urasimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Kuna urasimu mkubwa sana kwenye ofisi za NSSF Mwanza ukilinganisha na mikoa mingine, bila kuwa na ndugu au jamaa anayekujua faili lako la mafao linaweza kuzungushwa hata mwaka mzima. Mimi na wafanyakazi wezangu tuliacha kazi siku moja kwenye kampuni binafsi mimi nikiwa branch ya Mwanza...
  2. The Assassin

    Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia. Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink. Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
  3. The Supreme Conqueror

    Hongera Mchengerwa kuwa waziri TAMISEMI. Nakuomba yatazame haya, vibali vya uhamisho vina urasimu mkubwa

    Mkuu mi Sina mashaka na utendaji wako kabla ya kuwa Waziri tangu ulipokuwa Ofisi ya mwana Sheria Mkuu wa serikali baadaye ukawa Waziri wa Utumishi kwakweli uliwafuta Watumishi machozi kwa wale walioganda daraja moja kwa miaka 6 walipata uhueni. Siwezi kuyazungumzia mazuri yote uliyofanya...
  4. jemsic

    SoC03 Tukiondoa urasimu katika utoaji wa huduma za umma tutapata utawala bora

    DIBAJI Tanzania ni nchi yenye historia kubwa na ya muda mrefu ya urasimu ambao umeanza toka kipindi cha ukoloni. Ukiangalia urasimu huu ulipandikizwa na wakoloni ili iwe rahisi kuitawala na kuendesha nchi na kuchukua wanavyovitaka kwa kipindi hicho. Urasimu umedumu toka kipindi hicho na...
  5. sky soldier

    Tunawataka DP World, Wabongo wa bandarini tumewachoka wamejaa rushwa na urasimu. Kuwe na kipengere cha Mkataba kuisha kila baada ya Miaka mitano!

    Dp world waje ila kwa mkataba wa miaka mitano mitano, kila baada ya miaka mitano kuwe na option ya kuwaruhusu waendelee kukiwa na ufanisi ama waondoke wakizingua. Kama Dp World hataki kuwa na mkataba wa miaka mitano, ije hata hio kampuni ya kigeni ambayo imepewa tenda kuendesha bandari ya...
  6. M

    Mapendekezo: Iundwe tume kufatilia urasimu uliopo Muhimbili unaopelekea wagonjwa hasa wenye magonjwa dume kukosa haki ya kuendelea na matibabu

    Nianze kwa kuhoji; Hivi mmegundua kwanini ktk maeneo ya taasisi za Umma kuna katazo "HURUHUSIWI KUPIGA PICHA". Na mnaweza kujiuliza kuna uhusiano gani, wateule wanapokula kiapo cha uamijifu husema "Sitotoa nje siri za Serikali." Serikali ni sisi wananchi kwa kuwa tumeiweka madarakani. Bila...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Iundwe tume ya kushughulikia rushwa na urasimu katika ofisi za umma

    Habari! Hali ni mbaya sana. Kama mtumishi wa umma unafika ofisi nyingine ya umma unakutana na urasimu (mizunguko isiyo na ulazima au ucheleweshwaji wa huduma)je, wananchi wanakutana na vizingiti vingapi wanapohitaji huduma kwenye ofisi za umma? Serikali iunde tume ya kuchunguza urasimu na...
  8. Lycaon pictus

    CHADEMA naombeni mulichukue hili suala la urasimu kwenye uhamiaji na Passport

    Wakati wa ukomunisti, nchi za kikomunisti zilibana sana mipaka yake ili watu wasitoke. Ndiyo moja ya sababu ya ukuta wa Berlin. Ndiyo sababu hadi leo kutoka Korea kaskazini ni ngumu mno na hatari. Tanzania nayo kupindi cha ujamaa wetu ilikuwa hivyo. Leo hii dunia ni kijiji, watu wanasambaa...
  9. Roving Journalist

    CCM yashangazwa na urasimu wa mifumo kutumika kama utetezi wa miradi ya maendeleo kutotekelezwa kwa wakati

    Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameonesha kukerwa kwake na tabia ya fedha ya miradi ya maendeleo kucheleweshwa kwa kisingizio cha urasimu wa mifumo ya ulipaji kutofunguka kwa muda mrefu jambo ambalo linakwamisha baadhi ya miradi utekelezaji wake kuenda kwa kasi na haraka kama...
  10. S

    Wazo: Serikali ianzishe kura ya maoni wananchi wafichue Ofisi, Idara, Vitengo na Taasisi za Serikali zilizokithiri kwa urasimu nchini

    Moja ya vitu vinavyokera sana nchi hii ni urasimu ulioko katika maofisi, idara, vitengo na taasisi mbalimbali za serikali.,urasimu unaopaswa kuwekewa mkakati maalumu kudhibiti. Urasimu huu sio kero tu watanzania, bali hata kwa wageni wakiwemo wawekezaji wanaotafuta vibali au huduma nyingine...
  11. Samia atosha tukutane2030

    Kuna ulazima gani semina ya sensa kufanyika wiki 3. Huu ni urasimu, siku 1-3 zingetosha kabisa

    Habari! Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu. Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo kwenye hizo simu /tablets, kwanini isiwe siku moja ya kuelekezana masomo ya utaifa na uadilifu na siku ya...
  12. N

    Ujumbe wangu kwa Waziri Bashungwa na Rais; Ajira za Tamisemi zimejaa Urasimu na viashiria vya rushwa

    Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane. Mimi nina...
  13. Jumbe Brown

    Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

    Ramadhan Mlanzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo. Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!! Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa...
  14. Analogia Malenga

    Rais Samia akemea urasimu Kituo cha Uwekezaji Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna kasumba ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) kutoa kipaumbele kwa wawekezaji wa nje na kuweka urasimu mwingi kwa wawekezaji wa ndani. Amesema hayo alipokuwa akizindua kiwanda cha Faddy Fiber wilayani Mkuranga ambacho ni cha nne kwa ukubwa Afrika, na...
  15. A

    Urasimu uliopo katika mifuko ya hifadhi ya kijamii

    Baada ya kutungwa kwa sheria ya mabadikiko katika mifuko ya hifadhi ya kijamii na Kubaki PSSSF na NSSF kumekuwa hakuna ushindani kabisa. Especially kwa Wazee wanapostaafu hupata shida sana kupata mafao yao kwa wakati muafaka. Pia kwa wale ambao hawajatimiza muda wa kustaafu wamekuwa...
  16. D

    Urasimu mpya unaletwa kupitia kauli ya uli 'Mfumo Unasumbua'

    Habari, Mungu nakutumaini wewe tu. Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za Serikali kimtandao? 1. Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down. 2. Wapo wanao subiri check namba kwa muda mrefu. 3. Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu 4. Wapo...
Back
Top Bottom