urithi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni, kaa kimya Watanganyika tunapolia juu ya urithi wa rasimali zetu

    Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha. Leo Watanganyika tunalia machozi ya damu, Mzanzibari mmoja anatuzuia tusilie. Mara tukae...
  2. JamiiForums Tanzania Tusiingize udini, suala la bandari ni urithi wa Watanzania

    TUSIINGIZE UDINI, SUALA LA BANDARI NI URITHI WA WATANZANIA Watu wanakuja na hoja za Uarabu, Uislamu na Ukristo hizi ni hoja binafsi na sisi Watanzania hatuna hizi kasumba za udini wala ukabila, ni vijihoja vinavyotaka kututoa kwenye reli tuache kudai mkataba wenye tija kwa Watanzania, hizi hoja...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wazee walalamika kuuawa kwa njama wasipogawa urithi

    ====== Wazee waeleza sababu zinazosababisha kuuwawa WAZEE wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wameeleza sababu inayosababisha wazee mengi kupoteza maisha kabla ya muda wao ni kulazimishwa kugawa urithi wa mali walizonazo kwa watoto wao na wanapokataa wanatengenezewa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Habari za weekend, Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae. Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa. Ilikuwa hivi. Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumepata Uhuru au Tumerithi?

    Tanzania na nchi nyingi za Afrika, tumepata Uhuru au tumepata Urithi? Nasema tumerithi, kwasababu hatujarudi katika njia nzetu kabla ya kutawaliwa. Tumeendelea na mifumo yote alioiweka mnyonyaji. Tumerithi kwanzia utamaduni hadi mifumo ya utawala. Viongozi wetu wamekuwa wanyonyaji, kama mfumo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Habari, Kuna rafiki yangu mmoja nilizoeana nae mda kidogo na tunafamianane kutoka na biashara zetu yeye anaumri wa 43 now. Ila kwa sasa anahali mbaya ya kiafya anaumwa magojwa yasiotibika haya kupona haiwezakani kabisa. Sasa miaka kadhaa ya nyuma alipata mchepuko, katika kukutana na mchepuka...
  7. JamiiForums Tanzania Ni mvua ya urithi iliyoachwa na aliyekuwa mwenyekiti wa Simba mzee Amir Ally Bamchawi.

    Wasimamizi wa mirathi ya mvua wanasema mkileta fyokofyoko tena kuita watu"andazi" wataiamsha tena kulekule mnakokwenda mkapigwe tena😂😅
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo: Wajane hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k Wazazi - Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
  9. JamiiForums Tanzania Je, mtoto wa nje ya ndoa ana haki ya urithi?

    Habari za asubuhi, mchana na jioni. Hapa mtaani kuna sekeseke limetokea, mzee mmoja Mangi wa Rombo ameowa mwanamke wa kidogo kutoka mkinga huko Tanga. Katika maisha yao ya ndoa wamejaaliwa watoto 3 ila katika hao watoto mmoja wa kiume sio wa Mangi na alimpima DNA huko kenya ikaonesha kweli sio...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Mchuzi wa pilipili wa Harissa wawekwa katika orodha ya urithi wa dunia wa UNESCO

    Muuza duka anaonesha sahani ya mchuzi wa pilipili wa Harissa katika soko huko Tunis, Tunisia. Mchuzi wa Harissa unaotengenezwa kwa pilpili umewekwa katika orodha ya urithi wa dunia na Shirika la Elimu na Sayansi la Umoja wa Mataifa(UNESCO).
  11. L

    JamiiForums Tanzania “Mbinu za Jadi za Kichina za Kutengeneza Chai” zaorodheshwa kuwa Urithi wa Utamaduni Usioshikika wa Binadamu

    "Mbinu za Jadi za Kichina za Kutengeneza Chai na Desturi Zinazohusiana” zilizowasilishwa na China tarehe 29 Novemba, zilipitishwa kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kiserikali ya UNESCO ya Kulinda Urithi wa Utamaduni Usioshikika uliofanyika huko Rabat, Morocco, na kuorodeshwa kuwa Urithi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mataifa mengine EAC mnaojiandaa kupeleka Wanajeshi wenu Congo DR hakikisheni wanagawa Urithi kabisa

    Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeuziwa gari la urithi bila kuelewa, najinasuaje huu msala

    Niende moja kwa moja kwenye mada, mwezi wa 6, 2022 kuna jamaa aliniuzia gari Mkoa wa Mwanza (Crown 2010). Tukaandikishiana vizuri kabisa nikatoa hela nikapewa kadi, nikakamilisha taratibu kama bima nk sikuweza badilisha umiliki sababu ya kukosa nakala halisi za jina la mwenye kadi. Basi katika...
  14. JamiiForums Tanzania Huo ndio urithi wako wa pekee

    Kama una watoto, waombee, wakumbatie, wakikukosea wasamehe hata bila masharti; huo ndio urithi wako wa pekee! Kuna watu wanatamani wangepata japo mtoto hata mmoja, lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao hawajafanikiwa. Na wengine tayari ni wazee. Watoto ni urithi wa pekee kutoka...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaosema watu wasipiganie urithi ni wajinga, wasio na uelewa wa dunia

    Anaandika, Robert Heriel, mwanasheria. Wewe kama huna cha kurithi kwenu usidhani kila mtu kwao yupo kama wewe. Vijana wa siku hizi sijui akili wamepeleka wapi. Sio ajabu Faizafoxy anasema; "huko shule mlienda kusomea ujinga", Kwa kweli wanashangaza. Kama mnashindwa kuelewa mambo madogo kama...
  16. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Urithi wa Mwanangu

    Kijana wangu Sasa umekuwa si mtoto tena, umeingia umri wa kuyajenga, umri wa majukumu, natamani ningekufundisha haya ana Kwa ana ila muda Sio Rafiki hivyo nimekuandikia walaka huu utakaokusaidia katika Safari Yako kama ukizingatia Lazima utafanikiwa.Hekima na Busara zangu zitakupa muongozo na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Urithi wa Baba

    URITHI WA BABA Kuna watu husema kwamba nguo ni nguo tu hata iwe ya namna gani, ni kweli huo ni mgororo wa nafsi kabisa kwani si uungwana kuingilia mawazo ya mtu ila leo acha twende mbali kidogo Joho lina maana kubwa mno. Joho ni vazi la kiafalme lenye kubeba maana kuu ya heshima. Viongozi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

    Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo. Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake anayeitwa Abdallah alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula mpaka...
  19. JamiiForums Tanzania Geita: Wamuua mama yao Kikongwe wa miaka 70 kisa tu wanataka urithi wa shamba

    Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji...
  20. U

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA KUHUSU JAMBO HILI LA URITHI

    Hapa nilipo baba yangu mkubwa alifariki miaka zaidi ya ishirini iliyopita akamuacha mama mkubwa na watoto wake saba.Pia katika kipindi hicho baba mkubwa alizaa watoto wawili kwa mama tofauti,akawachukua na kuwaleta kwa mama mkubwa ndiye aliyewalea wote!Hivi sasa watoto hao ni mama wazima na wana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…