upotevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Upotevu wa watu Marekani

    Watu Laki Sita (600,000/-) hupotea kila Mwaka Nchini Marekani bila kupatikana. Hakuna kengele inayolia, hakuna dunia inayosimama. Wanatoweka kama upepo, wakiacha majina, nyuso, na ndoto zisizo na mahali pa kurudi. Wakati huo huo, kila siku McDonald’s huhudumia watu 96,000. Mamilioni hupita...
  2. stabilityman

    Ukosefu wa maarifa ni chanzo cha upotevu wa pesa wakati wa ujenzi

    UKOSEFU WA MAARIFA NI CHANZO CHA UPOTEVU WA PESA WAKATI WA UJENZI. Faida za kununua full package ya Ramani Kabla ya Kuanza Ujenzi. 1. Unakuwa na uhakika na Nyumba ya Ndoto Yako itakavyokuwa. 2. Fundi hatoikosea Nyumba ikiwa anajua kuitafsiri Ramani na Kama hajui Iwapo ukiwa umenunua Kwangu...
  3. S

    Siasa mbovu za mama kuku katika jaa la taka, ndiyo chanzo cha mwewe kupora vifaranga wake

    Mama kuku ana vifaranga vingi sana vimezagaa kila sehemu ya jaa la taka vikijitafutia. Vipo vilivyo dhoofu na vipo vyenye afya tele. Vingine vimeanza kuota mbawa, vingine bado. Lkn kwenye jaa hilo kumeibuka balaa la vifaranga kuporwa mchana kweupe na mwewe. Kinyume na matatajio ya vifaranga...
  4. W

    Ni hatua zipi za kuchukua kupunguza upotevu wa mali kwa mzazi mwenye mashamba na nyumba nyingi lakini hashirikishi mke wala watoto ?

    Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k. Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali, Mali mnazijua kupitia watu...
  5. Abraham Lincolnn

    Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kutengeneza filamu ambayo haipo hata top 20 Netflix,Youtube wala popote ni upotevu wa rasilimali fedha na muda

    Tunajua na tunatambua umuhimu wa utalii katika maendeleo ya nchi. Mataifa kama Morroco, Egypt na Kenya yamekuwa yakinufaika sana na utalii. Kama Lengo lilikuwa kuvutia utalii wa ndani, si vibaya kutumia watu mashuhuri hapa nchini katika kutangaza na kuvutia watalii wengi zaidi kutoka ndani...
  6. Titho Dyakiye Philemon

    Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (M) Kagera ifanyiwe Ukaguzi wa Ndani wa Dharura ili kudhibiti Upotevu wa Fedha za Umma Unaoonekana Kukithiri hivi sasa

    Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ni Miongoni mwa Halmashauri 8 zinazounda Mkoa wa Kagera ikiwa na Jumla ya Vitongoji 389, Vijiji 75, Mitaa 34, Kata 22 na Tarafa 4. Mapema mwaka huu Halmashauri hii iliwasilisha Rasimu ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti kwa Mwaka 2025/2026 huku wadau wengi wa...
  7. Mejasoko

    Upotevu wa ajira - Teknolojia sio rafiki wa Mwanadamu kwenye ajira

    Teknolojia sio rafiki wa Mwanadamu kwenye ajira
  8. Hance Mtanashati

    Serikali isitishe mishahara kwa watumishi waliorudi masomoni ni upotevu wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa

    Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa. Sasa ubaya wa hili jambo ni pale...
  9. Mr Why

    Ushauri wangu kwa BoT kuhusiana na upotevu wa Sarafu za Sh 500, 200, 100 na 50

    Kumekuwa na uhaba mkubwa wa Sarafu za sh 500, 200, 100 na 50 pasipo kupatikana mwafaka wa usumbufu huu Ukweli ni kuwa sarafu hizi zinaibiwa na Wachina kupitia Mashine za kamari zilizotapakaa kila kona ya nchi hasa sehemu za starehe Huwa Sarafu hizi zinaibiwa kwa lengo la kwenda kuyeyusha ili...
  10. Rumanyika Donatus

    KERO Upotevu wa maji kata za Kichanga na Tungi Manispaaa ya Morogoro imekuwa ni kero na uharibufu wa miundombinu

