Tangu mwaka 1995 mpaka Leo CCM imekuwa ikihangaika na kuua upinzani. Walianza na NCCR na kufanikiwa kuiua.
Kwa bahati mbaya ikaibuka CUF ikawa na nguvu mpaka wakasingiziwa kufanya siasa za ugaidi. Wakasingiziwa kuagiza matonteina ya majambia. Watu Zanzibar wakauawa, kwa mara ya kwanza Tanzania...
Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki.
Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania kilichosajiliwa kihalali hivyo kuhamasisha haki na mabadiliko ya uchaguzi ni haki yao hiyo sio suala la...
Akiwa kwenye Mkutano wa hadhara, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameapa kuwa hatorudi nyuma katika kuhamasisha vijana kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za Udiwani na Ubunge katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, licha...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameviita vyama vya upinzani nchini Tanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, akieleza kuwa hata mabadiliko wanayoyataka na kuyahimiza ya kisheria na kimfumo yatapatikana ndani ya bunge hilo na siyo...
Maana chadema is no more, sote ni mashahidi.
Na wanachadema wote nchini wamekata tamaa kabisa, na wanajuta kupindukia kuchagua uongozi uliokosa mipango na maono ya kisiasa na kusababisha kuangusha gari lao la kisiasa, kwasababu ya kiburi, ubishi na ubinafsi wa dereva wao mpya.
Kama mdau wa...
Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa...
Kilichohamasishwa na watanzania ni uwepo wa uchaguzi huru na wa haki sio vurugu, sio kumteka mtu, sio kumpiga mtu haya madai ya Dkt. Mpango kuwa ni vurugu yanatoka wapi na nani aliyeyasema?
Nilimsikia dkt. Mpango akihamasisha wazazi wasiwahusishe watoto kwenye vurugu, sasa uchaguzi huru na wa...
1. Nigeria vs Ghana
Haya mataifa Huwa kama Simba na Yanga, huwa hawakubaliani Kabisa, kuanzia kwenye siasa, uchumi michezo n.k
Mfano kwenye michezo mitandaoni Kuna ubishi wa nani Bora kati ya Thomas Partey na Mikel Obi
2 Tanzania vs Kenya
Tuko majirani ila Kuna tambo zipo na kudharauliana...
Wakuu, Mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye hivi karibuni nimemsikia akisema akisema mwaka 2018 yeye na wabunge wenzake wa mikoa ya kusini walisimama kutetea zao la korosho bungeni, Pia akitaja mtu anayemuita mjomba pamoja na Lema na wenzake hawakuwa watetezi wa korosho na kwamba leo wakijifanya...
Mashitaka ya uhaini yanayomkabili kiongozi wa cham kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema Tundu Lissu yamekitikisa chama hicho na kuishitua dunia. Siku ya Alhamis tarehe 10 Aprili, karibu magazeti yote makubwa ya dunia yalikuwa na habari ya kesi hiyo kubwa kabisa ya Lissu.
Mwenyekiti wa zamani wa...
Vyama vya upinzani kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii kwa ujumla.
1. Kuimarisha Tawala za Kidemokrasia
- Udikteta: Kukosekana kwa upinzani kunaweza kupelekea kuimarika kwa utawala wa kidikteta, ambapo chama...
Chadema mnachanganya mambo!! Kwa sasa chadema ni chama kidogo sana chenye mbunge Mmoja wa kuchaguliwa!!!
Mmeharibu zaidi kwa kukataa kushiruki uchaguzi .Hili siyo sawa .kumbe hamna mipango mizuri kabisa!! Yani mnaamini kuwa mnaweza kishinda uchaguzi bila kuwa na wabunge wengi? Kwa nini...
Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo.
Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai.
Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini!
Kumbe kwa tafsiri...
Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi.
Karibuni!
Shirikisho la kandanda duniani FIFA linasema hatua ya muamuzi kutoa kona kwa timu ya upinzani endapo mlinda lango ataushikilia mpira kwa zaidi ya sekunde nane, itasaidia kupunguza suala la kupoteza muda.
Chanzo: DW
Na Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
CHADEMA/UPINZANI, ACHENI KUIONEA CCM.
1. Taifa hili bila CCM imara, litayumba sana. Sina hakika kama bado.
2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na kubaki salama.
3. CCM dhaifu...
Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani. Heche anaongea haya haya lakini machawa wamampiga madongo Je anayo ongea Gwajima hapa anampinga nani?
https://youtu.be/2gvSQKmNeWw?si=xBlSbTN1zgqnahP_
Zimbabwe imekumbwa na hali ya taharuki kufuatia miito ya maandamano ya upinzani.
Serikali imechukua hatua kali, ikiwa ni pamoja na kukamata wanaharakati na viongozi wa upinzani, ili kuzuia maandamano hayo.
Wanaharakati 18 walifunguliwa mashtaka ya kuvuruga usalama wa umma baada ya kushiriki...
Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali.
"Ads" za nchi zingine kama Kenya, Rwanda na South Africa zimejikita kwenye kutangaza vivutio vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.