Kenya nayo yaitetea Urusi, yaungana na Tanzania na nchi nyingine za Afrika

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi.

Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni vizuri mkashauriana na Tanzania ili kuepuka aibu na fedhea Kama hii.

Dunia inashindwa kuwaelewa, hamueleeki kabisa ni nini mnachohitaji hapa duniani,juzi tu Kenya ilishuka vichwa vya habari duniani kwa kuilaani Urusi, Leo mnaungana na nchi zingine kuitetea Urusi

Tony254
dyfre
NairobiWalker

Kenya abstains as UN votes to suspend Russia from Rights Council​

Friday, April 08, 2022

By Nation Reporter & AFP

Kenya was among 58 countries that chose to abstain from the United Nations General Assembly vote to expel Russia from the UN Human Rights Council.

The Assembly voted Thursday to suspend Russia from the UN Human Rights Council as punishment for the invasion of Ukraine.
Of the 193 members of the assembly, 93 voted in favor of suspension while 24 voted against and 58 abstained, suggesting weakening international unity against Russia.

It was the second ever suspension of a country from the council. Libya was the first, in 2011.

Despite pressure from Moscow for a no vote, several African countries only abstained, such as South Africa and Senegal. Also abstaining were Brazil, Mexico and India.

From the east African region, Tanzania, Uganda and South Sudan joined Kenya in abstaining from the vote while Ethiopia and Burundi voted against ejecting Russia.

The countries voting against included China, a Moscow ally which has steadfastly abstained from criticizing the invasion. Others were Iran, the former Soviet republic of Kazakhstan and communist Cuba, as well as Russia itself, Belarus and Syria.

Suspension required two-thirds of the votes for and against; the abstentions did not count.

The US argues that this punishment -- suspending Russia from the Geneva-based organization that is the UN's main human rights monitor -- is more than symbolic and in fact intensifies Russia's isolation after the assault on Ukraine that began February 24.
Ukrainian President Volodymyr Zelensky has also called for Russia to be expelled from the UN Security Council "so it cannot block decisions about its own aggression, its own war."

But Washington has admitted there is little anyone can do about Russia's position on the Security Council, where it has a veto.

More than 11 million people have been displaced since Russia invaded Ukraine on February 24.

The world has been outraged by images of scores of civilians apparently executed and left in mass graves in areas formerly controlled by Russian troops. This carnage has led to new rounds of sanctions against Russia.

Journalists including from AFP last weekend found corpses in civilian clothes, some with their hands bound in the town of Bucha outside Kyiv.

"The images out of Bucha and devastation across Ukraine require us to now match our words with action," US ambassador Linda Thomas-Greenfield said Monday as she pressed for Russia's suspension from the rights council.

"We cannot let a member state that is subverting every principle we hold dear to continue to participate" in the council, she said.
The Kremlin has denied Russian forces killed civilians, and alleged that the images of dead bodies in Bucha were "fakes."

The UN Human Rights Council was founded in 2006 and is composed of 47 member states chosen by the General Assembly.

Source: Nation​

Nchi ya unafiki mwingi, siku zote haijitambui ni kichwa cha mwendawazimu! Huwa ipo kutetea interests za mabwanyenye huku wananchi wake wakifa kwa njaa!

Ati SS, UG, TZ joined Kunyaland in abstaining AND NOT Kunyaland joined the rest! Rwanda n Burundi voted against!
From the east African region, Tanzania, Uganda and South Sudan joined Kenya in abstaining from the vote while Ethiopia and Burundi voted against ejecting Russia.
 
Nchi ya unafiki mwingi, siku zote haijitambui ni kichwa cha mwendawazimu! Huwa ipo kutetea interests za mabwanyenye huku wananchi wake wakifa kwa njaa!

Ati SS, UG, TZ joined Kunyaland in abstaining! Rwanda n Burundi voted against!
Hawa jamaa ni kichekesho, ni watu wa kuwaonea huruma, hawajitambui
Tony254
NairobiWalker
dyfre
The best 007
 
Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi.

Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni vizuri mkashauriana na Tanzania ili kuepuka aibu na fedhea Kama hii.

Dunia inashindwa kuwaelewa, hamueleeki kabisa ni nini mnachohitaji hapa duniani,juzi tu Kenya ilishuka vichwa vya habari duniani kwa kuilaani Urusi, Leo mnaungana na nchi zingine kuitetea Urusi
Tony254
dyfre
NairobiWalker

US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive​

Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi.

Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni vizuri mkashauriana na Tanzania ili kuepuka aibu na fedhea Kama hii.

Dunia inashindwa kuwaelewa, hamueleeki kabisa ni nini mnachohitaji hapa duniani,juzi tu Kenya ilishuka vichwa vya habari duniani kwa kuilaani Urusi, Leo mnaungana na nchi zingine kuitetea Urusi
Tony254
dyfre
NairobiWalker
Kenya ni nchi ya mazombie.
 
Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi.

Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni vizuri mkashauriana na Tanzania ili kuepuka aibu na fedhea Kama hii.

Dunia inashindwa kuwaelewa, hamueleeki kabisa ni nini mnachohitaji hapa duniani,juzi tu Kenya ilishuka vichwa vya habari duniani kwa kuilaani Urusi, Leo mnaungana na nchi zingine kuitetea Urusi

Tony254
dyfre
NairobiWalker

Kenya abstains as UN votes to suspend Russia from Rights Council​

Friday, April 08, 2022

By Nation Reporter & AFP

Kenya was among 58 countries that chose to abstain from the United Nations General Assembly vote to expel Russia from the UN Human Rights Council.

The Assembly voted Thursday to suspend Russia from the UN Human Rights Council as punishment for the invasion of Ukraine.
Of the 193 members of the assembly, 93 voted in favor of suspension while 24 voted against and 58 abstained, suggesting weakening international unity against Russia.

It was the second ever suspension of a country from the council. Libya was the first, in 2011.

Despite pressure from Moscow for a no vote, several African countries only abstained, such as South Africa and Senegal. Also abstaining were Brazil, Mexico and India.

From the east African region, Tanzania, Uganda and South Sudan joined Kenya in abstaining from the vote while Ethiopia and Burundi voted against ejecting Russia.

The countries voting against included China, a Moscow ally which has steadfastly abstained from criticizing the invasion. Others were Iran, the former Soviet republic of Kazakhstan and communist Cuba, as well as Russia itself, Belarus and Syria.

Suspension required two-thirds of the votes for and against; the abstentions did not count.

The US argues that this punishment -- suspending Russia from the Geneva-based organization that is the UN's main human rights monitor -- is more than symbolic and in fact intensifies Russia's isolation after the assault on Ukraine that began February 24.
Ukrainian President Volodymyr Zelensky has also called for Russia to be expelled from the UN Security Council "so it cannot block decisions about its own aggression, its own war."

But Washington has admitted there is little anyone can do about Russia's position on the Security Council, where it has a veto.

More than 11 million people have been displaced since Russia invaded Ukraine on February 24.

The world has been outraged by images of scores of civilians apparently executed and left in mass graves in areas formerly controlled by Russian troops. This carnage has led to new rounds of sanctions against Russia.

Journalists including from AFP last weekend found corpses in civilian clothes, some with their hands bound in the town of Bucha outside Kyiv.

"The images out of Bucha and devastation across Ukraine require us to now match our words with action," US ambassador Linda Thomas-Greenfield said Monday as she pressed for Russia's suspension from the rights council.

"We cannot let a member state that is subverting every principle we hold dear to continue to participate" in the council, she said.
The Kremlin has denied Russian forces killed civilians, and alleged that the images of dead bodies in Bucha were "fakes."

The UN Human Rights Council was founded in 2006 and is composed of 47 member states chosen by the General Assembly.

Source: Nation​

Wewe huwa unapenda kukurupuka. Sasa Kenya kuabstain ndiko kussuport Russia? Mbona hueleweki?
 
Juzi sisi tulipo abstain na ninyi mlipopiga kura ya ndio, mjadala ulikua kwamba Tanzania imefunga mkono Russia na Kenya imelaani Russia, Sasa Kenya ime- abstain unasema sio kuunga mkono Russia, kweli ninyi ni vilaza.

Swali ni kwamba, Kenya ililaani uvamizi wa Russia na kuunga mkono vikwazo, Sasa hivi Russia inashutumiwa kwa kutekeleza mauaji ya raia wengi, jambo ambalo ni baya zaidi ya uvamizi, vipi mnaamua kutopiga kura?, Kwenu uvamizi na mauaji lipi ni baya zaidi?
 
Back
Top Bottom