    Kumewekuwepo na upotevu mkubwa wa maji hasa katika sehemu tajwa hapo juu. Hii ni kutokana na miundombinu mibovu hasa ya maji. Ukitembea hatua chache uanakuta barabara zimejaa maji na maji hayo yanatokana na ubovu wa miundombinu ya maji. Kila baada ya hatua kumi unakuta maji yanabubujika na hii...
  11. Felix Mwakyembe

    Upotevu wa maji ni janga, lidhibitiwe

    Gharama ya upotevu wa maji (Non-Revenue Water- NRW) kwa mwezi mmoja jijini Mbeya inatosha kujenga mradi wa maji wa kijiji nchini. Mathalani, Mradi wa Maji wa Mwashaali unatumia shilingi milioni 400 na utanufaisha wakazi 6,000 wa maeneo ya Isyesye Mlimani na Block D jijini humo. Gharama za...
  12. A

    KERO Makondakta Stendi Kuu Nyegezi wanavamia abiria na kusababisha upotevu wa mali zao

    Habari, Utaratibu wa Makondakta katika stend kuu ya Nyegezi si mzuri hata kidogo. Makonda wanawavamia abiria hivyo kupelekea kupoteza baadhi ya vitu kama simu NK. Asubuhi nimeshuhudia abiria kaibiwa simu katika virugu hizi. Naona nisaidie kuripoti Hilo. Ni kero.
  13. Suley2019

    Mkuu wa Mkoa Kigoma azitaka Halmashauri kudhibiti upotevu wa mapato

    Mkuu wa mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amezielekeza timu za Menejimenti za Halmashauri mkoani humo kuhakikisha zinasimamia na kudhibi upotevu wa mapato yanayotokana na makusanyo ya ndani katika Halmashauri hizo Andengenye ametoa maelekezo hayo alipokuwa akifunga kikao kazi kilichomkutanisha...
  14. Jovinnydinho

    Naomba utaratibu wa kupata cheti kingine cha NIT, nilichokuwa nacho kimepotea

    Naitwa Hussein Issa Nzomkunda nliibiwa begi lenye vyeti vyote ila hivo vingine nilishapata utaratibu wa kuvipata isipokua cha NIT tu. Kwa anaejua utaratibu wa kufuata anisaidie tafadhali.
  15. Msichoke

    Dkt. Mwigulu: Mifumo ya kielektroniki ni muarobaini upotevu wa mapato ya serikali

    Matumizi sahihi na salama ya mifumo ya kieletroniki Serikalini, yametajwa kuwa suluhisho la kudumu katika kuziba mianya ya upotevu wa rasilimali za serikali ikiwemo mapato yatokanayo na vyanzo mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa jana jijini Dodoma na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba, wakati...
  16. morees

    Njia zipi unatumia kudhibiti upotevu wa Data

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ungezeko la gharama za vifurushi vya internet DATA. Ebu tushauriane hapa njia zipi hasa zitasaidia kupunguza matumizi ya DATA. Mimi huwa najiuunga Gb9.5 kifurushi cha mwezi ila mara zote huisha ndani ya wiki mbili tu. Nimejaribu kupata apps ambazo...
  17. tutafikatu

    Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
  18. Lady Whistledown

    Kigoma: TAKUKURU yabaini Upotevu wa Tsh. Milioni 800 za Mikopo ya 10%

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Kigoma imebaini upotevu wa fedha Tsh. milioni 800 za mikopo ya 10% kutokana na vikundi vilivyoomba mikopo hiyo kutorejesha kabisa. Akiongea na Ayo tv Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoani humo John Mgala amesema fedha hizo ni za Halmashauri za...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kwagilwa Nhamanilo Azungumzia Upotevu wa Fedha za Maadwa MSD

    MBUNGE KWAGILWA REUBEN NHAMANILO AZUNGUMZIA UPOTEVU WA FEDHA ZA MADAWA MSD NA WASHITIRI Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma amesisitiza kuwa kuna upotevu mkubwa wa fedha za dawa na vifaa tiba kupitia...
  20. F

    Kujenga daraja kuunganisha Dar es Salaam na Unguja ni upotevu wa fedha za maskini. Tuachane na mpango huu!

    Dar-Unguja ni takriban kilometer 85. Tuna madaraja muhimu sana ya kuunganisha mkoa kwa mkoa au wilaya kwa wilaya yenye urefu wa mita 20 au 50 tu na tumeshindwa kuyajenga leo hii tunafikiria kujenga daraja la km 85?! Kwanini tusipanue bandari zetu na kuimarisha usafiri wa majini kwa kuweka boat...
Back
Top Bottom