on the "democratic world" to shun Russian crude.

"Some politicians are still unable to decide how to limit the flow of petrodollars and oil euros to Russia so as not to put their own economies at risk," Zelenskiy said, predicting that an oil embargo would nevertheless be imposed.

"The only question is how many more Ukrainian men, how many more Ukrainian women, the Russian military will have time to kill in order for you, certain politicians - and we know who you are - to find some determination," he said.

Russia says it is engaged in a "special military operation" designed to demilitarize and "denazify" Ukraine. Ukraine and Western governments reject that as a false pretext for its invasion.

The United States targeted Russian banks and elites with a new round of sanctions on Wednesday. Zelenskiy said the announcement was spectacular but not enough.

Source: Reuters
 
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Viongozi wa Mataifa ya Magharibi kukubaliana haraka juu ya vikwazo vya Mafuta ya Urusi, akisema kushindwa kwao kufanya hivyo kunagharimu maisha ya Raia wa Ukraine
Pumbavu zake, hao raia wa Ukraine ndio bora zaidi kuliko raia wa nchi nyengine.

Huyu waache kumdekeza aachiwe apambane na hali yake.
 
Ila haka kajamaa ni kajinga na wale wanao kaunga mkono.
Yaani yy anataka uchumi wa dunia uyumbe kwa ajili ya kinchi chake uchwara.
Sasa hivi watu tunapumulia mashine kwa bei ya mafuta alafu analeta mambo ya kipuuzi hapa.
 
FRANC THE GREAT Unamsikia mzee huyu anavyolalama!!?
britanicca vipi hapo MOSCOW hali ya kiuchumi inaendeleaje!!?
black sniper Vipi MKUU hapo LONDON mambo yamekuaje !!!??
Nyamizi mnaona mjomba wenu anavyolia lia
Coco reborn RUSSIA sio ZIMBABWE
Huko field huyu jamaa nasikia anaongoza ka retake maeneo yake yote mbona bado analia lia
Kuna jambo KUBWA tunafichwa kwenye huu mgogoro acha tuupe muda nafasi yake utaleta majibu kamili
YEHODAYA nlitaka nikusahau MKUU pitia hapa tafadhali
 
Huyu rais kiazi kweli yaani juzi tumetafuta mafuta kwa tochi halafu anataka watu wasusie mafuta tukisusia atakuja tumtumie yeye
 
Ila haka kajamaa ni kajinga na wale wanao kaunga mkono.
Yaani yy anataka uchumi wa dunia uyumbe kwa ajili ya kinchi chake uchwara.
Sasa hivi watu tunapumulia mashine kwa bei ya mafuta alafu analeta mambo ya kipuuzi hapa.
 
Huyu ni myahudi.na wayahudi siku zote hujitambua kuwa ndio watu bora duniani kuliko watu wa mataifa mengine/kabila nyengine.

Wayahudi ndio waliiandaa hilo eneo la ukraine liwe lao kabla ya kukumbuka kuwa palestina ndio stahili kwako.na UK kuwapatia eneo la palestina na pakaitwa islaer.

Watanzania na waafrika tuna washabikia wayahudi lakini tujue ndio wabaguzi duniani.ushawahi ona mwafrika ana abudu zehebu lao?
 
Back
Top Bottom