urithi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jina zuri na urithi una thamani zaidi ya Fedha na Dhahabu

    "Elon Musk alijitolea kununua tuzo yangu ya Ballon d'Or yangu kwa $1-bilioni lakini nilikataa ofa hiyo." __ George Weah Tuzo yangu ya "Ballon d'Or yangu sio tu mafanikio yangu makubwa katika soka yangu lakini ni tuzo pekee ya Ballon d'Or pekee barani Afrika. Hata kama mtu tajiri zaidi...
  2. Damian Wayne

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango kustaafu Siasa, atangaza kupumzika na kukuza Kilimo cha Urithi wa Baba yake

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake. Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
  3. Bepari la Kinyambo

    JamiiForums Tanzania Watoto nje ya ndoa wanaweza kupata urithi?

    Wakuu Je watoto wa nje ya ndoa wanahusika kwenye mirathi
  4. U

    JamiiForums Tanzania Watoto wawili wa mpigania uhuru maarufu Mzee John Rupia wapambana mahakamani wakigombea nyumba ya urithi ya ghorofa mtaa wa msimbazi

    Wadau hamjamboni nyote? Picha Wakili Peter Madeleka (kushoto) akiteta jambo na mteja wake, John Robert Rupia, katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi, kabla ya kuanza kusikiliza kesi ya mgogoro wa ghorofa liliopo Kariakoo makutano ya Masimbazi na Uhuru ambapo leo kesi hiyo ni kwa...
  5. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Je Usawa wa Kijinsia katika Umiliki Ardhi za Urithi na Ulipaji wa Fidia kabla ya Utwaaji wa Ardhi vitapatiwa utatuzi wa kudumu? SERA YA TAIFA YA ARDHI

    Tarehe 17 Machi, 2025, Rais Samia alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la 2023) Sera hiyo inalenga kutoa mwongozo wa jumla kuhusu utawala na usimamizi wa ardhi kwa kuzingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa, mipango ya maendeleo ya Taifa na mabadiliko ya kiuchumi, kisayansi na...
  6. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Kwani Kuna ubaya kuomba urithi mapema ?

    Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema .. Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa. Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane .. Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia .. Kesho...
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Usikatae urithi wa asili kutoka kwa wahenga

    L Kila kitu kizuri nyuma yake kina ubaya Tunza hekima ya wahenga uliyorithishwa kusaidia watu nasio kuwaaumiza wengine Sheria ya uchawi inasema 👇👇 Fanya uwezavyo kwa kutumia uchawi ila usimdhuru mtu 🚶Tenda wema nenda zako 🚶 BRAZA CHOGO BICHWA KOMWE - Nikifa MkeWangu Asiolewe Tumwesige senior
  8. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kuuza mali zangu polepole nifurahie maisha urithi kwa watoto ni elimu niliyowasomesha mnasemaje?

    Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu. Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu ana uwezo wa kudai urithi wakati baba yake akiwa hai, familia ya Mzee Antipas ijihadhari

    Imagine mtu kaanza kujaza fomu za makamu Mwenyekiti mwaka jana, leo kaibukia kwenye uenyekiti, ni nini kinamsibu Lissu? Tamaa?
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo waratbu wa mauaji ya Kimbari huko Gaz Joe, Holocaust Harris, na Butcher Blinken, ndiyo urithi wao.

    Wanaukumbi. Genocide Joe, Holocaust Harris, and Butcher Blinken Their legacy? A pointless proxy war in Ukraine that failed to defeat Russia🇷🇺, hundreds of thousands dead in a completely avoidable war that could have been ended with the deal at Istanbul A genocide in Gaza perpetrated by...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Bilionea Ratan Tata amwachia urithi wa takriban Tshs 267 Bilioni mbwa wake

    Bilionea wa India, Ratan Tata, aliyefariki mapema mwezi huu akiwa na umri wa miaka 86, ameacha kiasi "kikubwa" cha utajiri wake wa pauni milioni £91 kwa mbwa wake mpendwa, Tito. Ratan Tata, magnate wa biashara anayesimamia chapa za Jaguar, Land Rover, na Tetley, kupitia wosia wake amemwacha...
  12. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufanya Uchunguzi (Due Diligence) Kabla ya Kununua Ardhi Isiyopimwa ya Urithi

    Ardhi ya urithi ni ardhi ambayo inamilikiwa na mtu kupitia kurithi kutoka kwa wazazi, ndugu, au jamaa kwa njia ya urithi wa kiasili au kisheria. Hii ina maana kwamba umiliki wa ardhi unapita kutoka kizazi kimoja hadi kingine bila kuhitaji ununuzi wa kibiashara. Mara nyingi, ardhi ya urithi...
  13. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  14. Diwani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyumba ya urithi, nanufaikaje?

    Huenda sipo peke yangu hivyo labda maada hii inaweza kuwagusa na wengine watakaoamua kujifunza kutoka kwa wanachama wengine. Mwaka 2017, rasmi nilikabidhiwa urithi wa marehemu baba yangu ambaye alikufa miaka mingi iliyopita, kitu pekee kuhusu nyumba yetu ni kuwa, hakukuwahi kuwa na migogoro...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
  16. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania MAMBO YA KUZINGATIA UNAPONUNUA ENEO LA URITHI/MALI YOYOTE YA URITHI

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  17. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Kwa viwanja vizuri Goba, Madale, Salasala, Mbezi beach, Makongo hakikisha unawasiliana nasi

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  18. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda - hisia zetu ni kutaka sasa urithi mikoba ya Ndungulile (Ubunge)

    Sisi tunakuombea Tutakusapoti Tutakulinda
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwanamke mmoja Amuua mama yake mzazi ili arithi shamba

    Mwanamke mmoja ajulikanae kwa jina la Rosalia Chuwa mwenye umri wa miaka 59 kutoka katika kijiji cha Utaruni ,mkoani kilimanjaro amemuua mama yake mzazi ajulikanae kwa jina Anastasia Shio mwenye umri wa miaka 89 ili arithi shamba. Mwenyekiti wa ukoo huo amesema ya kuwa tangu Muda mrefu Rose...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Hoja za Serekali za uhifadhi wa urithi wa asili, inaishinda hoja ya masai ya kimakazi

    Uhifadhi wa mazingira ndizo kelele za dunia yetu kwa nyakati hizi, ardhi haiongezeki, bali watu wanaongezeka na masai wameongezeka kwa idadi kubwa ya kutisha, no matter ni eneo waliloishi miaka kwa miaka, ardhi isiyo mbuga ipo tele na yenye rutuba na nzuri kwa malisho ya mifugo. Pia, hoja ya...
Back
Top Bottom