Huduma kama
1. Kusafisha kucha
Wanaume wengi wanajisahau sana suala la usafi wa kucha, unakuta kucha zimeweka weusi pembeni, nadhan pia ndio wanachangia kuongezeka kwa UTI na infection kwa wadada, kucha sharti ziwe safi.
2. Kupuliza perfume
Wanaume wengi wanaharufu kali wengine asili wengine...
🇨🇳 Kwa Wachina, Urembo wa Mwanamke ni Wembamba Wake...
Katika jamii ya Kichina, wembamba ni ishara ya uzuri wa mwanamke 👩🦰✨
Huyu hapa ni mmoja wa wanawake wanaochukuliwa kuwa mrembo zaidi nchini China — anasifika kwa sura yake ya kupendeza 💫 na umbo lake linaloendana na vigezo vya urembo wa...
Najua humu kuna wengi wenye upeo zaidi ya wengine
Kwa muda mrefu sana nimekuwa na hili wazo la kuanzisha ama Lengo ama ndoto Veta ndogo kwa ajili ya masuala ya urembo, Isusi na mapambo n.k
Sasa huwa ninakosa pa kuanzia. Sijui. Cost yake yaani kiufupi sijui pa kuanzia
Natamani kupata mtu wa...
Naomba kushare, hivi urembo wa madirisha na kona vipo kwenye fashion au ni vimepitwa na wakati? Na kama vipo, vipi huko mbeleni?
Binafsi navutiwa na huo urembo ila nakuwa nakuwa nasita kuweka!
Kama ulikuwa hujui tu, uraibu wa urembo bandia kwa mwanamke wa kiafrika ni ugonjwa kamili wa kiakili kwa sasa.
Hapa ninazungumzia ile hali ya kubadili rangi na unyororo wa ngozi (wanaita kuglow!), kupashika kucha bandia, nywele bandia (rasta, weaving nk), kope bandia, kupiga jeki matiti...
Je ni sisi wenyewe wanaume ndio tuliotengeneza aina ya mwanamke mpenda na mtanguliza pesa katika mapenzi?
Au ni wadada wenyewe ndio wame-evolve kuwa money mongers katika mapenzi?
Wakuu,
Nina 10M. Natak nifanye biashara la duka la urembo (Perfumes, mafuta, Saa,cheni,wigi,sandals etc.) au nifungue mini pharmacy.
Kwa Dar es salaam.
Naombemi mchanganuo Biashara ipi Inalipa?
Waratibu wa Shindano la Urembo la Miss Ivory Coast Mwaka 2025 wamepiga marufuku matumizi ya washiriki kuvaa nywele bandia (Wigs) au kuongeza nywele bandia katika sehemu za nywele zao
Mratibu wa Shindano hilo linaloanzia hatua ya awali katika Miji 13, Victor Yapobi amesema “Tunataka Washiriki...
UZI MAALUM WA KUSHARE MAWAZO YA BIASHARA YA VIFAA VYA PIKIPIKI NA UREMBO.
Nipo mbeya, nna myezi minne toka nianze biashara ya VIFAA VYA PIKIPIKI nimekutana na challenges nyingi kias kua nakaribia kukata tamaa Ila kabla sijakata tamaa nimeona nirukie biashara ya UREMBO wa PIKIPIKI.
ntaendelea...
Nahitaji kufahamu fundi wa kuremba nguzo, kona za nyumba na madirisha anayepatikana Arusha na bei ya kazi hiyo kwa kila dirisha,kona na nguzo,nina kazi.
Bei ni 20,000/= kwa taa 1. Tunatuma nchi nzima. Utalipia baada ya kupokea mzigo.
Karibuni.
https://smarteaglescompany.blogspot.com/2025/01/hizi-ni-taa-za-kisasa-kwaajili-ya.html
Kama unapenda vitu vya kipekee na ubunifu uliotukuka, kamwe huwezi kukutana na kazi hizi kisha ukaacha kutia neno.. Hapa ni ubunifu, usanifu na uchongaji uliotukuka... Siishi kuzitamani hizi kazi... Mbao tupu tena halisi hakuna plastic hata moja
Sharing is caring...❤🎀👌🏿
Ebhana watu wa JF nawasalimu kwa Heshima ya Jamhuri ya muungano wa Taifa letu
Nina biashara nahitaji kuuza hili kabati langu la vioo, Na nimelipenda sana ila dah kuna madogo wawili wamekuwa position nyumbani sasa ni watundu balaa na mm nahofia watavunja maana wao sasahivi wanashinda room...
Kamati ya maandalizi ya shindano la urembo nchini Ivory Coast (Miss Côte d’Ivoire 2025 -COMICI) imetangaza kuwa katika hatua za awali za mchujo, washiriki hawataruhusiwa kutumia nywele za bandia.
Badala yake warembo wote wanapaswa kuonyesha nywele zao za asili, iwe ni ndefu, fupi, au zimekatwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.